CHADEMA wahaha kusaka mgombea urais 2015

CHADEMA wahaha kusaka mgombea urais 2015

Ccm mnauwezo wa kumtema EL? Hata kama mkijikakamua mpaka mtoe uchafu nyuma hamtaweza, mtaishia kubweka kama mbwa koko anayebweka akiona mgen yupo mbali akikaribia nyumba mbwa huufyata mkia na kukimbia. Ccm n chama kibogoyo hakiwez uma chchte that's why mafisadi nguli ndo viongoz wa juu wa magamba. CDM ni chama makin na ambacho kinauweza wa kuthubutu kufanya maamuz magumu ambayo ccm imeshndwa. Zito huyo ameshakuwa marehemu kiasiasa bado kuzikwa tu. Sishangai kwa wewe kuweka upuuz wako huu hapa kwan unaish kwa buku 7 za ccm ni lazma ujitoe akili, ukizngatia shule yenye ulikimbia.
 
Lizaboni na WanaJF,

Kwanza,Naomba Mleta Mada atuwekee Document ya Maandishi,audio au Video ya Lipumba akijadili na kutoa masharti hayo.Tusipende kulifanya jukwaa hili lionekane la Ovyo .Tumeshiriki sana kulijenga Jukwaa hili

Pili,CHADEMA kilishaweka wazi Msimamo wake.Hakitachukua mgombea kutoka CCM .Tunajitosheleza,tuna hazina kubwa ya Viongozi na tunaandaa viongozi.Bunge lililoisha Dr.Slaa alikua mbunge bora kabisa kwa mujibu wa ripoti za utafiti na vyombo vya habari viliandika

Ameendelea kuwa Mwanasiasa bora kabisa wa kiwango cha juu katika historia ya siasa za upinzani nchini

Ni kutokana na uzoefu na umaahiri huo wa kiutendaji,katika Bunge hili amekiwezesha chama kupata wabunge Bora kabisa kwa mujibu wa Ripoti ya Juzi.Wabunge wa CHADEMA ndio walioshika nafasi za juu kwa Ubora katika Bunge hili

Tatu,Siasa za kijinga na ushabiki uliopindukia na propaganda za kizamani kabisa zisitutoe katika Mstari

Hapa tunaambiwa Zitto na Kitila walikua nguzo na muhimili wa CHADEMA.

Sasa mleta Mada na kundi lake la propaganda kutoka Lumumba na vibaraka wao watuambie.Ni lini Zitto na Kitila walishiriki kujenga na kutekeleza programu ya CHADEMA NI MSINGI?

Hivi lini Zitto, Mwigamba, Kitila wamejenga Chadema!

Katika Uchaguzi wa Chadema unaoendelea nchi nzima toka ngazi ya Misingi kwa mara ya kwanza Chadema sasa ina misingi takriban 15,000 kati ya 18000 iliyopangwa. Ina Misingi takriban 193,000 kati ya 250,000.

Hivi Mchango wa Zitto,Kitila na Mwigamba hapa ni Upi?Tunaomba mje na data badala ya upuuzi huu

Naomba Watanzania,Vijana,wapenzi na wapenda Mabadiliko mpuuze propaganda yao hii ya kipuuzi kwa kiwango kinachostahili

Nne,Saed Kubenea hajawahi kuwa mshauri wa CHADEMA na hakuna cheo hicho kikatiba.

Aidha CHADEMA kama chama cha siasa,kinachojiandaa kuunda serikali kinaamini na kutambua fursa na nafasi yake kama taasisi yenye wajibu na jukumu la kimsingi kabisa hasa la kupokea ushauri na maoni kutoka kila kona ya nchi,kwa watanzania wote ndani na nchi wenye mapenzi mema na Chama na Taifa letu kwa ujumla.Uhuru wa maoni umehifadhiwa kikatiba na kuheshimiwa.wanachama wanawakilishwa pia na vyombo vya maamuzi walivyovichagua kidemokrasia kama vile Sekretarieti,Kamati Kuu,Baraza kuu kwa ngazi ya chama kitaifa ambapo mojawapo ya majukumu ya vyombo hivi ni kukishauri chama chetu

