CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

Unawajua hao unaowaita wawekezaji wa ukweli?
 
Ohooooooo ignorant people bwana yani wewe mambo ya mungu mangapi huyafanyi unategemea ukafe kwenye maandamano ya CDM utegemee utapata paradiso labda upewe na dj au Dr
 

SmH!...
Sikuwa na mpango wa kuchangia lakini wewe umenichekesha sana!..
Hivi huweza kufikiri zaidi ya hapo bro? Huoni kama ni aibu kuandika unachoandika kwenye uzi huu?... Daah!.. Basi hata wanao (Kama utajaliwa) watakuwa wamezaliwa na kiumbe cha ajabu sana!..

#I 'm very sorry to say that#... Nakusikitikia mbele za watu!.
 
Inaelekea unanifahamu vizuri kuliko hata ninavyojifahamu mimi mwenyewe
Anyway endeleeni kufuata kila analowaambia DJ mfanye, lakini kumbukeni tu kumuuliza kama na familia yake itakuja kwenye hayo maandamano au watakuwa wanawaangalia tu kwenye tv mnavyokula kichapo kwa kutotii amri ya serikali.
 
Hauna haja ya kunitusi kwani nimeisha zoea kwani sifa moja wapo ya kuwa mwanachama wa chadema basi uwe unajua kutukana mitusi kama vile hukulelewa na wazazi.
Anyway wewe kaandamane hiyo jumatatu jioni tutakutana hapa kama hautakuwa umeswekwa lupango kwa kosa la kuandamana bila kibali. N a kabla hujaenda kwenye maandfamano muulize babu na DJ kama familia zao nao watakuwepo
 
Maandamano ni haki inayotambuliwa na katiba polisi wanaagizwa na katiba wapokee taarifa ili wajiandae kuongoza na kulinda na kama hili viongozi wa cdm wameshalitimiza natoa rai kwa wana nccr wote kuwaunga chadema mkono kwa kushiriki maandamano halali
 
Kwa wapenda HAKI wote hawa policcm sio malaika,they are just human being like us.,wao wanashetan sisi tuna Mungu,kama wao ni polisi wa kulinda usalama wa raia watayalinda maandamano ya aman ila kama ni kwa udhalimu tutawashinda...ntakuwa na rasket yenye maji ya kutosha,huu ndo mwisho wa jeshi la mmbu kutumika...viva cdm,tumesha choka maisha haya...
 
Chris Lukosi , Hawa wengi wanaopiga kelele hapa JF huwezi kuwaona ground zero. Kwani hujui mbwa mwoga alivyo na kelele.

Wengi wao humu wao maandamano yao yatakuwa kwa njia ya keyboard/keypad, wao wanapenda kuita digitari kupata updates.
 
Last edited by a moderator:
Umeandika unafiki mtupu!
 
Vp leo lunch wewe na familia yako mlikula ikulu au lumumba....yeye DJ vp jamaa wa magogon alikuwa hakosi bilz w/end hahahaaaaaa
 
Chris Lukosi , Hawa wengi wanaopiga kelele hapa JF huwezi kuwaona ground zero. Kwani hujui mbwa mwoga alivyo na kelele.

Wengi wao humu wao maandamano yao yatakuwa kwa njia ya keyboard/keypad, wao wanapenda kuita digitari kupata updates.
Jipe moyo hata ile ya mtwara zilikuwa keyboard....
 
Last edited by a moderator:
Chris Lukosi , Hawa wengi wanaopiga kelele hapa JF huwezi kuwaona ground zero. Kwani hujui mbwa mwoga alivyo na kelele.

Wengi wao humu wao maandamano yao yatakuwa kwa njia ya keyboard/keypad, wao wanapenda kuita digitari kupata updates.
Wote hawa mie nimewazoea,
Nakumbuka hata wakati ule nilipokuwa kamanda wao nilikuwa nikiitisha mikutano wanakupigia simu mpaka inawaka moto..."TUKO PAMOJA KAMANDAA!" lakini siku ya mkutano wote wanaingia mitini unabaki kuhutubia meza na viti.
Ni sawa tu na hawa viongozi wao, wanawafanya vijana wa watu chambo halafu kwenye maandamano hutaona ndugu au familia wanakwenda huko.
Kikinuka utakuta wanaoumia ni masikini tu wakati wao tayari wameisha pata umaarufu wanakula bata tu.
Nakumbuka Osama Bin laden mpaka anapofariki wanae wote na wake zake walikuwa hawana hata jeraha moja, yeye alikuwa anawavalisha mabomu watoto wa mafala anawaambia wakifa wataenda mbinguni na watapata wanawake bikra kumi na nane. kama kweli huko ni kuzuri kwa nini asiwapeleke wanae wakatese?
 


familia zao ni sisi watz tunaoishi maisha yj kimaskin wkt nchi yetu tajiri. Ndiyo tutakuwepo
 
zile kamati za ulinzi za mikoa na wilaya zipo chini ya wakuu wa mikoa ambao ni makada wa ccm mfano joel bendera kina stella manyanya halafu mnategemea ipo siku chadema itakuja kukubaliwa kuandaa maandamano ya kumtoa gamba mwenzao hapa ni kulianzisha tu j3 wakuuu.
 

Akili zako timamu na umahiri wako na ujanja wako umetokana na ujinga wetu! Kama tusingekuwa wajinga usingejiona mwerevu mjanja mwenye akili kuliko sisi wajinga,
Tambua siku tukipata akili hautakuwa na akili maana hapatakuwepo na wa kujilinganisha naye ili uwe mjanja,
Asante ! Tuone wajinga ngoja tutafute haki yetu. Tukipata akili tutakaa meza moja tutafute mjinga.
 

Kama huna uwezo wa kushawishi nani akusikilize.Bora uliondoka tu maana ulikua political liability

Si hulka ya CHADEMA kuhutubia viti na meza.Bora umerudi huko walikozoea mikutamo ya aina hiyo.Pole
 
Hakuna fujo zitakazotokea , maandamano yako palepale , kimsingi polisi wanataka kutumia bila hata kutafakari ! Cha kushangaza zaidi uchunguzi unaonyesha kuwa Zero 5 za kutisha zaidi Necta 2012 zinatoka kota za polisi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…