CHADEMA na UKAWA wamepanic, wamechanganyikiwa

We Hujioni Kama Unapga Kelele Kwa Kushndwa Kujibu Kwa Hoja,we Sema Tu Mna Ilani Ukawa?
Mkuu, kwa kawaida mtu aliyepanic na kuchanganyikiwa,mhawezi kujibu kwa hoja. Nimewaainishia vipengele 10 ambavyo kama wana majibu watoe. Mpaka sasa wanaendelea kupanic tu hakuna hata mmoja mwenye majibu
 
Utakuwa unatafuta taarifa tu wewe si bure. Nahisi UKIMYA wa UKAWA katika hayo uliyoyaainisha unawatisheni sana. Kuiondoa CCM hauhitaji ILANI. Kinachohtajika ni mpiga kura na sanduku la kura na wasimamizi wa kura basi.
 
Ukawa hawajui watokee wapi mpaka sasa ccm wameshinda jimbo moja la nanyamba mgombea wa cuf kasepa zake katoboa mtoni.
Kwikwikwikwikwikwikiiiiiii! Na wataanguka sana safari hii
 
Utakuwa unatafuta taarifa tu wewe si bure. Nahisi UKIMYA wa UKAWA katika hayo uliyoyaainisha unawatisheni sana. Kuiondoa CCM hauhitaji ILANI. Kinachohtajika ni mpiga kura na sanduku la kura na wasimamizi wa kura basi.
Mkuu, hakuna taarifa yoyote natafuta toka ukawa. Hawa wapo kiganjani mwangu. Ndo maana kila nikiweka mada hapa hakuna mwenye jeuri ya kuijibu
 
Ni kweli tumepanic ndiyomaana tunasema ile nyomi ni picha za kuunga kwa komputa.
Ni kweli tumepanic ndiomaana tumediriki kuwaita wapiga kura ni wanywa viroba kwasababu tu wamejaza mkutano wa mpinzani

Mkuu huwa ninakuheshimu kwa comments zako lakini nashangaa kukuona bado hujafungua macho...Mbowe kawauza Ukawa full stop.
 
Kesho CHADEMA na umoja wao wa kichina, UKAWA wanazindua kampeni. Hata hivyo,

1. Mpaka sasa hawajatangaza wapi watazindua kampeni zao baada ya kuukosa uwanja mkuu wa taifa ambao walidhani unatumika kwa shughuli za kisiasa.

2. Mpaka wanaenda kuzindua kampeni, hawana Ilani ya Uchaguzi. Sijui wataenda kuwaambia nini wananchi. Naona wanaenda kupiga porojo tu.

3. Vyama washirika karibu vyote vimepoteza muelekeo. CUF mpaka sasa hawana Mwenyekiti baada ya Lipumba kujiuzulu. CHADEMA hawana Katibu Mkuu baada ya Dr Slaa kukaa pembeni.

4. Hawana agenda ya kuwabeba kisiasa. Agenda yao ya ufisadi imeingia kirusi baada ya kumteua fisadi kuwa mgombea Urais.

5. Makosa waliyofanya ya kuchelewa kutangaza wagombea ubunge yanawafanya waende kwenye kampeni wakiwa vipande vipande. Kule Bunda Mjini, Bulaya kakataliwa. Sikonge kwa Mkumba hali ni tege. Pia kuna majimbo mengi hali si shwari.

6.. Wakati viongozi wote wa Bunda wakijiuzulu, CHADEMA wamepanic na kutengeneza propaganda kuwa viongozi hao wapatao 11 wamefukuzwa kutokana na makosa mbalimbali. Hata hivyo ushahidi wa video umewaumbua na sasa wamepanic.

7. Mafuriko ya wana CCM waliyokuwa wanatarajia kuhamia CHADEMA mpaka sasa hayajajitokeza. Wamepanic

8. Wakati kesho wanazindua kampeni, mpaka sasa hawana timu ya kampeni ya kitaifa. Wanasubiri maelekezo kutoka kwa Lowasa. Wamepanic. Ubora wa Timu ya kampeni ya CCM umewafanya wajitafakari upya

9. Mpaka wanaingia kwenye uchaguzi, CHADEMA, CUF na NCCR hawakuwa na bajeti ya uchaguzi. Wanategemea ufadhili wa Lowasa. Hata hivyo, mambo yanaonekana kwenda kombo kwake. Lowasa amesema kuwa hana uwezo wa kugharamia majimbo yote isipokuwa ataelekeza nguvu kwenye majimbo machache hasa ya maswahiba wake. CHADEMA wamepanic.

10. Uwezo mdogo wa Lowasa kujenga hoja umewapanikisha. Wamepanic kweli. Ndo maana kila anakoenda Lowasa lazima Mbowe na Mbatia wawepo. Yaani full kupanic. Nimeshangaa hata kurudisha fomu leo wote walienda. Wamechanganyikiwa

Na bado.

Wewe bila shaka una kadi ya CCM
 
Kumchukua? Hahahaa.. Mtu mzima anachukuliwa? Hii ni shida.. Topic uchwara bora nikachome nyama nje na watoto..!!

bora uende kwa sababu umeishiwa hoja!!wewe unamponda na kumkashfu mtu almost 8yrs halafu unaita "political tactics"?
 