Mathalani,Ni lazima tukumbuke kuwa UKAWA ni Umoja wa Katiba ya Wananchi na lengo ni kulinda na kusimamia maoni ya wananchi katika mchakato huu wa katiba na si Vinginevyo.Umoja huu umehusisha vyama vya siasa vyenye nia ya kusimamia maoni ya wananchi na pia taasisi na makundi mbalimbali yaliyokua na uwakilishi na yasiyokua na uwakilishi kwenye Bunge la Katiba.Tutasimama na wananchi kwa maslahi yao na taifa kwa ujumla hadi tone la Mwisho.

Asanteni sana.Tulinde heshima ya JF kwa Data za uhakika ili tuendane na kauli mbiu ya "Jf-Home of Great Thinkers".Tupuuze propaganda zozote za kijinga.

CC: Paw, invisble, PainKiller

We pimbi unaongea nini sasa??

Unajua wewe na yule njaa kali mwenzio yericko ni machakubimbi sana.

Hizi chuki zenu dhidi ya zitto na kitila hata km nyinyi ni vifaranga tu zitawaua kabla ya wakati wenu mjue.

Hivi kweli wewe na wachaga wenzako mna jeuri ya kusimama na kubeza juhudi za zitto ktk kuijenga na kuitangaza chadema??

Wewe ni kama nani sasa ndan ya chadema??

Nje ya JF na facebook nani anakufaham wewe??

Do you think unaweza kuingia kwenye viatu vya zitto??

Wewe kapuku tu unafahamika hata chumba ya kulala unalipiwa njaa kali then uje uthubutu kuchukua attention ya watu hapa??

Hakuna Mtanzania -------- ambae anaweza kuja kuwapa nchi wachaga hata siku moja.

Acheni hizo ndoto za alinacha.

Ni kweli ccm imeoza lakini i am tellin you chadema ni disgrace kabisa wakichukua dola hii.

Na hawatachukua tu.

Take this a piece of an advice and i am puttin this to the shortest term known to me...''live your life...live now because there is no promise of second time again''...

Kijana mdogo kama wewe kuwa na mawazo ya chuki na uchawi uchawi utakufa siku si zako.

Acha Njaa.
 
Last edited by a moderator:
We mleta mada unazungumzia msalani au wapi?? CCM ndiyo mna mgombea wakati nyie wote majangili na majambazi. CDM ni adilifu na ndiyo chama pekee cha upinzani. 2010 CDM ilishinda kwa kishindo na Rais wenu anajua kilichofanyika na aliambiwa fika. Hakuba siri chini ya anga hili. CDM hata awe mgombea jiwe kitapata kura. Zitto wenu saliti is no more poitically. Kama mnaona ana umaarufu kisiasa mchukueni msione aibu kwa kuwa ni mwanachama wenu mtiifu mlikuwa mnamtumia.
 
We akili tope kabisa! Kubwa jinga si kubwa, mtoto si mtoto!Unaita kivuli mke wako? Pambaaf kabisa! Halafu labda wewe ni lijitu lenye nyadhifa unajificha nyuma ya avatar ya kikubwa jinga na mabandiko ya ki.pumbavu kabisa yanayoendana na avatar!

Cheupe.

Bomba hili Ooooh.

Shaurilako.
 
Hv Rais ameshakamilisha ahadi zake zote kwa watanzania?
 
We mleta mada unazungumzia msalani au wapi?? CCM ndiyo mna mgombea wakati nyie wote majangili na majambazi. CDM ni adilifu na ndiyo chama pekee cha upinzani. 2010 CDM ilishinda kwa kishindo na Rais wenu anajua kilichofanyika na aliambiwa fika. Hakuba siri chini ya anga hili. CDM hata awe mgombea jiwe kitapata kura. Zitto wenu saliti is no more poitically. Kama mnaona ana umaarufu kisiasa mchukueni msione aibu kwa kuwa ni mwanachama wenu mtiifu mlikuwa mnamtumia.

