CHADEMA wahaha kusaka mgombea urais 2015

Wanaacha kwenda kumzika mjumbe wa halmashauri kuu ya chama kisa kukimbilia harusi??
 
kweli chadema hakuna mgombea hata cuf na vyama vyote hata ccm bora aendelee jk
 
Wadau, ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa hakijiwezi tena na kimechoka hadi huruma.

Kwa ujumla ni kwamba, CHADEMA hawana mtu mwenye sifa, uwezo wala hadhi kuweza kukiwezesha chama kupata angalau asilimia 10 ya kura za Rais. Tegemeo lao hapo awali lilikuwa kwa Dr Slaa. Hata hivyo, imedhihirika kuwa kwa sasa Dr Slaa hana mvuto tena na kama chadema wataamua kiubishi ubishi kumsimamisha kugombea, hakika wataangukia pua kabisa. Hadhi ya Dr Slaa kwa sasa imeshuka sana na wataalam wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa asipojiangalia mwisho wake utakuwa mbaya zaidi. Kushuka kwa hadhi kwa Dr Slaa pamoja na mambo mengine kumeelezwa kuwa kumetokana na kitendo chake cha kupanga, kuratibu na kusimamia mpango wa kumng'oa Zitto Kabwe kwenye chama hicho. Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa uwepo wa wanasiasa nguli kama Zitto Kabwe na wasomi mahiri kama Dr Kitila Mkumbo na wapanga mikakati kama Samson Mwigamba kulikiwezesha chama hicho kuaminiwa na wananchi wengi. hata hivyo, baada ya maamuzi ya kuwafukuza akina Zitto, imeelezwa kuwa wafuasi wengi wa chama hicho wameamua kurejea CCM huku wengine wakijiunga chama kipya cha ACT Tanzania. Freeman Mbowe anayo tamaa ya kugombea urais. Hata hivyo tatizo kwake ni Elimu. Mbowe hana elimu ya Shahada inayohitajika kwa mtu kuteuliwa kuwa mgombea Urais.

Blan B ya CHADEMA katika kupata mgombea mwenye sifa ni kuangalia ndani ya mahasimu wao wakubwa kisiasa, Chama cha Mapinduzi ambacho kimesheheni wanasiasa nguli vijana kwa wazee ambao ni Presidential Materials. Target yao kubwa ni wanasiasa wanaotoka mikoa ya Kaskazini na kanda ya Ziwa. Hapa CHADEMA wamekuwa kama fisi ambaye anangojea mkono wa binadau udondoke ili auokote. Lakini wapiiii! CHADEMA nao wanafuata matendo ya fisi. Wanasubiri CCM wateleze hasa katika mchakato wao wa kumpata mgombea urais. Inadaiwa kuwa CHADEMA wanamuangalia sana Edward Lowasa. Kwao wanamuona kuwa Lowasa ni mtu ambaye atakisaidia chama chao kushinda urais wa 2015. Wao wanaamini kuwa LOWASA atatemwa na chama chake kwenye kinyang'anyiro cha urais kitendo ambacho kitasababisha EL ahame chama chake na kujiunga na CDM. Inadaiwa kuwa tayari CHADEMA wamewasilisha mpango wao kwa EL. Hata hivyo, taarifa za ndani zinasema kuwa Lowasa amewaambia live kwamba ikiwa ataamua kugombea urais, basi itakuwa ni kwa tiketi ya CCM kauli ambayo imewakatisha tamaa sana. Baada ya kugonga mwamba kwa Lowasa, inaelezwa kuwa Sumaye na Mama Anna Kajumulo Tibaijuka ni miongoni mwa wanaopendekezwa na Mzee wa Tengeru katika nafasi ya Urais.

Plan C ya CHADEMA ni kuanzisha muungano fake na vyama vingine vya siasa. Kwa kuanzia wameunda umoja ujulikanao kama UKAWA. Ingawa umoja huo lengo kuu ni kupigania Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, inaelezwa kuwa lengo kuu ni kuwahadaa wanasiasa mahiri wa vyama vingine kama akina Prof Ibrahim Lipumba na James Mbatia. Hapa CHADEMA wanajifanya sitaki nataka. Kwamba, CHADEMA wametoa matamko kuwa UKAWA itasimamisha mgombea mmoja tu katika ngazi ya Rais. Mapendekezo ya awali ni kumsimamisha Mchungaji Christopher Mtikila. Hata hivyo, inadaiwa kuwa James Mbatia, Ibrahim Lipumba na wahafidhina wa CHADEMA wamekataa mapendekezo hayo. Lipumba anadai kuwa ndani ya UKAWA, yeye ndiye Msomi na mkongwe kwenye siasa kuliko wote. Hivyo amewapa masharti kwamba ikiwa UKAWA wataamua kusimamisha Mgombea Urais mmoja, basi wamteue yeye kuwa mgombea. Hata hivyo mzee wa Tengeru amekataa pendekezo hilo la Lipumba kwa sababu zinazojulikana.

