Chadema ndani ya military university...!!

Makamanda ndio wanaingia ukumbini,kamanda Lissu ndio wakwanza kufika.Makamanda waliofika muda huu ni MNYIKA,HECHE.
 
SILINDE kavaa hovyo kweli kweli.Kavaa magwanda na sandals za hvyo hvyo,kama sio mbunge vile.
 
Hivi kuna mtu amesema sugu na Lema wako dar kwa mkutano pale kwa alimaua ni kweli? Natamani kufika pale kumsikiliza kamanda wa kuwajengea vijana ujasiri. Huyu si mwingine ni Lema hana mpinzani kwa hilo.
 
Nikweli mkuu wewe wahi pale
 
SILINDE kavaa hovyo kweli kweli.Kavaa magwanda na sandals za hvyo hvyo,kama sio mbunge vile.

Kiongozi mara zote makamanda wa ukweli huwa si masharobaro kama kina Nape wazee wa karolite,kwahiyo kuvaa sandals siyo ishu na elewa jana kamanda alikuwa anawajibika Kibaha na leo mko naye hapo so hebu piga picha
 
Silinde hanatoa history yake ya udsm,vijana tunafurahi.kweli chadema wanamajembe
 
Hivi kuna mtu amesema sugu na Lema wako dar kwa mkutano pale kwa alimaua ni kweli? Natamani kufika pale kumsikiliza kamanda wa kuwajengea vijana ujasiri. Huyu si mwingine ni Lema hana mpinzani kwa hilo.

Mkuu kama unaweza fanya fasta kwa AliMaua.
Makamanda Lema na Sugu watakuwepo kutoa darsa!
 
"musifiche uchadema wenu,huwezi kufukuzwa chuo kwa kuonesha identity yako kama wewe ni CDM" SILINDE
 
Mkuu usichoke tunasubiri updates mkuu!! Picha usisahau kutupia kamanda.
CHADEMA 4EVER!!
 
LISSU "chuo kikuu ni sehemu ya kupata universal knowledge,sasa wanapokataza siasa ni bora visihitwe vyuo vikuu kwasababu elimu kubwa kama ya siasa haipewi nafasi"
Lissu jembe kwel kweli.
 
LISSU "Tukikubali huu upumbavu siasa marufuku vyuoni basi hvyo sio vyuo vikuu tena,kwani wanamapinduzi wote wameanzia vyuoni i.e nyerere,nkrumah,castro,walter n.k"
 
LISSU anasema "kama kijana ni jambo muhimu basi lusinde na riziwan ni vijana wenzenu"
 
NAONA CDM HARI NDANI KWA NDANI HAIPO SAWA COZ LISSU ANASEMA "kuna vijina ndani ya chadema hawana lolote,sio wapambanaji tena nao ni wachumia tumbo.Usiku ukifika wanawapigia simu wakina Lowasa na rostam na kuongea mambo ya kinafiki".Mnyika anacheka,nahisi hzi ni kama salama kwa mkubwa ZITTO.
 
Back
Top Bottom