Tatizo la machadema huwa mavichwa yao yamejaa makamasi na mavi..View attachment 1967517
1. Hii serikali ni ya ajabu sana. Inasema uongo mchana kweupe.
2. Yaani kiongozi anatoka anasema tumepunguza tozo hii na ile ili kupunguza bei za nishati ya mafuta ya petrol, diesel na ya taa (kerosene).
3. Lakini cha ajabu, badala ya bei kupungua ndiyo zimeongezeka kwa wastani wa shilingi kati ya 12 hadi 50.
## Maswali ya kujiuliza ni:
å Hivi hii maana yake ni nini hasa?
å Je, kuna shida huko serikalini?
å Kwanini mambo yaende kinyume nyume? Yaani serikali inatamka hivi lakini practically inakuwa ni absolutely opposite kabisa.
å Je, serikali ya CCM imeamua kutufanya wana wa nchi hii wajinga na wapumbavu kiasi hiki?
Sawa sawa mkuuMkuu kaorodheshe machimbo mapya ya kitimoto kwenye ule uzi wetu pendwa.