Kwa hali hiyo, mipango yote ya CHADEMA Yaani Plan A, B na C imekwama. Wamebaki kutapatapa tu na washauri wao akina Saed Kubenea wanaonekana kukosa kabisa mbinu za kukinusuru chama.

Nawasilisha.

Bata kaharisha jukwaani
 
buku Saba za Lumumba ukiweka na dawa ya Ukawa inavyo waingia basi lazima mnaweweseka
 
ukiona mtu anakosa usingizi na kuhangaika na ya jirani yake, ujue huyo hana mapungufu, bali yeye mwenyewe ni pungufu

very weak and poor state of mind LIZABONI
 
hao wachambuzi wa siasa wanaonekana ni wewe mwenyewe! Pole mno
 
Hapo kwenye RED ndo panahitaji ufafanuzi sheikh!!!!!

Samahani hii Sheikh hapa haifai wana jf wengi au tuseme 90% ni black jews.

Kwa hiyo kitu sheikh humu jf huwa unaitoa hadhi yake. 🍂
 
Mkuu, ina maana hujui kwa nini Mzee wa Tengeru anapinga mapendekezo ya Lipumba? Masihara hayo
Au kwakuwa Muislamu?[emoji2][emoji1][emoji38][emoji547]

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Wadau, ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa hakijiwezi tena na kimechoka hadi huruma.

Plan C ya CHADEMA ni kuanzisha muungano fake na vyama vingine vya siasa. Kwa kuanzia wameunda umoja ujulikanao kama UKAWA. Ingawa umoja huo lengo kuu ni kupigania Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, inaelezwa kuwa lengo kuu ni kuwahadaa wanasiasa mahiri wa vyama vingine kama akina Prof Ibrahim Lipumba na James Mbatia. Hapa CHADEMA wanajifanya sitaki nataka. Kwamba, CHADEMA wametoa matamko kuwa UKAWA itasimamisha mgombea mmoja tu katika ngazi ya Rais. Mapendekezo ya awali ni kumsimamisha Mchungaji Christopher Mtikila. Hata hivyo, inadaiwa kuwa James Mbatia, Ibrahim Lipumba na wahafidhina wa CHADEMA wamekataa mapendekezo hayo. Lipumba anadai kuwa ndani ya UKAWA, yeye ndiye Msomi na mkongwe kwenye siasa kuliko wote. Hivyo amewapa masharti kwamba ikiwa UKAWA wataamua kusimamisha Mgombea Urais mmoja, basi wamteue yeye kuwa mgombea. Hata hivyo mzee wa Tengeru amekataa pendekezo hilo la Lipumba kwa sababu zinazojulikana.

Kwa hali hiyo, mipango yote ya CHADEMA Yaani Plan A, B na C imekwama. Wamebaki kutapatapa tu na washauri wao akina Saed Kubenea wanaonekana kukosa kabisa mbinu za kukinusuru chama.

Nawasilisha.

Kumbe Muungano ukiwa wa CDM na vyama vingine unakuwa Feki siyo.
Je ule wa CUF na CCM Zenji vipi sio Feki?
Umeshachukua chako? . Mjini shule jitahidi kuenendelea kufanya kazi nzuri Lumumba wasikusahau.
 
Tusishabikie chama kilichokufa

Mpuuzi ni pamoja na yule ajitiaye hamnazo,hivi ni nani alikudanganya kuwa tatizo la nchi hii ni rais?
Ccm kwa kuwa mmeshindwa kuwaletea wananchi maendeleo mmefanya nafasi ya urais kama dili,ndio maana unapekenyua ukitaduta mgogiro kati ya chadema na marafiki zao nccr na cuf.
serikali ya makaburu iliposhindwa kuleta maendrlro sawia kwa kila raia,ilipobanwa mbavu na ANC ilimtangangaza Mandela kama gaidi na mroho wa madaraka,chadema ina hazina na suala la urais halituumizi kichwa kama ccm ambao bungeni juzi,kupitia kwa mbunge wa msalala slianza kupiga debe kwa Ngereja,uvccm wanamtaja Membe,cc wanapiga ndogondogo kwa mama Asha migito,mara Lowassa,mara makamba,.Hivi sumaye makamba,lowasa,ngereja,migiro, mmeona tatizo la nchi hii ni Kukosekana kwa rais?, ndio maana mnafikiri sana urais kuliko maendeleo,ccm ni janga!
 
Wadau, ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa hakijiwezi tena na kimechoka hadi huruma.