Wachaga nchi hii hamuwez kuichukua.

Piga ua ndoto zenu mtakufa nazo.

Wachaga sahauni hizo ndoto zenu za mchana.
 
We pimbi unaongea nini sasa??

Unajua wewe na yule njaa kali mwenzio yericko ni machakubimbi sana.

Hizi chuki zenu dhidi ya zitto na kitila hata km nyinyi ni vifaranga tu zitawaua kabla ya wakati wenu mjue.

Hivi kweli wewe na wachaga wenzako mna jeuri ya kusimama na kubeza juhudi za zitto ktk kuijenga na kuitangaza chadema??

Wewe ni kama nani sasa ndan ya chadema??

Nje ya JF na facebook nani anakufaham wewe??

Do you think unaweza kuingia kwenye viatu vya zitto??

Wewe kapuku tu unafahamika hata chumba ya kulala unalipiwa njaa kali then uje uthubutu kuchukua attention ya watu hapa??

Hakuna Mtanzania -------- ambae anaweza kuja kuwapa nchi wachaga hata siku moja.

Acheni hizo ndoto za alinacha.

Ni kweli ccm imeoza lakini i am tellin you chadema ni disgrace kabisa wakichukua dola hii.

Na hawatachukua tu.

Take this a piece of an advice and i am puttin this to the shortest term known to me...''live your life...live now because there is no promise of second time again''...

Kijana mdogo kama wewe kuwa na mawazo ya chuki na uchawi uchawi utakufa siku si zako.

Acha Njaa.

Jiite pimbi mwenyewe kwanza. Acha kuita watu majina machafu. Kawaite kina msalani. Yeye amesema au kutoa mawazo take kama huyataki acha kusoma. Eti wewe GT unaita wenzio pimbi??
 
We pimbi unaongea nini sasa??

Unajua wewe na yule njaa kali mwenzio yericko ni machakubimbi sana.

Hizi chuki zenu dhidi ya zitto na kitila hata km nyinyi ni vifaranga tu zitawaua kabla ya wakati wenu mjue.

Hivi kweli wewe na wachaga wenzako mna jeuri ya kusimama na kubeza juhudi za zitto ktk kuijenga na kuitangaza chadema??

Wewe ni kama nani sasa ndan ya chadema??

Nje ya JF na facebook nani anakufaham wewe??

Do you think unaweza kuingia kwenye viatu vya zitto??

Wewe kapuku tu unafahamika hata chumba ya kulala unalipiwa njaa kali then uje uthubutu kuchukua attention ya watu hapa??

Hakuna Mtanzania -------- ambae anaweza kuja kuwapa nchi wachaga hata siku moja.

Acheni hizo ndoto za alinacha.

Ni kweli ccm imeoza lakini i am tellin you chadema ni disgrace kabisa wakichukua dola hii.

Na hawatachukua tu.

Take this a piece of an advice and i am puttin this to the shortest term known to me...''live your life...live now because there is no promise of second time again''...

Kijana mdogo kama wewe kuwa na mawazo ya chuki na uchawi uchawi utakufa siku si zako.

Acha Njaa.

Wewe unahitaji ushauri nasaha.Huhitaji kujibiwa kwa hoja wala Matusi.Unahitaji ushauri na maombi
 
Lizaboni ni nani amekudanganya kuwa Dr. Slaa hana mvuto. Aaaaa wapi. Aliwaburuza 2010 mkakimbia na masanduku ya kura na kuweka vijana Sea View Upanga mkaanza kuchakachua. Hakuna siri chini ya anga hili maana nyoka wenu siku hizi mambo nje nje. Kwa taarifa tu Dr. Slaa atakuwa Rais wako.
 
Dr. Slaa ni mchaga??? Akili yako ndiyo imefika mwisho wa kufikiria??? Wachaga ni taifa kubwa. Miaka yote hawajawa na Rais wala PM na wako juu kimaendeleo. Hawana mpango. Ni wachapa kazi hawategemei kukimbilia vyeo. Nyie wavivu ndiyo mnaona vyeo ni Mungu wenu ili mkaibe kama mnavyofanya sasa.
 
