CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

Hivi anatutafuta nini sisi watanzaia? Ana agenda gani nyuma yake. Ana malengo gani na nafasi hiyo. Mimi nashangaa kuona mtu ana uchu wa madaraka kiasi hicho
 
Ili wakamtangaze mtu waliyekuwa wanamuita fisadi kuwa ndo anapeperusha bendera ya CHADEMA? wakwende huko kura yangu kwa Magufuli
Kama ni ngumu kumeza tema!...suala la utampigia nani kura ni siri yako hatuhitaji kujua
 
Kilichofanywa na ccm ni kuonesha kuwa ccm ni chama makini ambacho kinaangalia misingi ya chama kuliko mtu.

Ndani ya chadema mbowe anafanya mambo kama anavyotaka na hakuna mtu wa kumshughulikia kwani yeye kama yeye anakiendesha chama kama saccos.

Na kama lowasa atahamia chadema hayatakuwa maamuz ya wote bali ni uamuz wa mbowe ambaye anafanya mambo kwa maslahi yake na familia yake
Lool pole yako...Ya ngoswe muachie ngoswe mzee......cant tell me u know CCM better!
 
Wakati fulani huwa inakuwa vigumu kukataa maoni ya mkubwa wako. Inasemekana Richmond ilikuwa ni shinikizo la baba riz kwa aliyekuwa waziri mkuu EL. Katika hotuba yake ya kijiuzulu alikuwa anashangaa tume ya akina Mwankyembe kutoihoji ofisi yake bali walipita sehemu zingine walizojua wao. Swali la kujiuliza kwanini hawakumhoji? Na kama alikuwa na hatia kwanini hakufunguliwa kesi mahakamani? Mimi naamini huenda kweli kulikuwa na hujuma dhidi yake iliyokuwepo ya kumuondolea umaarufu maana alikuwa tishio kwa mawaziri wazembe.

Lowassa ameonewa sana mkuu.

Lowassa kafanywa ngao na jalala ndani ya ccm,kumbe walaji wapo.

Kura nyingi atapata za huruma
 
Lowasa ndo kashakua raisi wa nchi hii ata mkatae vipi huo ndo ukweli.
 
pole kwa kuweweseka, ccm lazima ife na mtakufa nayo

Ni watu wenye akili tu ndio wenye kujua kuwa ukomboz unahitajika,jamaa anaandika mambo ya kijinga eti ndicho alichojifunza na anajiita eti ana akili,Lowasa sasa amehama ccm mwenye ubavu amshtaki kuwa ni fisadi,sasa nadhani ww hata ukweli ulio wazi huwez kuuona maana ww ni mpofu.
 
Kilichofanywa na ccm ni kuonesha kuwa ccm ni chama makini ambacho kinaangalia misingi ya chama kuliko mtu.

Ndani ya chadema mbowe anafanya mambo kama anavyotaka na hakuna mtu wa kumshughulikia kwani yeye kama yeye anakiendesha chama kama saccos.

Na kama lowasa atahamia chadema hayatakuwa maamuz ya wote bali ni uamuz wa mbowe ambaye anafanya mambo kwa maslahi yake na familia yake

Lowassa kaonewa sana na tutamchagua sasa
 
Ili wakamtangaze mtu waliyekuwa wanamuita fisadi kuwa ndo anapeperusha bendera ya CHADEMA? wakwende huko kura yangu kwa Magufuli
Na wewe na Magufuli mkwende huko kura yangu kwa Lowassa.
 
lowassa kaonewa sana na tutamchagua sasa

wanasheria wanasema you cannot benefit from your own mistakes. Alichokifanya akiwa ccm kilikiuka taratib na ndio maana akatemwa hii haina kifichomfanya akatolewa huko. Hapo hakuna uonevu. Unaua kuwa ndani ya chama changu kuanza kampen mapema ni kosa wewe unafanya makusudi ili upewe huruma. Hakuna kitu kama hicho mtu kuhutumiwa kwa makosa aliyoyafanya kwa makusudi
 
Lowassa ameonewa sana mkuu.

Lowassa kafanywa ngao na jalala ndani ya ccm,kumbe walaji wapo.

Kura nyingi atapata za huruma
Ni kweli kabisa mkuu,

Angalia yule muhindi aliyekamatwa na milioni 700 za Manji Dodoma wakati wa mchakato wa CCM zile pesa zilikuwa za kumsaidia mgombea yupi?!
Lakini kila mara tunajazwa ujinga Lowassa ndio anaonga!
 
CCM ikidhoofika, kushindwa na kuwa chama cha upinzani, wa kulaumiwa ni Mwenyekiti kwa kuwa yeye, mke na mtoto walijaribu kuwachagulia wanaCCM mgombea kinyume cha katiba ya CCM.

Tanzania kwanza, vyama baadaye.
 
Wala sijatoka mafichoni yakhe.

Ni kwamba tu kuna zuzu mmoja jana alikuwa anadai eti kajua jina langu halisi [well, main ID yangu humu nadhani unaijua, Nyani Ngabu].

Akadai kwamba eti jina langu la ukweli ni Richard Mugizi. Ukweli ni kwamba hilo jina ni random name tu nililotioa mtandaoni na wala si jina langu la kweli.

But, zuzu in true zuz fashion akajishawishi hadi akajiaminisha eti mimi [Nyani Ngabu] naitwa Richard Mugizi.

So ikabidi nijiandikishe tena kama Mugizi Richard kwa sababu Richard Mugizi ilikuwa kuwa merged na NN [ndo hapo huyo zuzu eti akapata "facts" zake kwamba ndo jina la ukweli la NN]. Hivyo wala sijafufuka. Nipo siku zote.

Speaking of Raj Patel, yule falla sijui yuko wapi siku hizi. Labda alirudi kwao Mumbai huko.

Ila nawe umeadimika sana aisee.....

Nimekupata Mkuu!!

Yah, yule mdosi wa CCM alikuwa ni Raj Patel.
 
Taarifa kutoka jukwaa la wahariri ni kwamba wahariri wameitwa Bahari Beach kesho saa 9:00 kuzungumza na uongozi wa Chadema. Hadhari imetolewa. Wahariri wote wapeleke taarifa ili wapewe kadi maalum za kuhudhuria mkutano huo. Ulinzi ni mkali. Yawezekana ndo wakawa wanamtangaza mwanachama mpya.

Chanzo: Katibu Jukwaa la Wahariri, Neville Meena usiku huu

Kuweni makini sana UKAWA, Usalama wa Wachumia tumbo nao watajipenyeza kama wahariri kwa lengo la kufanya hujuma; kila kitu kidhibitiwe vizuri kuanzia viti vya kukalia, maji ya kunywa, glasses na microphone zitakazotumiwa na wasemaji mbali mbali, wash rooms ziwe watched; conference room iwe scanned for bugs; vinasa sauti!! Be vigilant 24/7.
Msiwaone MaCCM wamelowana chapachapa mkafikiri wamesalimu amri; la hasha!!!! wanatunga sheria. They may be down but for sure they are not out, watch out!!
 
Back
Top Bottom