Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
Inasikitisha hapa JF kwamba hata wale member wanaojulikana kuwa balanced kihoja wanaacha matusi kama hayo yapite hivi hivi bila kukemewa.
Ingawa wakati mwingine si busara kujibu tusi kwa tusi kuna wakati mtu unalazimishwa kama anavyopaswa kufanyiwa huyo dada mropokaji hapo juu.
Nungunungu, wewe ukijisekea kukemea kemea tu, ama sivyo kutakuwa na watu wanafuatilia kila post ya mtu mwingine. Hakuna sababu ya kuwaita majina ya matusi lakini unapotumia kisifa ni bora uhalalishe. Kama mtu kusema "malaya" ni lazima kudefine ana maana gani kwani Malaya inatumika katika jamii kuzungumzia mambo mengi, Spana Malaya, Funguo Malaya, n.k