Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 891
Kiukweli kabisa, nilikuweka katika category ya fanatics lakini kidogo nimeanza kukusoma. Ukichokiandika na nilichokiona jana katika press conference ya Ukawa vinashabahiana.
1. Katika meza kuu hakuwepo mwakilishi wa CUF
2. Sumaye kasema kajiunga na Ukawa lakini hakutaja chama ipi
3. Hawakutangaza siku ya uzinduzi na mpaka sasa wana kigugumizi
4. Waliokuwepo katika chumba ni wachache mno ingawa ITV ilijitahidi kubana fremu ya picha ili kutoonyesha siti wazi nyingi. Sura za wahudhuriaji haikuwa na sura za active Ukawa members wengi walionekana ni recent CCM immigrants.
5. Makofi yalikuwa machache na wengine walionekana wana hofu.
6. Mbatia alikuwa very nervous na hata Sumaye alikuwa anasoma zaidi lakini bado alikuwa anakwamakwama na kujikanyaga.
Kwa mtazamo huo press conference hii ilikuwa imejaa tension nyingi na very little substance.
Nasubiri watangaze tarehe ya uzinduzi. Kwa maana kampeni imeanza hawana ilani na wagombea wao watanadi nini? "Tunachukia umaskini wa watanzania"?