Chadema ndani ya military university...!!

badala watulie majimboni kwao wanaenda kusumbua watoto wasisome
Mtoto mwenyewe!!!! Kwani Nape Nnauye si amevuka umri wa kuwa UVCCM? Mbona anasoma pale? Au yupo kwenye list ya watoto?
 
Mtoto mwenyewe!!!! Kwani Nape Nnauye si amevuka umri wa kuwa UVCCM? Mbona anasoma pale? Au yupo kwenye list ya watoto?

Hivi nepi ni mtoto ama ni mzee maana mwonekano wake hata kwa hazi ya kuitwa kijana haupo kijana gani ambae hana mwamko na uchungu wa uozo unaofanywa na viongozi waloko madarakani
 
Naona vijana wazalendo wanazidi kumiminika kwenye viwanja vya mkutano.Magamba wanatafuta pakujificha.
MAGWANDA HOEEE...
 
Hallo wana-jf,
siku ya tar 28-jan{jumapili} makamanda wa CDM watakuwepo MZUMBE university.
Mpaka sasa board za matangazo zinaeleza viongozi wafuatao watakuwepo:-
1.Zitto
2.Lusinde
3.Mdee
4.Mnyika
5.Msanii Sugu.
6.Tundu Lissu.
Wakiongozwa na katibu mwenezi,bwana John Mnyika.
Nitakuwepo kwnye mkutano kama "jf presenter" kuwapa full update.
Ahsante.
ok! tutashukuru ila usisahau kusema kweli daima hata wakizomewa
 
ok! tutashukuru ila usisahau kusema kweli daima hata wakizomewa

Hakuna kuzomewa huku!!mpaka sasa wanapiga nyimbo za hiphop za bongo!!vp zile nyimbo zetu za harakati??
Kitu cha STIMU ZIMELIPIWA-joh makini kinakimbiza mbaya.
CDM HOYEEE...
 
NYIMBO ZA CHADEMA ZINAGONGWA SASA,UKO tunavuta subira ya kuwasuburi MAKAMANDA.Ukumbi huku full...!
People power hoyeee.....
 
Back
Top Bottom