Chadema ndani ya military university...!!

Chadema ndani ya military university...!!

Hallo wana-jf,
siku ya tar 28-jan{jumapili} makamanda wa CDM watakuwepo MZUMBE university.
Mpaka sasa board za matangazo zinaeleza viongozi wafuatao watakuwepo:-
1.Zitto
2.Lusinde
3.Mdee
4.Mnyika
5.Msanii Sugu.
6.Tundu Lissu.
Wakiongozwa na katibu mwenezi,bwana John Mnyika.
Nitakuwepo kwnye mkutano kama "jf presenter" kuwapa full update.
Ahsante.

leo ni 28 ambayo ni jumamosi na wewe unasema jpili vipi bwana..
 
badala watulie majimboni kwao wanaenda kusumbua watoto wasisome
 
leo ni 28 ambayo ni jumamosi na wewe unasema jpili vipi bwana..
amerekebisha hili, kuwa flexible ni muhimu, pia jaribu kupitia post zote kabla hujapost ya kwako kwa maneno mengine acha uvivu wa kusoma
 
mie nilijuwa watakuwa monduli kumbe Mzumbe! how do you call it millitary university?
 
Mkutano huo utahusisha wanachuo peke yake? Na saa ngapi utaunguruma? PIPOS.............
 
Utahusisha wanachuo peke yake? Na ni saa ngapi utaunguruma? Pipos....................
 
miamia wa kuu sisi tunaelekea uzini zanzibar kuimarisha chama cdm
 
Chuo cha vilaza mzumbe tangu lini kimekuwa military university?
 
Back
Top Bottom