Chadema na yatakayojiri wiki hii

Mkuu Wangu kitila,

Heshima mbele, katika ishu inayoniudhi sana kuliko zote katika siasa, ni unazi wa kitoto tena kwenye uwanja mkubwa kama huu wa JF,

Juzi niliona chama changu kikiitwa chamcha malaya, leo cha mafisadi, no way mkuu, tutofautiane ki-hoja, ila viroja hatuhitaji hapa,

Tukubalinae kutokubaliana lakini tuheshimiane, mafisadi 10 ndani ya serikali hawatufanyi wanachama wote wa CCM kuwa mafisadi, kama vile viongozi watano, wa chama chako kuwa kabila moja haiwafanyi owte muwe hilo kabila, hivi kuna mtu anahitaji kuelimishwa hilo hapa?

Wewe mkuu tunakuaminia kuwa siku moja uwe mwenyekiti wa huko upande wa pili, lakini na wewe umeshaanza kuwa na makengeza yale yale, CCM inapoitwa chama cha mafisadi kuoni, lakini kukiguswa uoande wa pili tu here you are!

Wakuu tukate hoja hapa, unazi hauna nafasi kwenye taifa, nilisema huko nyuma kuwa nenda Magomeni pale bondeni Jangwani asubuhi uone wananchi wakiteremka bonde kwa mguu kwenda kazini kwa kukosa nauli ya basi, I bet you some of them yaani wananchi walalahoi are CCM na wengine ni upinzani, na viongozi wetu wa pande zote mbili they could careless, maana hutawakuta wakienda kwenye biashara zao kwa miguu!

Sasa tunakuja kujaza unazi hapa, huku kina Cheyo wako Ikulu kwenye tafrija za taifa, tuache unazi hapa!

safi sana ! am working on this thing about ccm na nadhani itakuwa vizuri nikishare na wanaJF ! nikimaliza kuiandika nitaitundika hapa !
 
Chama Cha Mafisadi, acheni kulia lia.

Nafikiri dawa ni kujiunga na chama cha kabila la wachagga, afadhali wenzetu wenye matusi sana against CCM ni wachagga tayari, sasa wenzangu na miye sijui itakuwaje huko Sembeti maana Christmas time ndio hiii sisi wenye kabila tunaingia migombani tu kupanga mikakati ya siasa za mafisadi aiseee meku, huku tukila Dolly Parton na Jimmy Reeves!

hapa MKUU ES umenichekesha saaaana !
 
Watu hapa inabidi wawe authentic, ama sivyo huyu "baby" atafika muda wa kutembea, na hatakuwa hata kutambaa hajaanza. "Thin line" ipo involved hapa UNAZI WA KISIASA ni sawa na UFISADI ndio maana mie "naogopa" vyama mbadala!!.
 
Chama Cha Mafisadi, acheni kulia lia.

Nafikiri dawa ni kujiunga na chama cha kabila la wachagga, afadhali wenzetu wenye matusi sana against CCM ni wachagga tayari, sasa wenzangu na miye sijui itakuwaje huko Sembeti maana Christmas time ndio hiii sisi wenye kabila tunaingia migombani tu kupanga mikakati ya siasa za mafisadi aiseee meku, huku tukila Dolly Parton na Jimmy Reeves!

Mkuu FMES,

Kwa standard hii nadhani uendelee kubaki huko huko chama cha waislam ccm ambacho viongozi wake wakuu ni asilimia 75 waislam
 
Mkuu FMES,

Kwa standard hii nadhani uendelee kubaki huko huko chama cha waislam ccm ambacho viongozi wake wakuu ni asilimia 75 waislam

Ndugu yangu, unajua kabisa hiyo ni "fuzzy math" ya Al Gore. Ktk siasa za 21st century hazina nafasi, FMES alitumie ile kama metaphor..........hiyo astimagitism itaisha lini???. Siasa za Dar/Dodoma zisije zikawa kama za Washington,DC. Please hatutafika kokote.
 
