CHADEMA na UKAWA wamepanic, wamechanganyikiwa

CHADEMA na UKAWA wamepanic, wamechanganyikiwa

Ka vile umepanic, huwezimkuona kama vina mahusiano na kupanic kwako

Hivi ukiwa mfuasi mtiifu wa ccm lazima uwe mjinga mjinga kama mleta mada?Yaani watu wakiwa kimya ndio wamepanic?ccm wangapi wamehama?Mbona hukukimbia hapa kusema hilo?
 
Duh! Huku sasa ni kupanic. Nakuhurumia sana ndugu

Hivi hili neno kupanic ndio kwanza ufundishwe leo ama vp?tuambieni miaka 50 mmeondosha vp rushwa na umasikini kwa wa tz.
 
Full takataka, kuna aliyechanganyikiwa kuliko Kikwete mpaka anajipa faraja eti"zile picha za mafuriko ya UKAWA ni za kutengeneza!!" Hata mtoto wa Chekechea asingeweza kusema hivyo wachilia mbali Rais, Dr, Profesa, na Amiri jeshi Mkuu!? Maccm yote yako kwenye full vibration mode!? Mwafwaa mwaka huu, kamuangukieni White Hair!

Kesho CHADEMA na umoja wao wa kichina, UKAWA wanazindua kampeni. Hata hivyo,

1. Mpaka sasa hawajatangaza wapi watazindua kampeni zao baada ya kuukosa uwanja mkuu wa taifa ambao walidhani unatumika kwa shughuli za kisiasa.

2. Mpaka wanaenda kuzindua kampeni, hawana Ilani ya Uchaguzi. Sijui wataenda kuwaambia nini wananchi. Naona wanaenda kupiga porojo tu.

3. Vyama washirika karibu vyote vimepoteza muelekeo. CUF mpaka sasa hawana Mwenyekiti baada ya Lipumba kujiuzulu. CHADEMA hawana Katibu Mkuu baada ya Dr Slaa kukaa pembeni.

4. Hawana agenda ya kuwabeba kisiasa. Agenda yao ya ufisadi imeingia kirusi baada ya kumteua fisadi kuwa mgombea Urais.

5. Makosa waliyofanya ya kuchelewa kutangaza wagombea ubunge yanawafanya waende kwenye kampeni wakiwa vipande vipande. Kule Bunda Mjini, Bulaya kakataliwa. Sikonge kwa Mkumba hali ni tege. Pia kuna majimbo mengi hali si shwari.

6.. Wakati viongozi wote wa Bunda wakijiuzulu, CHADEMA wamepanic na kutengeneza propaganda kuwa viongozi hao wapatao 11 wamefukuzwa kutokana na makosa mbalimbali. Hata hivyo ushahidi wa video umewaumbua na sasa wamepanic.

7. Mafuriko ya wana CCM waliyokuwa wanatarajia kuhamia CHADEMA mpaka sasa hayajajitokeza. Wamepanic

8. Wakati kesho wanazindua kampeni, mpaka sasa hawana timu ya kampeni ya kitaifa. Wanasubiri maelekezo kutoka kwa Lowasa. Wamepanic. Ubora wa Timu ya kampeni ya CCM umewafanya wajitafakari upya

9. Mpaka wanaingia kwenye uchaguzi, CHADEMA, CUF na NCCR hawakuwa na bajeti ya uchaguzi. Wanategemea ufadhili wa Lowasa. Hata hivyo, mambo yanaonekana kwenda kombo kwake. Lowasa amesema kuwa hana uwezo wa kugharamia majimbo yote isipokuwa ataelekeza nguvu kwenye majimbo machache hasa ya maswahiba wake. CHADEMA wamepanic.

10. Uwezo mdogo wa Lowasa kujenga hoja umewapanikisha. Wamepanic kweli. Ndo maana kila anakoenda Lowasa lazima Mbowe na Mbatia wawepo. Yaani full kupanic. Nimeshangaa hata kurudisha fomu leo wote walienda. Wamechanganyikiwa

Na bado.
 
Mabadiliko ni kuitoa CCM madarakani

sasa mnaitoaje wakati hata misingi ya kuitoa hamna?nakwambia hivii ccm tumeshamtoa kuku mtegea mayai ya ufisadi(lowassa)sasa nyie mnakuja na sera gan nyingine miaka 10 yote mmeringia sera hyohyo leo kiko wap,mzalishaji mkuu kama kituo cha songa's mpo nae mtawaeleza sera gan waelewe?
 
Kama vipi Chadema tumieni ilani ya mwaka 2010 ya mfuko wa simenti kuuzwa 5000 na kujenga viwanda vya gongo.
Unafikiri wanakumbuka kama walikuwa na Ilani mwaka 2010? Wamepanic
 
Ukawa wanafanya mambo kisasa zaidi. Fuatilia tokea mwanzo. Wakati wa kujiunga kwa vyama ndani ya UKAWA ilitokea kwa mara moja na UKAWA ni imara kuliko. Wakati wa kumtangaza mgombea wa Urais kupitia UKAWA ili tokea kwa mara moja na Lowassa ametingisha nchi. Kampeni zitaanza na zitaanza mara moja na zitakuwa nzito kuliko mawazo yenu. Hiyo ndio UKAWA. Wana ibuka na kumaliza. CCM wametaja kikosi cha watu 32 sasa hivi watu hao wana chambuliwa mmoja baada ya mwingine. Kampeni zikianza ni kazi tu.
 
