Ccm c mlimkata sasa mbona roho zinawauma
haya majitu majinga sana, usiku kucha lowassa lowassa, wamwache wabaki na chama chao na mgombea wao wa mfukoni,
lowassa anakwenda kuwatumikia wananchi kupitia (UKAWA)
uhuru kenyata aliitwa mwuaji, lakini wanachi wa kenya hawakujali maana uhuru kenyata alikua mioyoni mwao,
nini kimzuie LOWASSA na maneno ya mtaani wakati wananchi wanamwaminu?
Sote tulishuudia kwenye zoezi la kutafuta wadhamini,
jinsi maelfu kwa mamilioni ya watu walivyo muunga mkono na kujitokeza kila alipokwenda,
najua kuna hoja za kijinga watu wanasema LOWASSA alionga watu,
embu kwa akili timamu tujiulize LOWASSA anapesa kiasi gani za kuweza kuwahonga watu wengi kiasi kile? Kama sio majungu ya ccm?
Nikweli LOWASSA hakutakiwa ccm maana hata mtoto wa Bwana mkubwa alinukuliwa wazi wazi akitoa lugha za kibaguzi kwa LOWASSA, achila mbali nape,na kinana,
sasa ule usemi usemao,
JIWE WALILO LIKATAA WA ASHI LIMEKUA JIWE KUU LA PEMBENI,
mimi nawapa pole chama cha mapinduzi, nakuwaomba watulietu,kwani mwisho wao ndio umefika,
wamshukuru MUNGU hata kwa hiyo miaka 50 waliyopewa maana hilishauri sila mwanadamu bali lina mkono wa MUNGU,
walimdharau Askofu Zacharia kakobe alipo mpelekea Mh Rais waraka wa ujumbe kutoka kwa MUNGU wakadharau na ule ujumbe ndio unatimia sasa,