CHADEMA na UKAWA wamepanic, wamechanganyikiwa

CHADEMA na UKAWA wamepanic, wamechanganyikiwa

Umeanza lini kuwa msemaji wa Chadema..? Kweli huu muujiza wa kenge kukimbia mvua na kuzama majini..!
 
Full takataka, kuna aliyechanganyikiwa kuliko Kikwete mpaka anajipa faraja eti"zile picha za mafuriko ya UKAWA ni za kutengeneza!!" Hata mtoto wa Chekechea asingeweza kusema hivyo wachilia mbali Rais, Dr, Profesa, na Amiri jeshi Mkuu!? Maccm yote yako kwenye full vibration mode!? Mwafwaa mwaka huu, kamuangukieni White Hair!

kisa nyie na viongozi wenu mlimuangukia na kumlamba miguu aingie kwenu na zaid akawahonga mkampa na kiti agombee urais mnataka wote tuwe kama nyinyi?mnaomfanya awe mungu mtu sauti yake au neno lake ndo sheria bila aibu et "wenje nenda kaonane na meneja kama bado tatizo la umeme linaendelea nipgie simu" yeye fundi umeme au neno lake generator?
 
Hadi sasa politics possession mnachezea 13% chadema/ukawa 85% halafu matawi yenu yote yanachezea 2% kwa ujumla wao! we endelea kutoa macho JF sisi tupo field tunakaba mtu kwa mtu!

Utafiti wa ufipa unakupa wenge
 
na nyie mje kutuambia mtapigana vp na ufisadi huku mkiongozwa na yuleyule mliyemuita "papa wa ufisadi"

Hivi unafahamu ni kwanini Rostam alisema amechoshwa na siasa uchwara? Alichofanya kuwapatieni Rais Dr wenu wa CCM anajua sio siasa bali ni cash. Ndio maana akaita siasa uchwara ndani ya Tanzania. Kwahiyo muwe mnajaribu kuweka kumbu kumbu .
 
Mm ninajua tekniki ya ukawa ni kali sana ccm lazima watapigwa kwa no count the first time.
 
kesho chadema na umoja wao wa kichina, ukawa wanazindua kampeni. Hata hivyo,

1. Mpaka sasa hawajatangaza wapi watazindua kampeni zao baada ya kuukosa uwanja mkuu wa taifa ambao walidhani unatumika kwa shughuli za kisiasa.

2. Mpaka wanaenda kuzindua kampeni, hawana ilani ya uchaguzi. Sijui wataenda kuwaambia nini wananchi. Naona wanaenda kupiga porojo tu.

3. Vyama washirika karibu vyote vimepoteza muelekeo. Cuf mpaka sasa hawana mwenyekiti baada ya lipumba kujiuzulu. Chadema hawana katibu mkuu baada ya dr slaa kukaa pembeni.

4. Hawana agenda ya kuwabeba kisiasa. Agenda yao ya ufisadi imeingia kirusi baada ya kumteua fisadi kuwa mgombea urais.

5. Makosa waliyofanya ya kuchelewa kutangaza wagombea ubunge yanawafanya waende kwenye kampeni wakiwa vipande vipande. Kule bunda mjini, bulaya kakataliwa. Sikonge kwa mkumba hali ni tege. Pia kuna majimbo mengi hali si shwari.

6.. Wakati viongozi wote wa bunda wakijiuzulu, chadema wamepanic na kutengeneza propaganda kuwa viongozi hao wapatao 11 wamefukuzwa kutokana na makosa mbalimbali. Hata hivyo ushahidi wa video umewaumbua na sasa wamepanic.

7. Mafuriko ya wana ccm waliyokuwa wanatarajia kuhamia chadema mpaka sasa hayajajitokeza. Wamepanic

8. Wakati kesho wanazindua kampeni, mpaka sasa hawana timu ya kampeni ya kitaifa. Wanasubiri maelekezo kutoka kwa lowasa. Wamepanic. Ubora wa timu ya kampeni ya ccm umewafanya wajitafakari upya

9. Mpaka wanaingia kwenye uchaguzi, chadema, cuf na nccr hawakuwa na bajeti ya uchaguzi. Wanategemea ufadhili wa lowasa. Hata hivyo, mambo yanaonekana kwenda kombo kwake. Lowasa amesema kuwa hana uwezo wa kugharamia majimbo yote isipokuwa ataelekeza nguvu kwenye majimbo machache hasa ya maswahiba wake. Chadema wamepanic.

10. Uwezo mdogo wa lowasa kujenga hoja umewapanikisha. Wamepanic kweli. Ndo maana kila anakoenda lowasa lazima mbowe na mbatia wawepo. Yaani full kupanic. Nimeshangaa hata kurudisha fomu leo wote walienda. Wamechanganyikiwa

na bado.

pole mdau wa kijani.unaweweseka, ni kama unatumbo la kuha....sha. Kama ungekuwa muungwana ungejikita kusifia chama kilichokutuma. Badala ya kufurahi kimya kimya kwako unawapigia kilele mpk majirani. Muone, huna hayaaaaaaaa!!!!!!!!!
 
