CHADEMA na UKAWA wamepanic, wamechanganyikiwa

hujui ukisemacho

Hua mnaanza baadae mnasanda

Nyie anzeni tu kesho...then kitakachofuatia ni kupotezwa

Hahahahahah....tumewaachia siku hizi mbili mnaanza kujifanya mnajua kuongeaaaaa

ww ndio hujui chochote ilani ipo wapi mtazungumzia nini tuwambia vichwa giazi mnachukia
 
Hatuwezi kukubali vijana makini kama sisi nchi iongozwe na watu waliojaa stress. Mbowe stress katibu kagoma kusapoti project ya kifisadi, Maalim Seif stress Prof. Nafsi imemsuta, Mbatia stress Ruhuza kagomea project ya kikanda. Liwassa stress pesa zimepigwa na wanaCCM harafu wamegoma kuhama nae, Mashabiki wamejazwa upepo na viroba eti kuiondoa CCM.bila agenda. Mmeliwa
Na wasipookota makopo safari hii sijui!
 
Unajua nini Lizaboni, Huyu fisadi Lowassa aliwadanganya kuwa yeye ana nguvu sana kila anachotaka atakipata ndio akawaambia watatumia Uwanja wa Taifa, kufika huko wakapigwa STOP! ha hahah ha ahaa nimecheka sana, yaani watapanic mbaya mwaka huu!
 
hahahahha....Lizabon umetsha.....agenda ilokibeba cdm waliilowesha wenyewe bila kujua nini kitawakuta....sasa hivi wanadai wanataka mabadiliko.....hawasemi ni mabadiliko gani
Mabadiliko ni kuitoa CCM madarakani
 
Mbona unakiherehere sana kama Mude? Ww yanakuhusu nn hadi utusemee? Kesho ndio utajua tumekosa sehem ya kuzindua ila nakusihisi punguza kiherehere Mrembo
 
Unajua nini Lizaboni, Huyu fisadi Lowassa aliwadanganya kuwa yeye ana nguvu sana kila anachotaka atakipata ndio akawaambia watatumia Uwanja wa Taifa, kufika huko wakapigwa STOP! ha hahah ha ahaa nimecheka sana, yaani watapanic mbaya mwaka huu!
Wamechanganyikiwa. Nasikia wameahirisha uzinduzi kesho coz hawajui wapi pamkuzindulia. Wanafanya mazungumzo na Mchungaji Gwajima ili awaazime viwanja vya Tanganyika Parkers alipoweka kanisa lake. Wamechanganyikiwa
 
Ka vile umepanic, huwezimkuona kama vina mahusiano na kupanic kwako

Wateja wa ccm wengi ni ignorants ukiwemo nawe.Kwanza hujui hata dhana ya kupanic unabwabwaja tu mithili ya mlevi wa dengu.unexpectedly reaction iko wapi!!
 
Mbona unakiherehere sana kama Mude? Ww yanakuhusu nn hadi utusemee? Kesho ndio utajua tumekosa sehem ya kuzindua ila nakusihisi punguza kiherehere Mrembo
Kwa hiyo mpaka sasa sehemu mtakapozindulia mnafanya siri? Na hao mashabiki wenu wataendaje huko?
 
Wateja wa ccm wengi ni ignorants ukiwemo nawe.Kwanza hujui hata dhana ya kupanic unabwabwaja tu mithili ya mlevi wa dengu.unexpectedly reaction iko wapi!!
Duh! Huku sasa ni kupanic. Nakuhurumia sana ndugu
 
mkuu hiyo ilani wataipata wapi wakati wao wanafukuza vichwa kama akina Kitila, zitto, slaa,lipumba na kusajili akina profesa j?
ile ya 2010 iliandikwa na kitila na mtu wa kwanza kuipitia na kutoa mrejesho alikuwa zitto. sasa hao nje. wamebaki akina lema, sugu nk. wala usiwalaumu kukosa ilani maana sio kosa lao.

Kesho CHADEMA na umoja wao wa kichina, UKAWA wanazindua kampeni. Hata hivyo,

1. Mpaka sasa hawajatangaza wapi watazindua kampeni zao baada ya kuukosa uwanja mkuu wa taifa ambao walidhani unatumika kwa shughuli za kisiasa.

