CHADEMA ndani ya Songea mjini

CHADEMA ndani ya Songea mjini

hayahaya SONGEA TWENDE PAMOJA NA OPERATION YA VUA MAGAMBA YA CHAMA CHA MAGAMBA (CCM) mitaa ya matarawe,ruhuwiko,lizaboni,making'inda,msamala,mshangano,matogoro,mateka,makambi,mjimwema,madizini,mfaranyaki,stand kuu,mabatini,manzese,mahenge,deluxe one,songea boys,luhira,namanditi,kibulang'oma,london,machinjoni,majengo wazee wa chadema live,piga chini mafisadi hayo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mawazo mgando. CDM hawakusanyi kodi. Ngoja tukianza kutawala utayaona makubwa yatafanyika

Ibange angalia tarehe ya kujiunga mtoa hoja ndio maana wanajibu bila kujua wanatakiwa kujibu nini !
 
mawazo mgando. CDM hawakusanyi kodi. Ngoja tukianza kutawala utayaona makubwa yatafanyika
Mkuu isijibishane na viwavi jeshi wa Mkama, viko kuharibu thread hakuna chama maana wanachoandika....
 
Yako managapi haya magari?...tunahitaji kila mkoa uwe na moja
sijui yako mangapi lakini kumiliki magari kama haya kila mkoa ni gharama kubwa sana...hapa Arusha huwa naliona inapotokea kuna mikutano mikubwa ya chama....
 
Nipo Iringa nakuja huko only kwa ajili ya mapambano thanks kwa taarifa iringa lini?:israel:
 
sina uhakika kama unazungumzia gari hili
View attachment 29797

kwa taarifa tu, gari hili upande wa pili - chini ya juukwaa limejaa spika (zinaweza kuwa zaidi ya 50 - sina uhakika na watts zake kila moja) ambazo zikipiga mji mzima lazima uitikie.........linatia hamasa, jioni ni jukwaa....

nakumbuka kama vile zipo mbili.........

nilipata fununu moja ilitolewa kama support na mke wa mwenyekiti Mama Lilian Mbowe

hongera chadema mkombozi wa nchi yetu na vizazi vyetu!

wanamagamba wanayo yao hata kuyamantain ni kazi.......
 
hapa cdm ninawashangaa, kushangaa pinda kushindwa kuwawekea umeme majirani zake. Sasa kwanini cdm isiamue genereta hili kusambazia umeme kwa baadhi ya wananchi wa madaba?? Kumbe ubinafsi upo katika kila chama!
Ukiendelea na hoja mufilisi namna hii, ipo siku utashindwa kuongoza hata familia yako. Watoe wawape watu wa Madaba ili programe yao ife?
 
kwa taarifa tu, gari hili upande wa pili - chini ya juukwaa limejaa spika (zinaweza kuwa zaidi ya 50 - sina uhakika na watts zake kila moja) ambazo zikipiga mji mzima lazima uitikie.........linatia hamasa, jioni ni jukwaa....

nakumbuka kama vile zipo mbili.........

nilipata fununu moja ilitolewa kama support na mke wa mwenyekiti Mama Lilian Mbowe

hongera chadema mkombozi wa nchi yetu na vizazi vyetu!

wanamagamba wanayo yao hata kuyamantain ni kazi.......

gari zipo tatu na kila mkoa zinakuja na baada ya songea ni iringa then morogoro
 
hayahaya SONGEA TWENDE PAMOJA NA OPERATION YA VUA MAGAMBA YA CHAMA CHA MAGAMBA (CCM) mitaa ya matarawe,ruhuwiko,lizaboni,making'inda,msamala,mshangano,matogoro,mateka,makambi,mjimwema,madizini,mfaranyaki,stand kuu,mabatini,manzese,mahenge,deluxe one,songea boys,luhira,namanditi,kibulang'oma,london,machinjoni,majengo wazee wa chadema live,piga chini mafisadi hayo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Msamala na bombambili, si ndo pa kuingilia toka Njombe?
 
Nasikia watu wasongea wanapendaga kwaya. Ndio maana komba alipeta uchaguzi. Sasa cdm nani atawaimbiaga kwaya? Au kwenye gari la cdm kuna kila kitu? CCM kwisha!! Sisi kwetu isha kwishaga muda mrefu!! Maana kwa mkoa wana majimbo ma3 kat ya 8. Na yenyewe kwa uchakachivu, nd'o wakaambulia hayo.!
 
Wakuu chadema sasa wamepiga haodi hapa songea tayari kwa mikutano.
Lile gari linalotumika kama jukwaa la mikutano tayari limeshafika hapa mjini kwa maandalizi tayari kwa mikutano hapo ijumaa.Wale wapenzi wa cdm karibuni tuwapokee wageni wetu.tujitokeze kwa wingi.

Kwa hilo Chadema nawapongeza kwani imefanyika kwa upembuzi yakinifu. Gharama za kujenga majukwa kila mahali ambapo ni shughuli ya dakika chache au masaa yasiyozidi mawili ni hutumika pesa nyingi na ni nje ya bajeti ya mwaka. Bora aliyebuni gari kwa kuwa litakuwa na kila kitu likijitosheleza.
 
Wakienda huko Namabengo, Namtumbo nadhani watakuwa wamepiga hatua kubwa sana
 
hapa cdm ninawashangaa, kushangaa pinda kushindwa kuwawekea umeme majirani zake. Sasa kwanini cdm isiamue genereta hili kusambazia umeme kwa baadhi ya wananchi wa madaba?? Kumbe ubinafsi upo katika kila chama!

ubinafsi uko wapi hapo? We ulitaka gari litumie umeme wa Tanesco? Akili za matope hizi.
 
Back
Top Bottom