Chadema ndani ya military university...!!

Mkuu mbona umesema Military University umekosea au ni mimi siwezi kusoma vyema na kuelewa kitu hapa ?

Hata mimi kanishangaza. Hv mzumbe ni military university? Kwa kigazo gani na tangu lini?
 
Wana-MZUMBE WOTE WANALITAMBUA HILI JINA,linatokana na kifupisho cha MU=Mzumbe University=Military University.
 
Duuh, kumbe mzumbe nilifikria mbali sana kuona military, but mbona mkutano mwingine wa hao waheshimiwa siku hiyo jpili kule Dar au?
 
Hallo wana-jf,
siku ya tar 28-jan{jumapili} makamanda wa CDM watakuwepo MZUMBE university.
Mpaka sasa board za matangazo zinaeleza viongozi wafuatao watakuwepo:-
1.Zitto
2.Lusinde
3.Mdee
4.Mnyika
5.Msanii Sugu.
6.Tundu Lissu.
Wakiongozwa na katibu mwenezi,bwana John Mnyika.
Nitakuwepo kwnye mkutano kama "jf presenter" kuwapa full update.
Ahsante.

Watazunguka sana ahadi zao huku majimboni hata moja hazijatekelezwa. Mdee tangia achaguliwe Kawe hakuna la maana hata moja zaidi ya usista duu tu, barabarani zote Mbovu wenzake wa majimbo mengine zinategenezwa yeye kucha kutembea tu

Jumapili ni tarehe 29 Jan 2012 inaweza kuharibu taarifa yako yote ikaonekana ya uongo. Presenter gani unaanza na makosa ....tutegemee makosa zaidi hiyo kesho.
 
Hallo wana-jf,
siku ya tar 28-jan{jumapili} makamanda wa CDM watakuwepo MZUMBE university.
Mpaka sasa board za matangazo zinaeleza viongozi wafuatao watakuwepo:-
1.Zitto
2.Lusinde
3.Mdee
4.Mnyika
5.Msanii Sugu.
6.Tundu Lissu.
Wakiongozwa na katibu mwenezi,bwana John Mnyika.
Nitakuwepo kwnye mkutano kama "jf presenter" kuwapa full update.
Ahsante.
iyo namba 2 umemaanisha lusinde au silinde? ,kwa ninavyofahamu lusinde ni ccm na sio chadema.
 
Watazunguka sana ahadi zao huku majimboni hata moja hazijatekelezwa. Mdee tangia achaguliwe Kawe hakuna la maana hata moja zaidi ya usista duu tu, barabarani zote Mbovu wenzake wa majimbo mengine zinategenezwa yeye kucha kutembea tu

Unaishi jimboni kawe au?
 
Watazunguka sana ahadi zao huku majimboni hata moja hazijatekelezwa. Mdee tangia achaguliwe Kawe hakuna la maana hata moja zaidi ya usista duu tu, barabarani zote Mbovu wenzake wa majimbo mengine zinategenezwa yeye kucha kutembea tu

bila shaka wewe sio mkazi wa jimbo la kawe.
 
Hallo wana-jf,
siku ya tar 28-jan{jumapili} makamanda wa CDM watakuwepo MZUMBE university.
Mpaka sasa board za matangazo zinaeleza viongozi wafuatao watakuwepo:-
1.Zitto
2.Lusinde
3.Mdee
4.Mnyika
5.Msanii Sugu.
6.Tundu Lissu.
Wakiongozwa na katibu mwenezi,bwana John Mnyika.
Nitakuwepo kwnye mkutano kama "jf presenter" kuwapa full update.
Ahsante.

Hapo kwenye namba 2 mbona panakwangua ubongo mheshiwa! Kwa nini usirekebishe?
 
Back
Top Bottom