Wadau, ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa hakijiwezi tena na kimechoka hadi huruma.

Kwa ujumla ni kwamba, CHADEMA hawana mtu mwenye sifa, uwezo wala hadhi kuweza kukiwezesha chama kupata angalau asilimia 10 ya kura za Rais. Tegemeo lao hapo awali lilikuwa kwa Dr Slaa. Hata hivyo, imedhihirika kuwa kwa sasa Dr Slaa hana mvuto tena na kama chadema wataamua kiubishi ubishi kumsimamisha kugombea, hakika wataangukia pua kabisa. Hadhi ya Dr Slaa kwa sasa imeshuka sana na wataalam wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa asipojiangalia mwisho wake utakuwa mbaya zaidi. Kushuka kwa hadhi kwa Dr Slaa pamoja na mambo mengine kumeelezwa kuwa kumetokana na kitendo chake cha kupanga, kuratibu na kusimamia mpango wa kumng'oa Zitto Kabwe kwenye chama hicho. Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa uwepo wa wanasiasa nguli kama Zitto Kabwe na wasomi mahiri kama Dr Kitila Mkumbo na wapanga mikakati kama Samson Mwigamba kulikiwezesha chama hicho kuaminiwa na wananchi wengi. hata hivyo, baada ya maamuzi ya kuwafukuza akina Zitto, imeelezwa kuwa wafuasi wengi wa chama hicho wameamua kurejea CCM huku wengine wakijiunga chama kipya cha ACT Tanzania. Freeman Mbowe anayo tamaa ya kugombea urais. Hata hivyo tatizo kwake ni Elimu. Mbowe hana elimu ya Shahada inayohitajika kwa mtu kuteuliwa kuwa mgombea Urais.

Blan B ya CHADEMA katika kupata mgombea mwenye sifa ni kuangalia ndani ya mahasimu wao wakubwa kisiasa, Chama cha Mapinduzi ambacho kimesheheni wanasiasa nguli vijana kwa wazee ambao ni Presidential Materials. Target yao kubwa ni wanasiasa wanaotoka mikoa ya Kaskazini na kanda ya Ziwa. Hapa CHADEMA wamekuwa kama fisi ambaye anangojea mkono wa binadau udondoke ili auokote. Lakini wapiiii! CHADEMA nao wanafuata matendo ya fisi. Wanasubiri CCM wateleze hasa katika mchakato wao wa kumpata mgombea urais. Inadaiwa kuwa CHADEMA wanamuangalia sana Edward Lowasa. Kwao wanamuona kuwa Lowasa ni mtu ambaye atakisaidia chama chao kushinda urais wa 2015. Wao wanaamini kuwa LOWASA atatemwa na chama chake kwenye kinyang'anyiro cha urais kitendo ambacho kitasababisha EL ahame chama chake na kujiunga na CDM. Inadaiwa kuwa tayari CHADEMA wamewasilisha mpango wao kwa EL. Hata hivyo, taarifa za ndani zinasema kuwa Lowasa amewaambia live kwamba ikiwa ataamua kugombea urais, basi itakuwa ni kwa tiketi ya CCM kauli ambayo imewakatisha tamaa sana. Baada ya kugonga mwamba kwa Lowasa, inaelezwa kuwa Sumaye na Mama Anna Kajumulo Tibaijuka ni miongoni mwa wanaopendekezwa na Mzee wa Tengeru katika nafasi ya Urais.