Kesho CHADEMA na umoja wao wa kichina, UKAWA wanazindua kampeni. Hata hivyo,

1. Mpaka sasa hawajatangaza wapi watazindua kampeni zao baada ya kuukosa uwanja mkuu wa taifa ambao walidhani unatumika kwa shughuli za kisiasa.

2. Mpaka wanaenda kuzindua kampeni, hawana Ilani ya Uchaguzi. Sijui wataenda kuwaambia nini wananchi. Naona wanaenda kupiga porojo tu.

3. Vyama washirika karibu vyote vimepoteza muelekeo. CUF mpaka sasa hawana Mwenyekiti baada ya Lipumba kujiuzulu. CHADEMA hawana Katibu Mkuu baada ya Dr Slaa kukaa pembeni.

4. Hawana agenda ya kuwabeba kisiasa. Agenda yao ya ufisadi imeingia kirusi baada ya kumteua fisadi kuwa mgombea Urais.

5. Makosa waliyofanya ya kuchelewa kutangaza wagombea ubunge yanawafanya waende kwenye kampeni wakiwa vipande vipande. Kule Bunda Mjini, Bulaya kakataliwa. Sikonge kwa Mkumba hali ni tege. Pia kuna majimbo mengi hali si shwari.

6.. Wakati viongozi wote wa Bunda wakijiuzulu, CHADEMA wamepanic na kutengeneza propaganda kuwa viongozi hao wapatao 11 wamefukuzwa kutokana na makosa mbalimbali. Hata hivyo ushahidi wa video umewaumbua na sasa wamepanic.

7. Mafuriko ya wana CCM waliyokuwa wanatarajia kuhamia CHADEMA mpaka sasa hayajajitokeza. Wamepanic

8. Wakati kesho wanazindua kampeni, mpaka sasa hawana timu ya kampeni ya kitaifa. Wanasubiri maelekezo kutoka kwa Lowasa. Wamepanic. Ubora wa Timu ya kampeni ya CCM umewafanya wajitafakari upya

9. Mpaka wanaingia kwenye uchaguzi, CHADEMA, CUF na NCCR hawakuwa na bajeti ya uchaguzi. Wanategemea ufadhili wa Lowasa. Hata hivyo, mambo yanaonekana kwenda kombo kwake. Lowasa amesema kuwa hana uwezo wa kugharamia majimbo yote isipokuwa ataelekeza nguvu kwenye majimbo machache hasa ya maswahiba wake. CHADEMA wamepanic.

10. Uwezo mdogo wa Lowasa kujenga hoja umewapanikisha. Wamepanic kweli. Ndo maana kila anakoenda Lowasa lazima Mbowe na Mbatia wawepo. Yaani full kupanic. Nimeshangaa hata kurudisha fomu leo wote walienda. Wamechanganyikiwa

Na bado.

Kuna kila dalili zinaz onyesha CCM wame panic
swali ambalo sisi ambao tunaamini kuwa Tume ya uchaguzi iko under CCM control
ni why wame panic now?
kuna kitu wanakijua ambacho wengine hatukijui?

Kwanza wametumia Polisi kupiga marufuku maandamo na shamrashamra za kisiasa
hata kurudisha fomu sasa ni kimya kimya...
mara wamefanya mkutano ndani ya ukumbi wa Diamond..ukumbi unachukua
watu 2500 tu....as if 'wamejikunyata na kujifungia' kiunyonge hivi

Halafu discipline hakuna tena mkutano wa Nape kutangaza timu ya kampeni
Lowassa alikuwa mdomoni mwa Nape kutwa kama its personal now

Halafu timu ya kampeni ni kuubwa kupita kiasi....na siamini watu wote waliwekwa
waliulizwa before...kama kina Sitta ni kama wamelazimishwa kushiriki...

Sasa najiuliza why kuna hali ya ku panic CCM?
mbona kama mnaaanza kuvunjika moyo kabla hata kampeni haijaanza?
nini kinaendelea?au hii ni set up ?mbona kama kuna kitu missing...
Mbona kama CCM ina behave kama chama kidogo hivi? kama TADEA au TLP?
kuna nini? Suppose Lowassa ashinde Urais bado CCM watakuwa na viti vya ubunge vya kutosha
why mood ipo kama 'its over now'...miezi miwili ni mingi sana in politics...
 
