Chadema ndani ya Bukoba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema ndani ya Bukoba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Regia Mtema, Mar 2, 2011.

 1. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Wakuu, Habari!!!

  Yale Maandamano ya CHADEMA katika Kanda ya Ziwa yanatarajiwa kuhitimishwa leo kwa maandamano makubwa na ya aina yake Bukoba Mjini. Maandamano hayo yanatarajiwa kuanza saa 7 mchana.Maandalizi yameshakamilika na msafara wa Vikosi Kazi ndio unajiandaa kutoka Kahama vilipotia nanga kuelekea Bukoba. Kazi kamili itahitimishwa kesho kwa kufanya mikutano ya hadhara kwenye Wilaya za Mkoa wa Kagera. Baada ya hapo Vikosi vitarudi Dar es salam kwa maandalizi ya Kanda nyingine baada ya Bunge la Aprili. Habari ya matukio baadaye kazi ikianza.

  Kutoka Kahama
  Regia E Mtema
  Waziri Kivuli- Kazi na Ajira.

  =================
  KATIKA PICHA

  [​IMG]
  Hapa ni Kemondo

  [​IMG]
  Hapa ni Rwamishenye

  [​IMG]
   
 2. m

  maselef JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Daima big up dada yetu hata sisi tulio nje ya nchi tunapata taarifa za uhakika mara zote toka kwako - Edmonton Canada
   
 3. S

  SARAWAT Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  big up CDM, tuko pamoja, usisahau picha za matukio, kazi njema. peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssss! power
   
 4. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Kazi njema. Kikwete anagwaya kweli. CDM wape wananchi hali halisi ya nchi, elimisha umma wa Tz huenda watu wakaamka kutoka usingizini.
   
 5. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Be blessed Regia. We play for you all.
   
 6. m

  miradibubu JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 313
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hongera dada yangu na Mungu awatangulie daima tupo pamoja nanyi. Ninaomba nifahamu mikakati ya kuimarisha ofisi za CDM wilaya na mikoa kwa kweli nguvu inahitajika kufanikisha hili ninaamini hata ikiitishwa harambee tutafanikisha hili, kwa mfano ofisi ya CDM mkoa wa Dodoma inatia huruma ninaamini hata wewe dada yangu unapokuwa dodoma huwa haikupi hata hamu ya kwenda kupumzika au kufanyia kazi zako mahali pale. Mimi nipo tayari kulitetea hili la uimarishaji au ujenzi wa ofisi hizi
   
 7. Lord

  Lord Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Dada Reagia asante kwa taarifa. Na wilaya ya ngara mtafika maana huku kuna wafuasi wengi ambao hawajafikiwa na kuhamasishwa hata kipindi cha kampeni CDM haikufika. Kwa maono yangu haya maeneo ndo ya kuja kuhamasisha zaidi na watu wapo tayari kubadilika.
   
 8. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Yes We Can Dada Regia.
   
 9. b

  bulunga JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Regia, nini kinaendelea Kahama maana kuna Habari Dr na wabunge wawili wamekamatwa
   
 10. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Safari ya ukombozi ni ndefu sana, na yenye harakati nyingi.
  Ahsante mheshimiwa sana, nataraji mtafika TBR awamu ijayo.
   
 11. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Dada regia tujunze kwanza na hizi tetesi kuwa Dr.slaa mekamatwa kahama,na wabunge wawili.source redio one.
   
 12. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  If this is true...it MUST be a breaking nuz,
   
 13. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  unavyo vuta manati ndivyo unaongeza speed ya jiwe.so wanavyomsumbua dr.Slaa ndivyo wanavyomuongezea makali.ni wafa maji
   
 14. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hili nalo neno
   
 15. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mama sisi tunaomba tu AMANI itawale na kusiwe na maneno ya uchochezi na ya kuleta chuki na mifarakano miongoni mwa jamii kiasi cha kuleta vita katika jamii.

  CHADEMA KUMBUKENI MDOMO ULIKIPONZA KICHWA
   
 16. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mungu awaongoze,maandamano yaishe kwa amani na utulivu
   
 17. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tunawatakia heri na baraka tele
   
 18. Panga la Yesu

  Panga la Yesu JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HIli hata mimi na hamasika kuchangia, ebu lifanyiwe kazi kwa kina na hasa mnapokuwa kwenye hizo operations basi na maMbo ya Ofisi yaangaliwe, kwani Dr anaweza akafanya kaharambe kwa ajili ya eneo maalum na ikapatikana pesa ya kutengeneza OFISI zinazoendana na Hadhi ya CDM.

  Lakini lililo moyoni mwangu ni kujuzwa kwanini siku hizi hatuoni taarifa za maandamano kwenye TV zote, je zimepigwa marufuku kurusha habari za maandamano? Kama kuna uwezekano basi kuwe na kipindi maalum kitakacho rusha matukio ya maandamno na sisi Wadau tutachangia, mradi muweke utaratibu maalum.

  HIVI CDM hamuwezi anzisha kituo chenu cha TV?


  CDM GO GO GO GOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 19. Z

  Zempugwa Member

  #19
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haihitaji tena CDM kupingwa na vilaza wa ccm
   
 20. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Go Slaa go. We are behind. Changes. time will tell.
   
Loading...