2. Mpaka wanaenda kuzindua kampeni, hawana Ilani ya Uchaguzi. Sijui wataenda kuwaambia nini wananchi. Naona wanaenda kupiga porojo tu.

3. Vyama washirika karibu vyote vimepoteza muelekeo. CUF mpaka sasa hawana Mwenyekiti baada ya Lipumba kujiuzulu. CHADEMA hawana Katibu Mkuu baada ya Dr Slaa kukaa pembeni.

4. Hawana agenda ya kuwabeba kisiasa. Agenda yao ya ufisadi imeingia kirusi baada ya kumteua fisadi kuwa mgombea Urais.

5. Makosa waliyofanya ya kuchelewa kutangaza wagombea ubunge yanawafanya waende kwenye kampeni wakiwa vipande vipande. Kule Bunda Mjini, Bulaya kakataliwa. Sikonge kwa Mkumba hali ni tege. Pia kuna majimbo mengi hali si shwari.

6.. Wakati viongozi wote wa Bunda wakijiuzulu, CHADEMA wamepanic na kutengeneza propaganda kuwa viongozi hao wapatao 11 wamefukuzwa kutokana na makosa mbalimbali. Hata hivyo ushahidi wa video umewaumbua na sasa wamepanic.

7. Mafuriko ya wana CCM waliyokuwa wanatarajia kuhamia CHADEMA mpaka sasa hayajajitokeza. Wamepanic

8. Wakati kesho wanazindua kampeni, mpaka sasa hawana timu ya kampeni ya kitaifa. Wanasubiri maelekezo kutoka kwa Lowasa. Wamepanic. Ubora wa Timu ya kampeni ya CCM umewafanya wajitafakari upya

9. Mpaka wanaingia kwenye uchaguzi, CHADEMA, CUF na NCCR hawakuwa na bajeti ya uchaguzi. Wanategemea ufadhili wa Lowasa. Hata hivyo, mambo yanaonekana kwenda kombo kwake. Lowasa amesema kuwa hana uwezo wa kugharamia majimbo yote isipokuwa ataelekeza nguvu kwenye majimbo machache hasa ya maswahiba wake. CHADEMA wamepanic.

10. Uwezo mdogo wa Lowasa kujenga hoja umewapanikisha. Wamepanic kweli. Ndo maana kila anakoenda Lowasa lazima Mbowe na Mbatia wawepo. Yaani full kupanic. Nimeshangaa hata kurudisha fomu leo wote walienda. Wamechanganyikiwa

Na bado.
 
Kwa hali hii kweli wana haki ya kupanic
 
Kaka Ruzibiza, Lizaboni hajakosea aliposema wamepanic. Hata hayo mabadiliko hawajui ni mabadiliko gani. Ni hasi ama chanya? Hawatuambioi
Kweli nimeamini ccm wanafikiria kwa ma*ta*ko! Muda was kampeni ulikuwa bado haujafika na hakuna mgombea aliyeruhusiwa kutaja Sera za chama chake. Sasa ulitaka ukawa wavunje taratibu za time ya uchaguzi ili waadhibiwe ndio Furaha yako! Mbona makufuli na mzee Vasco dagama wnazunguka tu na kusema SITAWAANGUSHA!
 
Wew mwanaccm yanakuhusu nn??yan unakaa na kupoteza muda kuandaa ramli za kusadikika juhusu mpinzan wako.ni mjinga pekee unaweza kumshawishi na vipropaganda vyako vya kitoto na vya kijinga.

hzo ramli mlianza kuzipga nyie kwa kuwatajataja viongozi wakubwa kuwa watakuja kwenu ikabaki stor mpaka sasa hollah hamna kitu oh mara sumaye,mara gharibu bilal,oh mara kingunge mara wakuu wa mikoa wapo wap hao wote sasa hv?
 
Kesho CHADEMA na umoja wao wa kichina, UKAWA wanazindua kampeni. Hata hivyo,

1. Mpaka sasa hawajatangaza wapi watazindua kampeni zao baada ya kuukosa uwanja mkuu wa taifa ambao walidhani unatumika kwa shughuli za kisiasa.

