Hot Lady
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,035
- 638
Umepanic na umechanganyikiwa. By Lizaboni. Endelea kupanic tuUnatafuta basha kwa nguvu? itakudodea mwaka huu gamba wewe!
Umepanic na umechanganyikiwa. By Lizaboni. Endelea kupanic tuUnatafuta basha kwa nguvu? itakudodea mwaka huu gamba wewe!
Watapanic sana. Cha kushangaza ni kwamba wanajipanikisha wenyeweMkuu Lizabon hawa jamaa ni kama wako ndani ya ndege na wamepoteza mawasiliano kabisa na waongoza ndege. Hebu fikiria hali inavyokuwa hapo. Na bado watapanic sana mwaka huu. Subiria siku matokeo yakitangazwa utawasikia, "tumeibiwa kura"!
Mwingine huyu kapanic
Ndo maana hawataki kumuacha apumue hata sekunde. Nasikia wanagongana vikumbo nyumbani kwake.mwamepanic! WamechanganyikiwaLizaB umesema kweli kabisa. Niliwaona leo hata walivyoenda nec hawana sura za bashasha walionekana wanyonge sana sura za kutia huruma na inaonesha mpaka sasa hawaaminiani kabisa. Naona bado wanahisi Edo anaweza jitoa au mbatia na cuf
Kwikwikwikwiiiii! Jinsi ulivyochanganyikiwa soon utaokota makopoTukichelewa mnasema tunapanic mara oooh mmnaiga mara oooh mnasubiri makap ya sisiyem
yani mwaka huu mnatokwa poooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooovu kabisaaaaaaaaaaaaaaa