CHADEMA ndani ya Songea mjini

Kama picha hii ni ya kweli, tz wameamka.

mkuu kama umebahatika kuangalia taarifa ya habari ya channel wameonyesha maandamano kama sikosei ni ya jana watu walikuwa ni wengi mno..cdm ni wakati mwafaka sasa wa kuanzisha vituo vya tv na radio hata website waitumie kutujulisha itaongeza hamasa
 
nyumbi Bombi, nimewakubali!! Safiiiiiiiiiiiiii sana, CDM mwendo mdundo.
 
Hili nyomi lilikuwa balaa, ndo maana nape kichwa kina muumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kwa hali hii sisiem a.k.a chama cha magamba hawaamini kama kweli wao ndio chama kilichopewa ridhaa na hawa wananchi kuiongoza serikali.
Walichakachua??
.
 
Hapa SONGEA mjini imedhiririsha CCM waliiba kura umati ulikuwa mkubwa sijapata kuona hakika Chadema chama tawala.
 
Hivi hiki chama cha magamba bado kinapumua kweli mi naona ka marehemu vile!
 
Da!wakuu mkutano ulikua pouwa Dk.waukweli ameongea kwa ufupi ila kila alichokiongea kilikua ni pointi,Zitto nae naona karudi kundini coz ameongea kama mwanachadema wa kipindi kileeee, na mwisho amemalizia mbowe kwa kutupa ali halisi kwamba kabla yakugomea hotuba ya rais ile ya kwanza Bungeni kuna waziri mkuu wa zamani (akutaja awamu) alimfata na kumwomba wasitoke Bungeni coz itakua aibu kwa mkuu ila akamjibu ipi aibu kati ya kuchakachua kura za Dk.Slaa na wao kutoka Bungeni?
MAANDAMANO
Da!wakuu nadhani katika mikoa yote waliokwisha pita hii ya leo FUNIKO maana watu walikua ni wengi wazee kwa vijana kweli Mtanzania wa sasa sio wa kumtawala kwa mabavu watu hawana woga walikua tayari kwa lolote
CCM
Jana alikuja Nape kama kawaida wakakodi magari ili yalete watu ila hataivyo idadi ya watu waliofika kwa ccm jana hawakufika hata nusu ya walioandamana leo
 
Ni muhimu Watanzania kuamka..hii kazi haiwezi kufanywa na chama cha magamba..hili sasa ni jukumu la Wazalendo, hapa namaanisha CDM.
Mungu awajaze hekima na busara katika ukombozi wa taifa letu dhidi ya wakoloni weusi..shame on them!! na walaaniwe wote waliotufikisha hapa..
 
Da!wakuu mkutano ulikua pouwa Dk.waukweli ameongea kwa ufupi ila kila alichokiongea kilikua ni pointi,Zitto nae naona karudi kundini coz ameongea kama mwanachadema wa kipindi kileeee, na mwisho amemalizia mbowe kwa kutupa ali halisi kwamba kabla yakugomea hotuba ya rais ile ya kwanza Bungeni kuna waziri mkuu wa zamani (akutaja awamu) alimfata na kumwomba wasitoke Bungeni coz itakua aibu kwa mkuu ila akamjibu ipi aibu kati ya kuchakachua kura za Dk.Slaa na wao kutoka Bungeni?
MAANDAMANO
Da!wakuu nadhani katika mikoa yote waliokwisha pita hii ya leo FUNIKO maana watu walikua ni wengi wazee kwa vijana kweli Mtanzania wa sasa sio wa kumtawala kwa mabavu watu hawana woga walikua tayari kwa lolote
CCM
Jana alikuja Nape kama kawaida wakakodi magari ili yalete watu ila hataivyo idadi ya watu waliofika kwa ccm jana hawakufika hata nusu ya walioandamana leo
Hivi Nape alikuwa Songea siyo Singida kama ndivyo CCM ni wachokozi kwa sababu mkutano wa Chadema ulikuwa unajulikana siku nyingi kwa nini walazimishe kufanya mkutano sehemu moja wakati Tanzania ni kubwa.
 
Back
Top Bottom