palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
mkuu kama uko mbali na TV radio one itakuwa pamoja nawe moja kwa moja hatumwi mtoto dukani
asante mkuu nitasikiliza redioni maana nipo mbali
RadioOne | Stereo
mkuu kama uko mbali na TV radio one itakuwa pamoja nawe moja kwa moja hatumwi mtoto dukani
Mkuu umepiga kwenyewe. Maana mchawi mpe mwanao akulelee, wala hawezi kumloga. Lowassa anajua mbinu zote waizokuwa wanazitumia ccm kuiba kura....
Weka hapa jamvini hilo tangazo ambalo ili uwe uthibitisho wa source of information
Jamani online live streaming hamna..Arusha umeme hamna
Nchi inatikisika. Mwenyewe kaambiwa rudi nyumbani mambo magumu yeye kakuta bembea Australia anabembea tuu
Leo ndio siku tanganyika inaenda kujipatia uhuru wake kiuchumi rasmi
Nasikia na mwanashilia mkuu wa zanzibar wa bunge la katiba atatambulishwa. Othuman.