2. Mpaka wanaenda kuzindua kampeni, hawana Ilani ya Uchaguzi. Sijui wataenda kuwaambia nini wananchi. Naona wanaenda kupiga porojo tu.

3. Vyama washirika karibu vyote vimepoteza muelekeo. CUF mpaka sasa hawana Mwenyekiti baada ya Lipumba kujiuzulu. CHADEMA hawana Katibu Mkuu baada ya Dr Slaa kukaa pembeni.

4. Hawana agenda ya kuwabeba kisiasa. Agenda yao ya ufisadi imeingia kirusi baada ya kumteua fisadi kuwa mgombea Urais.

5. Makosa waliyofanya ya kuchelewa kutangaza wagombea ubunge yanawafanya waende kwenye kampeni wakiwa vipande vipande. Kule Bunda Mjini, Bulaya kakataliwa. Sikonge kwa Mkumba hali ni tege. Pia kuna majimbo mengi hali si shwari.

6.. Wakati viongozi wote wa Bunda wakijiuzulu, CHADEMA wamepanic na kutengeneza propaganda kuwa viongozi hao wapatao 11 wamefukuzwa kutokana na makosa mbalimbali. Hata hivyo ushahidi wa video umewaumbua na sasa wamepanic.

7. Mafuriko ya wana CCM waliyokuwa wanatarajia kuhamia CHADEMA mpaka sasa hayajajitokeza. Wamepanic

8. Wakati kesho wanazindua kampeni, mpaka sasa hawana timu ya kampeni ya kitaifa. Wanasubiri maelekezo kutoka kwa Lowasa. Wamepanic. Ubora wa Timu ya kampeni ya CCM umewafanya wajitafakari upya

9. Mpaka wanaingia kwenye uchaguzi, CHADEMA, CUF na NCCR hawakuwa na bajeti ya uchaguzi. Wanategemea ufadhili wa Lowasa. Hata hivyo, mambo yanaonekana kwenda kombo kwake. Lowasa amesema kuwa hana uwezo wa kugharamia majimbo yote isipokuwa ataelekeza nguvu kwenye majimbo machache hasa ya maswahiba wake. CHADEMA wamepanic.

10. Uwezo mdogo wa Lowasa kujenga hoja umewapanikisha. Wamepanic kweli. Ndo maana kila anakoenda Lowasa lazima Mbowe na Mbatia wawepo. Yaani full kupanic. Nimeshangaa hata kurudisha fomu leo wote walienda. Wamechanganyikiwa

Na bado.

Toka mfumo wa vyama vingi uanze Tanzania,Huu ndio uchaguzi wa kwanza Ccm wanaingia kwenye ushindani wakiwa na asilimia chache kurudi Ukulu.
Chaguzi zote zilizotangulia,Ilikuwa Ccm wakishampata mgombea anajiona tayari ni Rais wa nchi,Hii ni 2015 mawazo mapya na kizazi kipya.
Sababu zipo nyingi,Lakini kumbwa ni Nguvu ya mzee Lowassa.
Na hii itachangia,Ccm kumchafua zaidi Lowassa kwenye kampeni zao,Kuliko kuwaambia wananchi kuhusu ilani yao.
Tuache ushabiki wa chama,Kwa hili tukubaliane na tukubali demokrasia imekuwa.Na Lowassa ni mwiba mkali kwa Ccm
Kikubwa kwa faida ya Amani yetu,Ccm wakishindwa wakabidhi nchi.
 
ww ndio hujui chochote ilani ipo wapi mtazungumzia nini tuwambia vichwa giazi mnachukia

kwa miaka zaid ya 50 ya ccm kuwepo madarakani na hizo ILANI zenu zimetusaidia nini??
poor ccm hamfai kwa lolote tumewachokaaaaa.
ilani zenu hazina tofauti na uchafu wa barabarani.
 
Kama vipi Chadema tumieni ilani ya mwaka 2010 ya mfuko wa simenti kuuzwa 5000 na kujenga viwanda vya gongo.
 
Back
Top Bottom