Chadema ndani ya Bukoba

Chadema ndani ya Bukoba

kweli mkwere hajaili wananchi wake cdm hainunuliki pipoz power ni ziara ngapi za mikoani amefanya kazi yake kupokea wazungu ikulu tu kazi za membe anafanya yeye maji yako shingoni
 
Je inawezekana kumtoa mtu aliyewekwa madarakani kwa wingi wa kura za wananchi na kuapishwa kisheria. Chadema lazima mtumie japo akili kidogo kujua kuwa hamtaweza kumng'oa JK mpaka miaka mitano yake imalizike. sasa msituletee balaa kwa maneno yenu ya uchochezi na kufarakanisha watu ili damu imwagike.

Sisi tunazidi kuomba amani itawale na wenye nia tofauti na hiyo Mola awaadhibu sana.
Aisee, unajua police ya DOHA hapa Qatar wanakutafuta? Kuna information fulani ninazo, bado nafuatilia.
 
Mh! Ngoja nikalale usiku umeshaingia. Kwaherini:hand::hand::hand:
 
Mabango ya Bukoba yametia fora. This country has changed greatly and will never be the same!
Kitila,
Labda sisiem na baraza lake la mawaziri wanajipanga kutembelea wananchi kuwaelezea mipango mizuri na sera zao ndani ya miaka mitano ijayo jinsi maisha yao yatakavyo kuwa bora zaidi, tena kupitia kule kule chadema walikoacha nyayo zao? Nadhani mabango yao yatabeba jumbe bab kubwa! Kwi kwi kwi. It is true, it will never be the same.
 
Mkwere Shughuli unayo hutakiwi hata kuonewa huruma kwa kuwa ulichakachua kura za watu sasa mambo yanakutokea puani, Shame on You Kikwete
 
Naona hamko serious. Kwa hiyo mnafanya mchezo wa kuigiza? Nilifikiri mnawasha moto moja kwa moja hadi nchi nzima iandamane kwenda ikulu, sasa unaandamana kidogo halafu mnaacha moto unapoa kisha mnaandamana tena. Huu usanii

Kweli kabisa. Hata mimi niko very disappointed namna mwisho wa hii move ulivyopanga. Vipi kuhusu siku 9? Ina maana kama serikali haijatimiza matakwa ya wananchi katika hizo siku 9,CHADEMA watafanya nini? Sasa kwa hii taarifa kua baada ya Bukoba wanarudi Dar,napata wasiwasi hilo takwa la serikali kupewa siku 9 litaishia hewani tu.

Amandlah.
 
SAFI SANA MAMA KWA KUENDELEA KUTUPA HABARI ZA CDM.PENYE NIA PANA NJIA.WENGI WAPE:hand:

Wakuu.Habari!!!

Yale Maandamano ya CHADEMA katika Kanda ya Ziwa yanatarajiwa kuhitimishwa leo kwa maandamano makubwa na ya aina yake Bukoba Mjini. Maandamano hayo yanatarajiwa kuanza saa 7 mchana.Maandalizi yameshakamilika na msafara wa Vikosi Kazi ndio unajiandaa kutoka Kahama vilipotia nanga kuelekea Bukoba. Kazi kamili itahitimishwa kesho kwa kufanya mikutano ya hadhara kwenye Wilaya za Mkoa wa Kagera. Baada ya hapo Vikosi vitarudi Dar es salam kwa maandalizi ya Kanda nyingine baada ya Bunge la Aprili. Habari ya matukio baadaye kazi ikianza.

Kutoka Kahama
Regia E Mtema
Waziri Kivuli- Kazi na Ajira.
 
Naona hamko serious. Kwa hiyo mnafanya mchezo wa kuigiza? Nilifikiri mnawasha moto moja kwa moja hadi nchi nzima iandamane kwenda ikulu, sasa unaandamana kidogo halafu mnaacha moto unapoa kisha mnaandamana tena. Huu usanii

unajua unachokizungumza au umeandika tu?
 
Kweli kabisa. Hata mimi niko very disappointed namna mwisho wa hii move ulivyopanga. Vipi kuhusu siku 9? Ina maana kama serikali haijatimiza matakwa ya wananchi katika hizo siku 9,CHADEMA watafanya nini? Sasa kwa hii taarifa kua baada ya Bukoba wanarudi Dar,napata wasiwasi hilo takwa la serikali kupewa siku 9 litaishia hewani tu.

Amandlah.

