Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,270
Hivi unafahamu ni kwanini Rostam alisema amechoshwa na siasa uchwara? Alichofanya kuwapatieni Rais Dr wenu wa CCM anajua sio siasa bali ni cash. Ndio maana akaita siasa uchwara ndani ya Tanzania. Kwahiyo muwe mnajaribu kuweka kumbu kumbu .
na nyie muweke kumbukumbu ya msigwa aliyosema"wote wanaomfuata lowassa hawana akili" muweke kumbukumbu ya mbowe,slaa,lissu waliosema "lowassa ni fisadi papa"