CHADEMA Special Thread

CHADEMA Special Thread

Godbless Lema aisimamisha Arusha. Hebu fikiria chama kimetoka kufungiwa karibu mwaka mzima, lakini nyomi ni la kutosha. Na hapo Lema wala hajafanya promo. Amerudi tu nyumbani kusalimia washkaji zake. Hakuna aliyeletwa na lori, wala hakuna wanafunzi waliozolewa shuleni kwenda kujaza uwanja. Kila mtu ameenda kwa utashi wake. Asanteni sana "machalii wa ara" kwa heshima hii kubwa. Hakika Chadema ndio chama kikuu cha siasa Tanzania. CCM bila Polisi haina tofauti na Uncle T. Beki hazikabi. Bata, Wahed 😂😂
1778259712765.jpg
 
Mhe. John Heche leo Aprili 10, 2026 akiwa Bunda, Mkoa wa Mara, ameongoza harambee ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Jimbo la Bunda Mjini ambapo jumla ya shilingi milioni 15 zimepatikana.

Aidha, amepokea wanachama wapya na kuwakabidhi kadi ya uanachama.
1778482400545.jpg
1778482397683.jpg
1778482394645.jpg
 
Back
Top Bottom