Yamekuwa haya tena!...
Duh, tumetoka ktk UCCM na Uchadema kwa rangi zake yakazaa Ukabila wa Wachagga against sijui akina nani sasa tena CCM na Uislaam.. duh ama kweli nchi inaelekea kubaya sana.
Mimi naasema hivi itafikia wakati watu wata question hata Ujenzi wa daraja la Kigamboni wakisema - Why Kigamboni?..mimi mkazi wa Dodoma litanisaidia nini!.. CCM wote ni Wazaramo ama JK kapata mke mwingine ng'ambo.
 
kwa mara ya mwisho walitutamkia kwamba wataitisha maandamano ya nchi nzima nasi tuwaunge mkono,kitu ambacho tumekuwa tunasubiri.mambo ya kelele bila vitendo yametuchosha,ni sawasawa na mbwa hasiye na meno anabweka weeee matokeo yake watu wanajichukulia kama kawaida.hata waparestina baada ya kupiga kelele kwa muda mrefu bila ya waisraeli kusikia kilio chao,kilichofuata ni kujiripua mmoja anaondoka na kumi.tulitegemea hivyo hata kwa chadema ili walianzishe sisi tufuate.kama imeshindikana wakae kimya.unajua ukimpigia mtu makelele muda mrefu yeye akaziba masiko na kuendelea na shughuli zake,unaonekana mwendawazimu.muhimu ni ku-take Action.
 
mafisadi wapi hao ? wa JF au ?? aah kumbe bungeni ! gotcha !
Wa Jf unawajua wewe mwenyewe,na usilete utoto kwenye ishu serious.Huku kudumaa akili nako ni tataizo lingine kwa maendeleo

Chama Cha Mafisadi, acheni kulia lia.

Nafikiri dawa ni kujiunga na chama cha kabila la wachagga, afadhali wenzetu wenye matusi sana against CCM ni wachagga tayari, sasa wenzangu na miye sijui itakuwaje huko Sembeti maana Christmas time ndio hiii sisi wenye kabila tunaingia migombani tu kupanga mikakati ya siasa za mafisadi aiseee meku, huku tukila Dolly Parton na Jimmy Reeves!

Mkuu FMES,
Heshima yako mkuu,hili la wachagga tena ni ishu nyingine.Mkuu huoni kwama hapa unataka kundeleza matusi hadi waingie na ambao wasiopend na ambao hawajawahi kuitusi CCM?

Wachagga wanaipinga CCM ila si kuitusi kwani hakuna jambo lolote la maana hicho chama kimefanya kule kilimanjaro na Ufisadi wa CCM kule unajulikana sana.Ndio maana ukienda kule Moshi sa hivi tangu NDESA PESA awe mbunge CCM wamekua
wakijishtukia tu.

Kweli inaudhi mtu kutusi chama chako but you have to ignore it linapokuja suala serious la maendeleo.

Hata hivyo hoja za msingi hapa jamvini ndizo zitakazojenga tu

Baab kubwa tukate ishus
 
Haya naona sasa ni vioja na watu wameacha kujadili ya msingi ,Nyerere alisema kuwa ukianza dhambi ya ukabila ni sawa na kulaq nyama ya mtu, sasa hawa wanaoanza kusema mara uchagga ,ndio haohao waliosema kuwa SALIM alikuwa mwarabu naona dhambi ile bado inawatafuna na hakika itaendelea kuwatafuna mpaka mwisho.
 
kwa mara ya mwisho walitutamkia kwamba wataitisha maandamano ya nchi nzima nasi tuwaunge mkono,kitu ambacho tumekuwa tunasubiri.mambo ya kelele bila vitendo yametuchosha,ni sawasawa na mbwa hasiye na meno anabweka weeee matokeo yake watu wanajichukulia kama kawaida.hata waparestina baada ya kupiga kelele kwa muda mrefu bila ya waisraeli kusikia kilio chao,kilichofuata ni kujiripua mmoja anaondoka na kumi.tulitegemea hivyo hata kwa chadema ili walianzishe sisi tufuate.kama imeshindikana wakae kimya.unajua ukimpigia mtu makelele muda mrefu yeye akaziba masiko na kuendelea na shughuli zake,unaonekana mwendawazimu.muhimu ni ku-take Action.

Labda bado wanapasha misuli.