Wadau, msikatishwe tamaa na utaratibu uliopo...Niwape IMANI kuu kuwa sehemu ambazo maandamano yamepita, hakuna atakayerudi nyuma tena, kama kutakuwa na mabadiliko, basi ujue ni Positive changes(yaani hapo utasikia ..tawi zima la ccm labadilika na kuwa la cdm...et al)...
Lakini pia mjue kilichofanyika kwa muda huu mfupi ni kikubwa sana,..Tusisahau pia kuwa Jopo hili zima lilikuwa kwenye kazi kama hiyo just three months ago, hivyo kuna hali ya kuchoka na kuhitaji mapumziko kidogo...
Lakini pia na tujue kuwa maandamano haya yanatakiwa yaende nchi nzima, na ukifanya harakaharaka unaweza kukuta byjust end of the year umeshamaliza mikoa yoote, na huna la kufanya tena, hivyo inatakiwa kwenda kwa step iliyopimwa...!
Lakini pia kuna wajibu za kiofisi za wabunge, Katibu mkuu, Mwenyekiti wa chama, na wengineo wote wanaozunguka sasa, na kazi hizo ni lazima zifanyike, hivyo concentration ikiwa kwenye maandamano tu kuna hatari ya kupoteza channel'''
Nadhani tupongeze kazi iliyofanyw
a, maAna kwa mtu yeyote mwenye fikra za kidemokrasia kichwani, uwakilishi wa mikoa iliyopitiwa umetuingia barabara mioyoni!
 
Yes, anavuna alichpanda, Hakuna adhabu mbaya kuliko zote kama ya kusutwa na dhamira, dhamira inamsuta sana ya kuchakachua kura,
Watu wanapoandama anajua kabisa kwamba walimktaa toka siku nyingi, alidhani kwa kuiba kura itawapumbaza watu, lakini looo, za mwizi ni arobaini, watu ndo wamestuka na kuzidi kumkataa!
 
Natoa wazo Chadema waanzishe tv yao bila shaka tungewapata live
hata redio station kwa kuanzia sio mbaya, naamini watanzania wanahitaji taarifa za kweli kuhusu taifa lao.
 
unajua unachokizungumza au umeandika tu?

Nakijua sana mama, you are misusing our tax money na kupoteza muda wa wananchi kwenda maandamano bila kutimiza mabadiliko yoyote. Wanajiunga na maandamano wakiamini wanajenga vuguvugu la kuing'oa serikali madarakani kumbe nyie mnatafuta umaarufu tu.

People are tired, they want change, they want action. Mmetumia pesa zetu shilingi ngapi kwenye hayo maandamano? Wananchi wamepata hasara kiasi gani kuhudhuria maandamano yenu? What is the economic impact ya gharama hiyo ya maandamano? Hizo pesa zingeweza kutumika kupunguza hayo matatizo mnayokwenda kuhutubia wananchi.

Point yangu mama ni hivi, ndiyo fanyeni maandamano lakini tuone vile hayo maandamano yanabadili maisha yetu. Na muonekane kweli mnatuongoza kuelekea kwenye hayo mabadiliko. Kufanya maandamano kwa awamu ni kupoteza muda na pesa zetu. Jenga nguvu na kasi mfululizo non stop hadi ikulu
 
attachment.php

Eti nani azitatue 'kero zetu'?

Kikwete? THUBUTU!!!
 
Mama sisi tunaomba tu AMANI itawale na kusiwe na maneno ya uchochezi na ya kuleta chuki na mifarakano miongoni mwa jamii kiasi cha kuleta vita katika jamii.

CHADEMA KUMBUKENI MDOMO ULIKIPONZA KICHWA

.
Unamaanisha mdomo wa Jk ulikiponza kichwa chake(ccm)?
Maana jamaa kwa mdomo katoa ahadi za trilioni 99 lakini utekelezaji wake mpaka sasa ni sifuri.
.
 
Nakijua sana mama, you are misusing our tax money na kupoteza muda wa wananchi kwenda maandamano bila kutimiza mabadiliko yoyote. Wanajiunga na maandamano wakiamini wanajenga vuguvugu la kuing'oa serikali madarakani kumbe nyie mnatafuta umaarufu tu.

People are tired, they want change, they want action. Mmetumia pesa zetu shilingi ngapi kwenye hayo maandamano? Wananchi wamepata hasara kiasi gani kuhudhuria maandamano yenu? What is the economic impact ya gharama hiyo ya maandamano? Hizo pesa zingeweza kutumika kupunguza hayo matatizo mnayokwenda kuhutubia wananchi.

Point yangu mama ni hivi, ndiyo fanyeni maandamano lakini tuone vile hayo maandamano yanabadili maisha yetu. Na muonekane kweli mnatuongoza kuelekea kwenye hayo mabadiliko. Kufanya maandamano kwa awamu ni kupoteza muda na pesa zetu. Jenga nguvu na kasi mfululizo non stop hadi ikulu
wewe ndugu yangu nahisi ni zero brain,
yani CDM umeona wanapoteza hela, lakini chama chako matanuzi(CCM) wanapoteza mabilioni kwa ufisadi na starehe, kwako ni poa tu.
sasa hivi Jk yuko paris anabembea, hayo huoji.
CDM wanazunguka mikoani kutoa somo la elimu wa uraia, we unaona wanapoteza hela...kweli we mpuuzi
 
Back
Top Bottom