nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,448
- 2,305
me for ukawa na wanaitigi wote
Habari za Itigi Kamanda, tulinunua vinyago sana maeneo hayo enzi zetu tukitoka chuo. Vipi nani kapita Chadema kula za maoni?
me for ukawa na wanaitigi wote
ili wakamtangaze mtu waliyekuwa wanamuita fisadi kuwa ndo anapeperusha bendera ya chadema? Wakwende huko kura yangu kwa magufuli
Sikia aibu ---- wewe
Safi sana jeshi la ukombozi..... CCM bye bye....
Siyo mwanachama ni mmiliki.Chadema wamefanya kosa kubwa sana kumuuzia chama yule jamaa.utaniambia tuko hapa.yote hii ni tamaa ya fedha ya Mbowe na Mzee Mtei unaweza kufikiri ni utani lakini ni ukweli tupu mkuu watu wamefanya biashara hapo.
Conservative indeed.....sijazoea kupelekwa tu ka gari bovu
Post gani niliyojibu isiyonihusu hem kakojoe ulale
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu bado anamuamini Mbowe na ka group kake ka wapiga dili kweli!!?
Nawakumbusha tu wanaccm wasisahau kumhimiza mkandaras wa ujenzi wa magereza, maake wafungwa ni wengi baada ya october, mafisadi haooooooo.
Wapo watz wengi sana wana imani na viongozi wa ukawa..na nia ni moja kudondosha icho chama ajuza madarakani, na iwe ndyo mwisho wa utawala dhalimu
El apewa Othman Masoud kuwa mgombea mwenza.
Masoud ni mwanasheria mkuu wa Zanzibar aliefukuzwa kwa kukataa katiba ya chenge.
Ni kijana msomi na makini
Timu imetimia na mechi imenogaa
ile kesi ya richmond inaanza lini