Siku Zote watu wenye RASTA iwa ni watetezi sana wa wanyonge.....na hawa watu sijui kwa nini Mungu iwa anachukua mapema na wale wanao tuumiza na kutukandamiza Mungu anawapa muda mrefu sana wa kuishi.
Chach asingeweza kuhamia CCM hakuwa kiongozi mnafiki kama wengine tunao waona,Hizi ni propaganda kali za CCM.
Kwahiyo ni wazi kuwa ccm na chadema wako responsible kwa kifo cha RASTA...Basi TAIFA LIKO HATARINI...NA usishangae kila mtu akafuga RASTA!
Waliowaweka CCM madarakani hawazidi 5,000. Una swali lingine 🙂
.
Message ya RASTA NI BLACK PEOPLE TO TAKE PRIDE ON THEMSELVES...SASA SHIDA IKO WAPI HAPO?
NA KAMA MAREHEMU ALIKUWA NA MSIMAMO KAMA HUO...ALIYEKUWA KINYUME NAYE NI NANI?
Sasa hii habari ya rastafarians na Wangwe kujiunga na CCM vinahusiana vipi?
Hivi tatizo ni CCM au waliowaweka CCM madarakani?
Waliowaweka CCM madarakani hawazidi 5,000. Una swali lingine 🙂
.Ndio, nina swali jingine; Hivi watu milioni 37 wanashindwa na hao 5,000?
Azimio la MOSHI NI LIPI? mimi silijui.
Kuhusu kuwa walikuwa na ugomvi nimesema kuwa hata wakati wa kupiga kura za mbunge wa E.A Assembly,wangwe alitoka nje ya ukumbi wa bunge ili asishiriki kumpigia kura ndugu yake. sasa wewe unaweza kuona extent ya ugomvi wao.
Jua pia huyu Prof.alienda Tarime kwa ajili ya kampeni za kumpinga wangwe akishirikiana na mdogo wa marehemu aliyekuwa mwenyekiti wa halimashauri ya Tarime kwa wakati huo.
Watu sasa watasema kila kitu wanachoweza kusema. Ni mbunge gani wa Tanzania amewahi kuhama chama kabla ya muda wa bunge kuisha? Kwa kuhama Wangwe angepoteza ubunge kitu ambacho kwa TZ ni ngumu sana.
Hata Mrema alihama dakika ya mwisho na akawahi kipindi cha kuteua wagombea urais.
Heshima Mbele,
Kwa mujibu wa habari nilizozipata toka Nyumbani Tanzania,na zimeandikwa katika moja ya magazeti ya leo huko Nyumbani ni kwamba Marehemu Chacha Wangwe alikuwa na mpango wa kuiacha CHADEMA na kuhamia CCM,na kabla ya kuhama alikuwa amepanga kuanika wazi wazi yale ya CHADEMA na ugomvi wao.
na lengo la kusambazwa kwa waraka ule kwa viongozi wa CCM ilikuwa ni kujiandaa na kumpokea Marehemu chacha Wangwe.
Masikini Chacha wangwe umetutoka kabla ya kueleza ukweli
Eh!!! Kumbe CHADEMA mkwara wote huo chadema ni CCM B!!! nimwage data?