CHADEMA ndani ya Songea mjini

anayeweka kuzikuza hakuzee mimi nimeshindwa au mwenye maelezo ya kuweka picha kubwa anisaidie
 
Siku hizi Nnape haonekani tena hapa, akiona hizi pics mmh anaweza kupata ugonjwa wa PEPOFISI badala ya pepopunda.
 
Hakika nguvu ya uma imeonekana mkoloni mweusi CCM lazima aachie nchi,VIVA CHADEMA.
 
Big up wapiganaji!

Hawa jamaa wa magamba watakiona mwaka huu,Dr.aliposema nchi haitatawalika hawakumuelewa mpaka sasa hawajaanza kuelewa hawatulii wakatafakari ni kazi ya kukurupuka tu,walichojua ni kuchakachua kura tu alafu wakaishia hapo,haya ndio matunda yake na bado....VIVA CDM
 
hii ni kali.jamani kwa nini cdm msipunguze makali maana kwa hali hii nchi itakwenda kweli??????????mwanzo mwanzo hivi si tusubiri 2015?
mkuu nchi itakwenda tu Mungu atajalia kudra zake. Siku zote biashara ni asubuhi na jioni mahesabu,chelewa chelewa utakuta mwana c wako.
 
attachment.php
 
Saa ya ukombozi imewadia

Habari za kiinteligensia zinasema
JK anataka kukimbia Ikulu

Kaka asante. Ama kweli hili ni "jeshi la akiba". Vijana wenye ari na moyo wa kuona mabadiliko na mwamko mpya katika taifa letu. Mabadiliko duniani kote huletwa na vijana na sio maveteran kama wale tuliowaona kule Singida na kwingineko kwenye mikutano ya wavua magamba. Bravo Vijana wa Tanzania, Bravo wapenda maendeleo wote wa Tanzania. Udumu Uzalendo wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
 
Viva chadema,nchi haitawaliki.mkoloni mweusi lazima aachie nchi safari za marekani hazimwishi sasa abaki hukoko sisi hatumtaki tena katika nchi yetu,abebe wana magamba wenzake waende nao huko watuachie nchi yetu.
 
Kaka asante. Ama kweli hili ni "jeshi la akiba". Vijana wenye ari na moyo wa kuona mabadiliko na mwamko mpya katika taifa letu. Mabadiliko duniani kote huletwa na vijana na sio maveteran kama wale tuliowaona kule Singida na kwingineko kwenye mikutano ya wavua magamba. Bravo Vijana wa Tanzania, Bravo wapenda maendeleo wote wa Tanzania. Udumu Uzalendo wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.

Nimejikuta midadi inapanda duuh I just cant imagine siku nitakapo ona CCM is no more that will be my great Alleluja day!
 
Back
Top Bottom