Mkuu, kwa kawaida mtu aliyepanic na kuchanganyikiwa,mhawezi kujibu kwa hoja. Nimewaainishia vipengele 10 ambavyo kama wana majibu watoe. Mpaka sasa wanaendelea kupanic tu hakuna hata mmoja mwenye majibu

yan hapo ndo wanapozidiwa kwa hoja na mtu kama polepole mpaka wanawaita viongozi wao kama mtatiro na msigwa wakati HP hata uongoz kati chama hana!
 
Utakuwa unatafuta taarifa tu wewe si bure. Nahisi UKIMYA wa UKAWA katika hayo uliyoyaainisha unawatisheni sana. Kuiondoa CCM hauhitaji ILANI. Kinachohtajika ni mpiga kura na sanduku la kura na wasimamizi wa kura basi.

haaa kwel ukawa hamna dira,sasa mnaenda kuwaeleza nin wananch kama hamna mwongozo au ndo mwongozo wenu kichwa cha mh.fisadi papa(according to slaa,mbowe na lissu)
 
Lizaboni na humphrey polepole ni mwiba kwa ukawa..wanawaogopa sana kwa dozi zenu
 
Wewe bila shaka una kadi ya CCM

sio lizaboni peke yake mwenye kadi ya ccm,tupo weng na hatujutii kuwa nazo kwa sababu tupo katika misingi imara sio kama nyie misingi yenu inabadilisha na mtu m1 aliyekuja frm nowhere na kuwa ccm sijutii kwa sababu sijawahi kuuzwa nikiwa ndani ya ccm sasa nyie mmeuzwa nyie na chama chenu wote...
 
Ukawa kwasasa wamekubwa mbugila kabisa ukiwakita kwenye vikao vyao mpaka utacheka hawajiwezi kabisa.
 
fikiri kabla ya kuandika ili kujua unachoandika kinaweza kuwa sahihi na watu wakakielewa na kuwa sahihi mimi nazani wewe ndio umepanic jaribu kufikiria
 
Kesho CHADEMA na umoja wao wa kichina, UKAWA wanazindua kampeni. Hata hivyo,

1. Mpaka sasa hawajatangaza wapi watazindua kampeni zao baada ya kuukosa uwanja mkuu wa taifa ambao walidhani unatumika kwa shughuli za kisiasa.

2. Mpaka wanaenda kuzindua kampeni, hawana Ilani ya Uchaguzi. Sijui wataenda kuwaambia nini wananchi. Naona wanaenda kupiga porojo tu.

3. Vyama washirika karibu vyote vimepoteza muelekeo. CUF mpaka sasa hawana Mwenyekiti baada ya Lipumba kujiuzulu. CHADEMA hawana Katibu Mkuu baada ya Dr Slaa kukaa pembeni.

4. Hawana agenda ya kuwabeba kisiasa. Agenda yao ya ufisadi imeingia kirusi baada ya kumteua fisadi kuwa mgombea Urais.

5. Makosa waliyofanya ya kuchelewa kutangaza wagombea ubunge yanawafanya waende kwenye kampeni wakiwa vipande vipande. Kule Bunda Mjini, Bulaya kakataliwa. Sikonge kwa Mkumba hali ni tege. Pia kuna majimbo mengi hali si shwari.

6.. Wakati viongozi wote wa Bunda wakijiuzulu, CHADEMA wamepanic na kutengeneza propaganda kuwa viongozi hao wapatao 11 wamefukuzwa kutokana na makosa mbalimbali. Hata hivyo ushahidi wa video umewaumbua na sasa wamepanic.

7. Mafuriko ya wana CCM waliyokuwa wanatarajia kuhamia CHADEMA mpaka sasa hayajajitokeza. Wamepanic

8. Wakati kesho wanazindua kampeni, mpaka sasa hawana timu ya kampeni ya kitaifa. Wanasubiri maelekezo kutoka kwa Lowasa. Wamepanic. Ubora wa Timu ya kampeni ya CCM umewafanya wajitafakari upya

9. Mpaka wanaingia kwenye uchaguzi, CHADEMA, CUF na NCCR hawakuwa na bajeti ya uchaguzi. Wanategemea ufadhili wa Lowasa. Hata hivyo, mambo yanaonekana kwenda kombo kwake. Lowasa amesema kuwa hana uwezo wa kugharamia majimbo yote isipokuwa ataelekeza nguvu kwenye majimbo machache hasa ya maswahiba wake. CHADEMA wamepanic.

10. Uwezo mdogo wa Lowasa kujenga hoja umewapanikisha. Wamepanic kweli. Ndo maana kila anakoenda Lowasa lazima Mbowe na Mbatia wawepo. Yaani full kupanic. Nimeshangaa hata kurudisha fomu leo wote walienda. Wamechanganyikiwa

Na bado.
Wewe ccm mwana wa magamba unaongea kitu gani!! Ila cshangai mana wana ccm wengi shule hamna
 
Wewe ni nani wa kuspenti more time about UKAWA, na kama wamekosa uwanja wa kuzindulia kampeni inawahusu..JamiiForum hamuaminiki kwa kutoa taarifa za uongo.
 
Naona siku hizi ni vita ya propaganda na kucheza na psychic za watu.
 
Ila nimegundua kitu kimoja mleta mada ndio kachanganyikiwa hajui mbinu au plan za ukawa katika kuzindua kampeni alitegemea ukawa waweweseke baada ya tangazo la katazo la uwanja ila wametulia kimya. ama kweli kimya kina mshindo mkuu
 
Back
Top Bottom