Chadema ndani ya military university...!!

NAONA CDM HARI NDANI KWA NDANI HAIPO SAWA COZ LISSU ANASEMA "kuna vijina ndani ya chadema hawana lolote,sio wapambanaji tena nao ni wachumia tumbo.Usiku ukifika wanawapigia simu wakina Lowasa na rostam na kuongea mambo ya kinafiki".Mnyika anacheka,nahisi hzi ni kama salama kwa mkubwa ZITTO.

mkuu riport kinachoendelea usiweke siasa zako...
 
LISSU. "watu wanaotaka haki bili ya mapambano ni sawa watu wanaotaka mavuno bila ya kulima.
 
LISSU "wananchi tunabidi tuchukue hatua mikononi za kuwaondoa warafi wa mali ya uuma"
 
"Haijawahi kuwa dhambi kwa namna yeyote ile anayenyonywa akiitumia ili kupata haki yake" lissu
 
"vita ya kikatiba ya sasa ni kuvunja vunja uraisi wa kifalme" Lissu
 
"Baba wataifa halikataa kuweka haki za binadamu kwnye katiba kwa miaka yote 24 aliyokuwa madarakani" Lissu
 
"Kama kuna dhambi ya asili ndani ya nchi basi wakwanza kulaumiwa ni Nyerere,kwani yote yanayotokea yeye ndiye muwanzilishi"
FF umenipata hapo
 
"katiba ya kudumu ya mwaka 1977 bungeni ilijadiliwa na watu wa tano tu,maccm wengne walikuwa wanapiga meza kama wafanyavyo sasa" Lissu
 
"Nyerere ndie aliyeua wanaharakati na kuweka vizuuzini,KARUME hasiraumiwe kwani yeye alikuwa anapokea order kutoka kwa nyerere" Lissu.
 
Back
Top Bottom