Kwa ujumla ni kwamba, CHADEMA hawana mtu mwenye sifa, uwezo wala hadhi kuweza kukiwezesha chama kupata angalau asilimia 10 ya kura za Rais. Tegemeo lao hapo awali lilikuwa kwa Dr Slaa. Hata hivyo, imedhihirika kuwa kwa sasa Dr Slaa hana mvuto tena na kama chadema wataamua kiubishi ubishi kumsimamisha kugombea, hakika wataangukia pua kabisa. Hadhi ya Dr Slaa kwa sasa imeshuka sana na wataalam wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa asipojiangalia mwisho wake utakuwa mbaya zaidi. Kushuka kwa hadhi kwa Dr Slaa pamoja na mambo mengine kumeelezwa kuwa kumetokana na kitendo chake cha kupanga, kuratibu na kusimamia mpango wa kumng'oa Zitto Kabwe kwenye chama hicho. Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa uwepo wa wanasiasa nguli kama Zitto Kabwe na wasomi mahiri kama Dr Kitila Mkumbo na wapanga mikakati kama Samson Mwigamba kulikiwezesha chama hicho kuaminiwa na wananchi wengi. hata hivyo, baada ya maamuzi ya kuwafukuza akina Zitto, imeelezwa kuwa wafuasi wengi wa chama hicho wameamua kurejea CCM huku wengine wakijiunga chama kipya cha ACT Tanzania. Freeman Mbowe anayo tamaa ya kugombea urais. Hata hivyo tatizo kwake ni Elimu. Mbowe hana elimu ya Shahada inayohitajika kwa mtu kuteuliwa kuwa mgombea Urais.

Blan B ya CHADEMA katika kupata mgombea mwenye sifa ni kuangalia ndani ya mahasimu wao wakubwa kisiasa, Chama cha Mapinduzi ambacho kimesheheni wanasiasa nguli vijana kwa wazee ambao ni Presidential Materials. Target yao kubwa ni wanasiasa wanaotoka mikoa ya Kaskazini na kanda ya Ziwa. Hapa CHADEMA wamekuwa kama fisi ambaye anangojea mkono wa binadau udondoke ili auokote. Lakini wapiiii! CHADEMA nao wanafuata matendo ya fisi. Wanasubiri CCM wateleze hasa katika mchakato wao wa kumpata mgombea urais. Inadaiwa kuwa CHADEMA wanamuangalia sana Edward Lowasa. Kwao wanamuona kuwa Lowasa ni mtu ambaye atakisaidia chama chao kushinda urais wa 2015. Wao wanaamini kuwa LOWASA atatemwa na chama chake kwenye kinyang'anyiro cha urais kitendo ambacho kitasababisha EL ahame chama chake na kujiunga na CDM. Inadaiwa kuwa tayari CHADEMA wamewasilisha mpango wao kwa EL. Hata hivyo, taarifa za ndani zinasema kuwa Lowasa amewaambia live kwamba ikiwa ataamua kugombea urais, basi itakuwa ni kwa tiketi ya CCM kauli ambayo imewakatisha tamaa sana. Baada ya kugonga mwamba kwa Lowasa, inaelezwa kuwa Sumaye na Mama Anna Kajumulo Tibaijuka ni miongoni mwa wanaopendekezwa na Mzee wa Tengeru katika nafasi ya Urais.

Plan C ya CHADEMA ni kuanzisha muungano fake na vyama vingine vya siasa. Kwa kuanzia wameunda umoja ujulikanao kama UKAWA. Ingawa umoja huo lengo kuu ni kupigania Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, inaelezwa kuwa lengo kuu ni kuwahadaa wanasiasa mahiri wa vyama vingine kama akina Prof Ibrahim Lipumba na James Mbatia. Hapa CHADEMA wanajifanya sitaki nataka. Kwamba, CHADEMA wametoa matamko kuwa UKAWA itasimamisha mgombea mmoja tu katika ngazi ya Rais. Mapendekezo ya awali ni kumsimamisha Mchungaji Christopher Mtikila. Hata hivyo, inadaiwa kuwa James Mbatia, Ibrahim Lipumba na wahafidhina wa CHADEMA wamekataa mapendekezo hayo. Lipumba anadai kuwa ndani ya UKAWA, yeye ndiye Msomi na mkongwe kwenye siasa kuliko wote. Hivyo amewapa masharti kwamba ikiwa UKAWA wataamua kusimamisha Mgombea Urais mmoja, basi wamteue yeye kuwa mgombea. Hata hivyo mzee wa Tengeru amekataa pendekezo hilo la Lipumba kwa sababu zinazojulikana.

Kwa hali hiyo, mipango yote ya CHADEMA Yaani Plan A, B na C imekwama. Wamebaki kutapatapa tu na washauri wao akina Saed Kubenea wanaonekana kukosa kabisa mbinu za kukinusuru chama.