Kwahiyo kama ni kichaka cha vibaka police wamelahisishiwa kazi?
Kwa vile wameamua kujikusanya kwenye kichaka kimoja. Dawa yake ni kupiga kiberiti ili wateketee wote. Baada ya uchaguzi, watakuwa wamepoa maana rutakuwa tumemchakaza Lowasa na CHADEMA yake
 
Hivi ukiwa mfuasi mtiifu wa ccm lazima uwe mjinga mjinga kama mleta mada?Yaani watu wakiwa kimya ndio wamepanic?ccm wangapi wamehama?Mbona hukukimbia hapa kusema hilo?

mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu nyie leo wakujiita mpo kmya wakat mda wote humu mlikua mnatutukana na kutukashfu wakat makada wa ccm wanahama,leo limewafika nyie mnajitetea kwa kusema mpo kmya?
 
Ukawa wanafanya mambo kisasa zaidi. Fuatilia tokea mwanzo. Wakati wa kujiunga kwa vyama ndani ya UKAWA ilitokea kwa mara moja na UKAWA ni imara kuliko. Wakati wa kumtangaza mgombea wa Urais kupitia UKAWA ili tokea kwa mara moja na Lowassa ametingisha nchi. Kampeni zitaanza na zitaanza mara moja na zitakuwa nzito kuliko mawazo yenu. Hiyo ndio UKAWA. Wana ibuka na kumaliza. CCM wametaja kikosi cha watu 32 sasa hivi watu hao wana chambuliwa mmoja baada ya mwingine. Kampeni zikianza ni kazi tu.
Mtu aliyechanganyikiwa na kupanic anafanya mambo kisasa?
 
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu nyie leo wakujiita mpo kmya wakat mda wote humu mlikua mnatutukana na kutukashfu wakat makada wa ccm wanahama,leo limewafika nyie mnajitetea kwa kusema mpo kmya?
Wamechanganyikiwa hao
 
Toka mfumo wa vyama vingi uanze Tanzania,Huu ndio uchaguzi wa kwanza Ccm wanaingia kwenye ushindani wakiwa na asilimia chache kurudi Ukulu.
Chaguzi zote zilizotangulia,Ilikuwa Ccm wakishampata mgombea anajiona tayari ni Rais wa nchi,Hii ni 2015 mawazo mapya na kizazi kipya.
Sababu zipo nyingi,Lakini kumbwa ni Nguvu ya mzee Lowassa.
Na hii itachangia,Ccm kumchafua zaidi Lowassa kwenye kampeni zao,Kuliko kuwaambia wananchi kuhusu ilani yao.
Tuache ushabiki wa chama,Kwa hili tukubaliane na tukubali demokrasia imekuwa.Na Lowassa ni mwiba mkali kwa Ccm
Kikubwa kwa faida ya Amani yetu,Ccm wakishindwa wakabidhi nchi.
Kibo complex.com
 
Hivi hili neno kupanic ndio kwanza ufundishwe leo ama vp?tuambieni miaka 50 mmeondosha vp rushwa na umasikini kwa wa tz.

na nyie mje kutuambia mtapigana vp na ufisadi huku mkiongozwa na yuleyule mliyemuita "papa wa ufisadi"
 
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu nyie leo wakujiita mpo kmya wakat mda wote humu mlikua mnatutukana na kutukashfu wakat makada wa ccm wanahama,leo limewafika nyie mnajitetea kwa kusema mpo kmya?

Hii ishakua shida,kuna haja ya kutoa elimu ya uraia!Unaposema nyie unamaana gani?Hv unanijibu mimi au unamjibu nani?Hueleweki?
 
ImageUploadedByJamiiForums1440171699.994746.jpg
CCM watupe majibu nani aliua hili shirika na mwishowe mkauza kila kitu, haya mabasi yalikuwapo toka Awamu ya kwanza ya uongozi, mnayaleta sasa hivi mnatudanganya ni mradi mpya wakati ulishakuwapo toka siku nyingi.

Insanity is doing the same thing over and over again and expecting a different results, mmeshaahidi mambo mengi na bado mnaahidi vitu kedekede as if mliyoahidi 2010 mmeyamaliza kwann msutuambia mnamalizia yale mliyoahidi 2010 mana hata robo hamjatimiza. Kuja na ahadi mpya wakati za zamani hujatekeleza ni dharau kwa wananchi,

Mtatuambia mmejenga barabara nchi nzima juzi nimesikia tumeunganisha mikoa yote kwa barabara za lami halafu hapo hapo mnajisahau mnasema tena mnataka muunganishe Arusha na Mara kupitia serngeti sa sijui mnaposema mmeshaunganisha mnamaanisha nini!?

Tutajieni nchi moja tu duniani ambayo haina barabara ndo nitajua mmefanya maajabu na tutawachagua tena ili mfanye maajabu mengine kwenye nchi hii kama mlivyojenga barabara, mana kila siku barabara sasa sijui hii nchi barabara za miaka 50 si tungekuwa nazo mpaka chumbani!?
 
Back
Top Bottom