CHADEMA wahaha kusaka mgombea urais 2015

CHADEMA wahaha kusaka mgombea urais 2015

Acha upumbavu wewe,tunajua umetumwa na mafisadi ili umchafue kamanda wetu Dr.slaa,Dr.slaa bado anakubalika sana na ndiye raisi ajaye,ccm mmetuchosha hamna jipya,miaka 50 yote ni zero
 
Kwa taarifa yako mie siiogopi kabisa CHADEMA. Ila nawahurumia sana wale walioweka matumaini kwa hawa matapeli wa kisiasa, CHADEMA

Dr Slaa ndiye mtu maarufu zaidi katika ukanda wa maziwa makuu na waweza lithibitisha hilo kwa kuandaa mpambano aidha wa kura hapa jf au wa live popote pale.kama ni hapa mwanza chagua mtu yeyote ccm afanye mkutano wake siku na saa ile ile na Dr Slaa uone jinsi dr alivyo maarufu! Kiufupi tu ni kuwa anawanyima usingizi mainterahamwe!
 
Wachaga watambue kabisa.
Hakuna mjinga mjinga watakaemtawala.

kwa jinsi ulivyo kubwa jinga unadhani siasa zenu mufilisi za ukabila na udini zitawaokoa! Wasukuma wa mwanza,shinyanga na simuyu tunamkubali Dr Slaa na ndiye rais wetu ajaye! Hutaki jinyonge!
 
...wananchi walishamzika mtu wenu huyo - ngoja nikukumbushe kidogo. CIMG1351.JPG
CIMG1376.JPG
 
mleta mada namshauri tu ajipange upya,siasa nyepesi kama hizi haziwezi kufua dafu mbele ya cdm! Wameshindwa mabwana zako lukuvi,wasira,policcm na tissem sembuse wewe kikonokono tu!????
 
Cheupe.

Bomba hili Ooooh.

Shaurilako.
bomba la sewage! Bomba la uchafu ndani ya jf, kubwa jinga! Pambaaf kabisa wewe!Nimeona kwenye ule mjadala ambao wewe ni mdandia bomba wa Mtwara,, eti ukimuita Pamba wemba cheupe! Kubwa jinga una udhaifu wa rangi we mtumwa wa akili?
 
Shauri lako.

Utalowa asaivi.

Bomba hili.

Ooooh.
 
Kwa ufupi tu ni kwamba.

Tunajua una njaa sana.

Tena ni njaa isiyo na kifani.

Sometimes njaa humfanya mtu awe chizi au kupelekwa pelekwa kama boya linavypelekwa na upepo.

Mimi sitaki unijibu.

Ila nakuambia sasa kwamba ishi maisha yako.

Acha kuwangia maisha ya wenzako.

Sad destiny unejitengenezea wewe mwenyewe sasa usije sasa kuweka husda kwenye maisha ya wanaume.

Hizo ni tabia za kina kaka poa.

Huwez kumfikia zitto hata kitila mkumbo.

Na sio wewe tuh hata hao wachaga wenzako mbowe na huyo padre zinifu hawawez kufikia status yake.

Mmekiua chama wenyewe kwa upuuz wenu wa kuendekeza

1.udini

2.uchaga

3.ubaguz wa ukanda.

Hata mkijificha nyuma ya ukawa haitawasaidia.

Acha Njaa ishi maisha yako.

Au kama vipi rudi India kasomee tena Degree zako hopless za kuzalisha pili pili.

Si ni msomi wewe naskia.

Utasaga sana lami hadi akili ikukae sawa.

Pig IQ.....! ! !
 
Ukawa watasimamisha mgombea mmoja na kuna hazina majembe ya kumwaga kutoka cdm, nccr, cuf na etc hatuna mpango wa kuokoteza scrapers za ccm!!
 
Kwa ufupi tu ni kwamba.

Tunajua una njaa sana.

Tena ni njaa isiyo na kifani.

Sometimes njaa humfanya mtu awe chizi au kupelekwa pelekwa kama boya linavypelekwa na upepo.

Mimi sitaki unijibu.

Ila nakuambia sasa kwamba ishi maisha yako.

Acha kuwangia maisha ya wenzako.

Sad destiny unejitengenezea wewe mwenyewe sasa usije sasa kuweka husda kwenye maisha ya wanaume.

Hizo ni tabia za kina kaka poa.

Huwez kumfikia zitto hata kitila mkumbo.

Na sio wewe tuh hata hao wachaga wenzako mbowe na huyo padre zinifu hawawez kufikia status yake.

Mmekiua chama wenyewe kwa upuuz wenu wa kuendekeza

1.udini

2.uchaga

3.ubaguz wa ukanda.

Hata mkijificha nyuma ya ukawa haitawasaidia.

Acha Njaa ishi maisha yako.

Au kama vipi rudi India kasomee tena Degree zako hopless za kuzalisha pili pili.

Si ni msomi wewe naskia.

Utasaga sana lami hadi akili ikukae sawa.
Lakini haumfikii benn kwa maisha wewe unategemea vya kunyongwa mwenzako abapigana kuishi.ngonja mzee wako azimike utapauka na jinsi ulivyo na manyama uzembe utaonekana kama kichaa.funguka kama mtoto wa komba.
 
Wachaga nchi hii hamuwez kuichukua.

Piga ua ndoto zenu mtakufa nazo.

Wachaga sahauni hizo ndoto zenu za mchana.

Neno wachaga ondoeni midomoni mwenu, propaganda hii ya kizamani haiuzi tena dhidi ya CHADEMA.

CHADEMA Tupo wasubi, wahaya, wajaluo, wasukuma, wadigo nk ONDOENI PROPAGANDA MFU, TAJENI VITU VYENYE MASHIKO. HATA KWENYE MTANDAO VIJANA HAWADANGANYWI TENA. ZUNGUMZENI VITU VINGINE VYA KUBOMOA CDM SI UCHAGA. NDIO MAANA LIPUMBA ALIWAITA NTARAHAMWE, WACHOCHEZI WAKUBWA NYIE.
 
Back
Top Bottom