Nawasilisha.
Lazima wahahe maana hakuna anayeutaka urais boya wa jamhuri ya muungano utakaokufa kwa akili mbaya ya cdm. Watu makini wanautaka urais wa Jamhuri kupitia ccm. cdm kwa serikali 3 wameamua kucheza garasha.
 
Wewe ndio wale ambao hata ukitukanwa utapiga makofi tu.Hao presidential material si ndio wametufikisha hapa.

Kama kweli wewe unajiamini weka hapa ushahidi au utetezi hao uliowataja wametusaidiaje kama nchi kutatua kero za wananchi.

Pili kuwa mkweli kati ya hao ni wangapi walishatajwa au hata kusikia tuhuma zao juu ya vitendo vya kifisadi walivyotendea nchi hii?

Tatu, tuambie kikubwa walichofanya kwenye majimbo yao ya uchaguzi ambacho unadhani wakipewa nchi wanaweza kutuletea maendeleo.Kama hutajibu haya maswali nakushauri urudishe buku 7000 za watu Lumumba.
 
Hilo ndilo lililobaki kuchonganisha dini na siasa,mnaakili finyu kweli
Sent from my GT-I9192 using Tapatalk[/QUOTE]hivi nani aliwadanganya kuwa kitila,mwigamba na zitto ndio wenye akili kuliko wanachama wote wa chadema?, siasa nzuri ni kushughulikia matatizo yenu si kila siku kuchonganisha watu.Tuwape ushauri kwa kuwa mnaona wanaakili kuliko waliobaki chadema wachukueni mwakabidhi zile nafasi tano za juu za ccm ili ccm ije ishinde kwa vishindo.Nawashauri sera mpeni kitila,m/ kiti mtoeni kikwete mpeni zitto zuberi kabwe,katibu mkuu mpeni samsoni mwigamba badala ya kinana mtawachapa chadema kipigo cha mbwa mwitu.msikae kuisema chadema haina mgombea wakati watu hao imewafukuza na ni faida kwenu sasa
 
Wewe ndio wale ambao hata ukitukanwa utapiga makofi tu.Hao presidential material si ndio wametufikisha hapa.

Kama kweli wewe unajiamini weka hapa ushahidi au utetezi hao uliowataja wametusaidiaje kama nchi kutatua kero za wananchi.

Pili kuwa mkweli kati ya hao ni wangapi walishatajwa au hata kusikia tuhuma zao juu ya vitendo vya kifisadi walivyotendea nchi hii?

Tatu, tuambie kikubwa walichofanya kwenye majimbo yao ya uchaguzi ambacho unadhani wakipewa nchi wanaweza kutuletea maendeleo.Kama hutajibu haya maswali nakushauri urudishe buku 7000 za watu Lumumba.
Ccm inapresidential material ya wezi,ndio maana utasikia kinana,ngereja,lowasaa,migiro,makamba,sumaye,nksiku zote wanatafuta urais hebu ona
1. Ngereja amefukuzwa uwaziri kwa kuchijengea hekalu la milioni 400 ndani ya miaka mitatu tu ya uwaziri ndio mgombea mtarajiwa
2. LOwassa alikataliwa na nyerete baada ya mzee kugundua kuwa ni mwizi,hadi sasa amekua akitoa fedha nyingi kwenye makanisa lengo awe rais ,lakini tunajiuliza je fedha hizo anatoa wapi si zile za maji yaliyoshindikana nchi nzima?

4. Makamba huyu kaingia wizarani tu ,anahonga bodabosda vijana mwanza ili awe rais,sijui atarudishaje
5. Sumaye anataka urais,lakini ndie huyu aliyeanzisha sheria ya takrima ili kuhonga wapiga kura
6. Kinana,huyu ndie mkwapuaji wa tembo wetu na ndiye mutaka urais
7. Membe huyu ni waziri ambae amekaria kosa la watumishi waandamizi kukwapua pesa kwa kisingizio cha ziara feki ya rais,ndie huyuhuyu aliyeiaminisha dunia kuwa ufisadi kwenye ununuzi wa Rada,wazungu walupofuatilia kupitia SFO na kesi kushinda kule uingereza,na pale fedha zilipolipwa ,huyuhuyu akasema fedha hizo ni zetu lazima ziingie mfuko wa serikali ndio rais atarajiwaye ,ni msululu wa wapigania maslahi.Tanzania itakuwa salama nje ya haya majamaa vinginevyo yanasaka dili( wasaka tonge), ndio hawa waitwao hazina ya urais kwa madidu haya!!!
 
Ukiona ID ya lizabon ujue ile nyingine mwanadiwani imepumzika ndio mahana aija apear laki yeye ni nape.
 
Back
Top Bottom