Chadema ndani ya Bukoba

Wakuu.Habari!!!
Kazi kamili itahitimishwa kesho kwa kufanya mikutano ya hadhara kwenye Wilaya za Mkoa wa Kagera. Baada ya hapo Vikosi vitarudi Dar es salam kwa maandalizi ya Kanda nyingine baada ya Bunge la Aprili..

Naona hamko serious. Kwa hiyo mnafanya mchezo wa kuigiza? Nilifikiri mnawasha moto moja kwa moja hadi nchi nzima iandamane kwenda ikulu, sasa unaandamana kidogo halafu mnaacha moto unapoa kisha mnaandamana tena. Huu usanii
 
Nimependa kuona bango limeandikwa kuing'oa CCM ,hii ndio haswa nyimbo inayohitaji kupigiwa mbiu na sio kusema Kikwete kwani ikiondolewa CCM mbio za vijiti itakuwa zimefikia mwisho ,lakini kumuondoa Kikwete watamuweka mwingine ,tunasema CCM sasa basii ,kama watabahatika wanaweza kufika 2015,na hapo wasijaribu kugombania tena kwani ushindi wao hautakubalika tena.
 
Mabango ya Bukoba yametia fora. This country has changed greatly and will never be the same!
 
attachment.php
attachment.php

Hizo picha zinatia hamasa sana jamani.

hapa lazima mtu akimbilie honeymoon Paris!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hapa lazima mtu akimbilie honeymoon paris!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

well done chadema, keep focused keep the momentum, umma upo na chadema, big up. Mpaka mkwere ajue kuchakachua ni dhambi. Umma umelipuka umma umewakattaaa viongozi masultani, viongozi mafisadi, viongozi wabnafsi na viongozi wazembe na wasema uongo. Sisiem imechoka saaana na haifai kabisa imepotesa credibility haitufao, it has to go and it has to go now, sisisem ggggggggggggggggggggggggggooooooooooooooooooooooooooooooooooo nooooooooooooooooooooooow
 
Nimependa kuona bango limeandikwa kuing'oa CCM ,hii ndio haswa nyimbo inayohitaji kupigiwa mbiu na sio kusema Kikwete kwani ikiondolewa CCM mbio za vijiti itakuwa zimefikia mwisho ,lakini kumuondoa Kikwete watamuweka mwingine ,tunasema CCM sasa basii ,kama watabahatika wanaweza kufika 2015,na hapo wasijaribu kugombania tena kwani ushindi wao hautakubalika tena.



Hapana mkuu CUF wamefuata taratibu zote ,Chadema hata hawajapeleka au hata kama wamepeleka maana sijasikia wakisema wamepeleka maombi,just wamezuka "...kama tukikataliwa basi maandamano yapo palepale..." Hii ni kutaka kujifanya wana jeuri au ndio wanatisha ,jamani serikali haitishwi maana ikitishika itakuwa sio serikali,hivyo jaribuni kuwa na subira na sio kutangaza vita ,hii nchi sio ya Slaa wala wafuassi wake.



I like your style.
 
They used ballot boxes, now people are using ballot roads!

They voted by their hands, now people are voting by their feet!

Who's got the Power?
 
Mtaishia kunusa tu na kusikia harufu lakini Hamli ng,oo.

nchi ina wenyewe hii

HM hafif, du hata jina linajieleza jinsi ulivyo hafifu wa kufikiri, najua vihoro vimewajaa, hamuamini kinachoendelea, endeleeni kujipa moyo, nguvu ya umma haijawahi kushindwa popote uliza vizuri utaelekezwa Muheshimiwa Hafifu
 
Kikosi kazi cha CDM kilichokuwa kinatalajiwa kutua Bukoba mjini leo hii majira ya saa 7 kimewasili hapa bukoba mjini majira ya saa kumi hivi. Hivi sasa kinahutubia mkutano wa hadhara katika uwanjawa kaitaba. Mahudhurio ni makubwa sana haijapata kutokea. Maandamano yalikwenda vizuri. Polisi hawakuwabugudhi hata kidogo waandamanaji.

That is good but how will you move tonight or tomorrow morning to all districts and start meetings? because the region is huge!
 
Huo ujumbe kwenye mabango..yaani hata power point presentations nilizowahi kuziangalia sidhani kame zimekaribia hapo!!
Big up wananchi wa Bukoba..ukombozi wa mama yetu Tanganyika umekaribia..
 
Wananchi ndiyo wenye kauri ya mwisho, wakisema anaondoka leo anaondoka tu.
Kwa utaratibu wa ovyo uliyopo Tanzania uwingi wa kura ni sawa na uwingi wa makamasi tu.

Je inawezekana kumtoa mtu aliyewekwa madarakani kwa wingi wa kura za wananchi na kuapishwa kisheria. Chadema lazima mtumie japo akili kidogo kujua kuwa hamtaweza kumng'oa JK mpaka miaka mitano yake imalizike. sasa msituletee balaa kwa maneno yenu ya uchochezi na kufarakanisha watu ili damu imwagike.

Sisi tunazidi kuomba amani itawale na wenye nia tofauti na hiyo Mola awaadhibu sana.
 
wanaoyaona haya na ambao wapo karibu na dr,dr,dr,dr president tafadhali wampelekee!
 
Back
Top Bottom