Plan C ya CHADEMA ni kuanzisha muungano fake na vyama vingine vya siasa. Kwa kuanzia wameunda umoja ujulikanao kama UKAWA. Ingawa umoja huo lengo kuu ni kupigania Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, inaelezwa kuwa lengo kuu ni kuwahadaa wanasiasa mahiri wa vyama vingine kama akina Prof Ibrahim Lipumba na James Mbatia. Hapa CHADEMA wanajifanya sitaki nataka. Kwamba, CHADEMA wametoa matamko kuwa UKAWA itasimamisha mgombea mmoja tu katika ngazi ya Rais. Mapendekezo ya awali ni kumsimamisha Mchungaji Christopher Mtikila. Hata hivyo, inadaiwa kuwa James Mbatia, Ibrahim Lipumba na wahafidhina wa CHADEMA wamekataa mapendekezo hayo. Lipumba anadai kuwa ndani ya UKAWA, yeye ndiye Msomi na mkongwe kwenye siasa kuliko wote. Hivyo amewapa masharti kwamba ikiwa UKAWA wataamua kusimamisha Mgombea Urais mmoja, basi wamteue yeye kuwa mgombea. Hata hivyo mzee wa Tengeru amekataa pendekezo hilo la Lipumba kwa sababu zinazojulikana.

Kwa hali hiyo, mipango yote ya CHADEMA Yaani Plan A, B na C imekwama. Wamebaki kutapatapa tu na washauri wao akina Saed Kubenea wanaonekana kukosa kabisa mbinu za kukinusuru chama.

Nawasilisha.
mtoa mada kapange upya propaganda zako, watanzania ni watu wa ajabu sana, CCM imeshindwa kuongoza nchi, tuna taabika kwa kukosa huduma muhimu za jamii, wakina mama wanakosa sehemu za kujifungulia, watoto wanasoma chini ya miti, barabara ovyo, ufisadi wa kutisha kila sehemu.yaani ni aibu sana lazima tuwe wazalendo.It is time to make change, angalia watu wa zambia, kenya, malawi etc, sisi mtu anapofanya vibaya ndiyo kwanza tunamuona shujaa, hii ni aibu kwetu na vizazi vijavyo.
 
mtei amesema dr.slaa amepoteza mvuto, hafai kuwa rais,, sasa sijui nani atagombea mwakan
 
mtei amesema dr.slaa amepoteza mvuto, hafai kuwa rais,, sasa sijui nani atagombea mwakan
 
Wewe unahitaji ushauri nasaha.Hujitaji kujibiwa kwa hoja wala Matusi.Unahitaji ushauri na maombi

Kwa ufupi tu ni kwamba.

Tunajua una njaa sana.

Tena ni njaa isiyo na kifani.

Sometimes njaa humfanya mtu awe chizi au kupelekwa pelekwa kama boya linavypelekwa na upepo.

Mimi sitaki unijibu.

Ila nakuambia sasa kwamba ishi maisha yako.

Acha kuwangia maisha ya wenzako.

Sad destiny unejitengenezea wewe mwenyewe sasa usije sasa kuweka husda kwenye maisha ya wanaume.

Hizo ni tabia za kina kaka poa.

Huwez kumfikia zitto hata kitila mkumbo.

Na sio wewe tuh hata hao wachaga wenzako mbowe na huyo padre zinifu hawawez kufikia status yake.

Mmekiua chama wenyewe kwa upuuz wenu wa kuendekeza

1.udini

2.uchaga

3.ubaguz wa ukanda.

Hata mkijificha nyuma ya ukawa haitawasaidia.

Acha Njaa ishi maisha yako.

Au kama vipi rudi India kasomee tena Degree zako hopless za kuzalisha pili pili.

Si ni msomi wewe naskia.

Utasaga sana lami hadi akili ikukae sawa.
 
Daaa!!
 
Kwanza,Leta hiyo Kauli ya Mzee Mtei

Pili,Njoo na ID yako Halisi

hiyo kauli ameitoa BBC.. mtei amesema chadema wachague mgombea urais mapema ili watanzania wampime .dr slaa hafai amepoteza mvuto
 
Ndiyo hivyo.

Wachaga waaache kupoteza muda wao bure.

Sisi Watanzania sio wajinga kias hiko tushindwe kujua hatari na hulka zao hawa hadi tuwaachie hatamu za uongozi.

Hilo wakae wakitambua kabisa.
 
Back
Top Bottom