Mnakula matapishi yenu ptuuuu....
Genye za wenzio we unazimwagia uno za nini?kama Chadema wamechemsha tumia hiyo nafasi kuwamaliza na sio kulialia hapa(credibility your ass).
Taarifa kutoka jukwaa la wahariri ni kwamba wahariri wameitwa Bahari Beach kesho saa 9:00 kuzungumza na uongozi wa Chadema. Hadhari imetolewa. Wahariri wote wapeleke taarifa ili wapewe kadi maalum za kuhudhuria mkutano huo. Ulinzi ni mkali. Yawezekana ndo wakawa wanamtangaza mwanachama mpya.
Chanzo: Katibu Jukwaa la Wahariri, Neville Meena usiku huu
Mwenye tarifa atujuze ccm inazikwa wapi ??
Ila mimi huyu Lowassa simwelewi.
Jamaa mwenyewe dizaini mgonjwa huyu.
Haya masiasa ya nini tena?
Kwa nini asikae atulie ale tu mahela yake.
Au kama vipi anaweza akanipa mimi Richie Mugizi aka Nyani Ngabu halisi teh teh teh.
Mwenye tarifa atujuze ccm inazikwa wapi ??
wakuu mwenye updates atujuze kinachojiri kwenye huo mkutano ,sasa ni saa tano na nusu.
Mkuu mbona unataka kuwa conservative ivi upo wap kwanza nije kukuona unamkumbuka everlenk, cute b, atoto kiwatengu watakucheka unaaibisha timu yetu
Patience is the key Shem. If you can not wait, stand aside. Look, Listen and LEARN.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ikwete-ujumbe-wa-wazi-kutoka-kwa-mungu-1.html
Mnakula matapishi yenu ptuuuu....
Halafu mbona kila post unajibu wewe..maniner
Post gani niliyojibu isiyonihusu hem kakojoe ulale