Ukawa wanafanya mambo kisasa zaidi. Fuatilia tokea mwanzo. Wakati wa kujiunga kwa vyama ndani ya UKAWA ilitokea kwa mara moja na UKAWA ni imara kuliko. Wakati wa kumtangaza mgombea wa Urais kupitia UKAWA ili tokea kwa mara moja na Lowassa ametingisha nchi. Kampeni zitaanza na zitaanza mara moja na zitakuwa nzito kuliko mawazo yenu. Hiyo ndio UKAWA. Wana ibuka na kumaliza. CCM wametaja kikosi cha watu 32 sasa hivi watu hao wana chambuliwa mmoja baada ya mwingine. Kampeni zikianza ni kazi tu.

sasa nyie mnawachambua wajumbe 32 waliochaguliwa lumumba badala ya kutafuta na kuichambua ilani yenu?badala ya kujichambua wenyewe lowassa hayupo vizur jukwaan nani atazurura naye mnachambua wana ccm 32?
 
Lizaboni unawajulia sana hawa ndugu zetu...
 
sasa nyie mnawachambua wajumbe 32 waliochaguliwa lumumba badala ya kutafuta na kuichambua ilani yenu?badala ya kujichambua wenyewe lowassa hayupo vizur jukwaan nani atazurura naye mnachambua wana ccm 32?
Aliye kuambia watanzania wanataka mwimbaji muziki wa kusimama jukwaani ni nani.
 
Kama vipi Chadema tumieni ilani ya mwaka 2010 ya mfuko wa simenti kuuzwa 5000 na kujenga viwanda vya gongo.

Ile ilani ya cement sh 5000 sio yao, mwenye nayo Kasusa Dr hataki kula matapishi.
 
Kesho CHADEMA na umoja wao wa kichina, UKAWA wanazindua kampeni. Hata hivyo,

1. Mpaka sasa hawajatangaza wapi watazindua kampeni zao baada ya kuukosa uwanja mkuu wa taifa ambao walidhani unatumika kwa shughuli za kisiasa.

2. Mpaka wanaenda kuzindua kampeni, hawana Ilani ya Uchaguzi. Sijui wataenda kuwaambia nini wananchi. Naona wanaenda kupiga porojo tu.

3. Vyama washirika karibu vyote vimepoteza muelekeo. CUF mpaka sasa hawana Mwenyekiti baada ya Lipumba kujiuzulu. CHADEMA hawana Katibu Mkuu baada ya Dr Slaa kukaa pembeni.

4. Hawana agenda ya kuwabeba kisiasa. Agenda yao ya ufisadi imeingia kirusi baada ya kumteua fisadi kuwa mgombea Urais.

5. Makosa waliyofanya ya kuchelewa kutangaza wagombea ubunge yanawafanya waende kwenye kampeni wakiwa vipande vipande. Kule Bunda Mjini, Bulaya kakataliwa. Sikonge kwa Mkumba hali ni tege. Pia kuna majimbo mengi hali si shwari.

6.. Wakati viongozi wote wa Bunda wakijiuzulu, CHADEMA wamepanic na kutengeneza propaganda kuwa viongozi hao wapatao 11 wamefukuzwa kutokana na makosa mbalimbali. Hata hivyo ushahidi wa video umewaumbua na sasa wamepanic.

7. Mafuriko ya wana CCM waliyokuwa wanatarajia kuhamia CHADEMA mpaka sasa hayajajitokeza. Wamepanic

8. Wakati kesho wanazindua kampeni, mpaka sasa hawana timu ya kampeni ya kitaifa. Wanasubiri maelekezo kutoka kwa Lowasa. Wamepanic. Ubora wa Timu ya kampeni ya CCM umewafanya wajitafakari upya

9. Mpaka wanaingia kwenye uchaguzi, CHADEMA, CUF na NCCR hawakuwa na bajeti ya uchaguzi. Wanategemea ufadhili wa Lowasa. Hata hivyo, mambo yanaonekana kwenda kombo kwake. Lowasa amesema kuwa hana uwezo wa kugharamia majimbo yote isipokuwa ataelekeza nguvu kwenye majimbo machache hasa ya maswahiba wake. CHADEMA wamepanic.

10. Uwezo mdogo wa Lowasa kujenga hoja umewapanikisha. Wamepanic kweli. Ndo maana kila anakoenda Lowasa lazima Mbowe na Mbatia wawepo. Yaani full kupanic. Nimeshangaa hata kurudisha fomu leo wote walienda. Wamechanganyikiwa

Na bado.
Mbona kama unaiga yaliyoandikwa na The Boss! Huwezi kufanya yako bila kufuatisha yaliyoandikwa na wengine na hasa washindani wenu?
 
Mbona kama unaiga yaliyoandikwa na The Boss! Huwezi kufanya yako bila kufuatisha yaliyoandikwa na wengine na hasa washindani wenu?

Wanataka kujaza posts ili wawe premium members..!!
 
Back
Top Bottom