Walitoa deadline ya Novemba 25. Labda Nov 17 wanaanza kuwachochea wasomi. Kwani we umesahau walisema maandamano wataitisha baada ya tarehe ngapi?

Ile walioita mgogoro wa kitaifa na kumfanya JK aanze kulia lia na Chama Cha Mafisadi

Asha
 
Juzi niliona chama changu kikiitwa chamcha malaya, leo cha mafisadi..

Inasikitisha hapa JF kwamba hata wale member wanaojulikana kuwa balanced kihoja wanaacha matusi kama hayo yapite hivi hivi bila kukemewa.

Ingawa wakati mwingine si busara kujibu tusi kwa tusi kuna wakati mtu unalazimishwa kama anavyopaswa kufanyiwa huyo dada mropokaji hapo juu.
 
Nami nimepata taarifa ya kuwa,Mwanasiasa mmoja toka CHADEMA, yumo kwenye Baraza jipya la Mawaziri,kwenye nafasi ya unaibu,kwa hiyo, tuendeleze kuwasakama mpaka kieleweke.
Jamani Mwenye Nyeti zaidi aendelee kutumwagia hapa
 
Mhhh?? hii tetesi yako inahitaji msasa wa kueleweka!
 
Inasikitisha hapa JF kwamba hata wale member wanaojulikana kuwa balanced kihoja wanaacha matusi kama hayo yapite hivi hivi bila kukemewa.

Ingawa wakati mwingine si busara kujibu tusi kwa tusi kuna wakati mtu unalazimishwa kama anavyopaswa kufanyiwa huyo dada mropokaji hapo juu.

Kama Mwenyekiti Anakula Uroda na Mtoto wa Mzindakaya, ni vyema tukakiita chama cha maraya/mafisadi ni sawa tu.
 
Labda bado wanapasha misuli.

Walitoa deadline ya Novemba 25. Labda Nov 17 wanaanza kuwachochea wasomi. Kwani we umesahau walisema maandamano wataitisha baada ya tarehe ngapi?

Ile walioita mgogoro wa kitaifa na kumfanya JK aanze kulia lia na Chama Cha Mafisadi

Asha

Tumeshazizoea hizo hapa bongo, ni kama tamthilia za PANGAKO SAYO tu. Leo unaona kama ndiyo imefika mwisho, kesho kinatokea kipya inaanza upya
 
Kama Mwenyekiti Anakula Uroda na Mtoto wa Mzindakaya, ni vyema tukakiita chama cha maraya/mafisadi ni sawa tu.
Chipolopolo
Ina maana Violet Mzindakaya anatoka na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinnduzi-wilaya,Mkoa,wazazi,vijana,Kitaifa?
hebu lete habari kamili
 
Haya naona sasa ni vioja na watu wameacha kujadili ya msingi ,Nyerere alisema kuwa ukianza dhambi ya ukabila ni sawa na kulaq nyama ya mtu, sasa hawa wanaoanza kusema mara uchagga ,ndio haohao waliosema kuwa SALIM alikuwa mwarabu naona dhambi ile bado inawatafuna na hakika itaendelea kuwatafuna mpaka mwisho.

Mpaka Kieleweke,
Mkuu umenena.CCM wanapenda kuita vyama vingine vya kikabila kwa kutoa hoja nyepesi na mara nyingi wanapenda kuhusisha CHADEMA na Uchagga sasa sijui katika mazingira haya ya kuita chama kingine cha kikabila halafu ukute kwa CHADEMA hali haiko hivyo sasa sijui nani mkabila CCM au CHADEMA?

Na sijui ni kitu gani watataegemea in return from Chaggas.

Tribalism is a cardinal sin in any harmonized society like Tanzania.Tuwazomee!
 
Mimi nikiwa katika kujua kulikoni huko sasa nimepata taarifa kwamba katika hili kutano Tundu Lissu na Mabere Nyaucho Marando ni baadhi ya watao tema Cheche kadiri mida yao itakavyo inawadia pale jumbani . Kuna mwenye ratiba atupatie tujue kulikoni ? Je hakuna wana Chadema hapa watupe nyeti jamani ?
 
Back
Top Bottom