Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,163
- 5,765
naona unaishi kwa kucrame, huna logic and reasoning
Ungekuwa na logic na reasoning usingeandika upuuzi. Tatizo la kufuata mob saikoloji ndio linakusumbua.
naona unaishi kwa kucrame, huna logic and reasoning
we uliyefanya research tupe data zako!
Hii nchi hata wakichukuwa vyama vingine,hakuna ujanja ni lazima tufungue milango ili tuweze kupata wawekezaji ambao watasimamiwa vyema na kuifanya Tanzania isonge mbele.kwa dunia ya sasa bila kufungua milango huwezi kwenda mahali,bila kuwa na ushirikiano na nchi nyingine huwezi kusonga mbele,ufike wakati tukubali kuwa maendeleo ya sasa yanahitaji wawekezaji wawe wa ndani ama wa nje.
Nakubaliana na maandamano hayo,lakini ni vyema tuelewe kuwa Tanzania inahitaji wawekezaji wa kweli na kwa sasa wawekezaji wa kweli ni kutoka uchina na si ujerumani wala uingereza wala USA.
Cha msingi hapa ni kuwa makini ktk kile tukifanyacho,ktk swala la utaifa tusimame kwa pamoja na ktk maswala ya uvyama hainashida mkipambana maana kila chama kinataka kushika dola na hii ni kwa kila chama cha siasa ktk nchi yeyote ile.
Angalia usije kuwa unatukana muajiri wakoWewe kuli endelea kubebea wazungu mabosi huko, tuachie sis ukombozi wa nchi yetu kuli mkubwa wewe.
Hii nchi hata wakichukuwa vyama vingine,hakuna ujanja ni lazima tufungue milango ili tuweze kupata wawekezaji ambao watasimamiwa vyema na kuifanya Tanzania isonge mbele.kwa dunia ya sasa bila kufungua milango huwezi kwenda mahali,bila kuwa na ushirikiano na nchi nyingine huwezi kusonga mbele,ufike wakati tukubali kuwa maendeleo ya sasa yanahitaji wawekezaji wawe wa ndani ama wa nje.
Nakubaliana na maandamano hayo,lakini ni vyema tuelewe kuwa Tanzania inahitaji wawekezaji wa kweli na kwa sasa wawekezaji wa kweli ni kutoka uchina na si ujerumani wala uingereza wala USA.
Cha msingi hapa ni kuwa makini ktk kile tukifanyacho,ktk swala la utaifa tusimame kwa pamoja na ktk maswala ya uvyama hainashida mkipambana maana kila chama kinataka kushika dola na hii ni kwa kila chama cha siasa ktk nchi yeyote ile.
Hapo umesema sasa
ni kwamba zipo sheria zinazowaongoza wawekezaji juu ya uajili wa wafanyakazi ktk maeneo waliowekeza,tatizo lilopo hapa ni kwamba sisi watanzania wenyewe ndio wajinga,maana uhamiaji wanatoa vibali vya kufanya kazi kwa watu toka nje,na vibari hvyo vinatolewa kinyemela hilo huwezi mlaumu raisi ndio maana kuna mgawanyo wa kazi,wapo watu wamepewa kazi ya kuzunguka ktk maeneo ya wawekezaji na kubaini ni wazawa wangapi wameajiliwa na wageni wangapi wameajiliwa,kinachotokea ni kwamba watu wanalamba pesa na hawafanyi kazi waliyotumwa kuifanya,nani alaumiwe hapo?
hii nchi tunalalamika sana,kama kila mtu hatatimiza wajibu wake ktk sehemu alipo.
Yeah.. lakini ndio boy friend wa mama yako kwa hiyo inabidi umuite baba tu hata kama unamchukia. Zile sauti nyororo za mama yako wakati wa usiku sio kwamba anamuumiza..bali anamridhisha..... KENGE WEE!
Huku Jeshi la polisi nchini likiamua kutumika vibaya na Chama cha Mapinduzi na Serikali yake kwa kupiga marufuku maandamano kwenye mikoa yote yalikopangwa kufanyika, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeendelea kusisitiza na kulitaka jeshi la polisi kutambua hivyo kuwa maandamano yako pale pale.
Taarifa iliyotelewa kwa vyombo vya habari na jeshi la polisi kwa jiji la Dar es salaam zinadai kuwa haliwezi kuruhusu maandamano hayo kwa kuwa kuna ugeni wa rais wa China siku hiyo lakini CHADEMA wamedai kuwa Rais wa china yuko hapa nchini kwa maslahi ya nchi yake na wao CHADEMA wako kwenye shughuli zao kwa maslahi ya nchi ambazo hazina mausiano yoyote na rais huyo wa china.
Kwa upande wa Arusha Jeshi la polisi linadai kuwa haliwezi kuruhusu maandamano hayo kwa kuwa CCM nao wameomba kufanya maandamano siku hiyo kwenye barabara hizo hizo walizoomba CHADEMA kwa nia ya kuipinga CHADEMA na msimamo wao wa kumtaka waziri ajiuzulu. Taarifa zinaendela kusema kuwa CHADEMA wameliambia Jeshi la polis mkoani huo kuwa hakitatetereka katika msimamo wake na kwamba ni jukumu la jeshi la polisi kupanga barabara tofauti zitakazotumika na vyama hivyo na kwamba wao CHADEMA wataendelea na maandamano yao katika barabara zile walizozipanga na kama wanawahusudu sana CCM basi wawapangie barabara tofauti.
Jijini Mbeya hali insemekana kuwa tete kwani kila mmoja yaani polisi na CHADEMA wameonyesha misimamo mikali na tayari taarifa zinadai kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ameamua kufanya kikao na wachungaji na maaskofu ili kuwaomba wawatangazie watu kwenye ibada za kesho kuwa wasijitokeze kwenye maandamano hayo kwani yataatarisha amani. Kwa upande wa CHADEMA wameendelea kulieleza jeshi la polisi kuwa adhma ya maandamano ya kuomngo'oa Kawambwa iko pale pale iwe mvua ama jua.
Pia taarifa kutoka makao makuu zilizosambazwa kwa vyombo vya habari leo hii na zimeeonyesha vikosi vitakavyoongza maandamano hayo ambapo kwa upande a Jiji la Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CHADEMA Tiafa Freeman Mbowe akisindikizwa na wabunge wote wa Dar es salaam watawaongoza wananchi kuelekea kwa waziri mkuu.
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa, Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi na Mbunge Sugu watakuwa jijini Mbeya, wakati Mwenyekiti wa BAVICHA Tifa John Heche, Tundu Lisu, na Godbless Lema watakuwa jijini Arusha na kwa upande wa Mwanza Mwenyekiti wa Wazee Taifa Nyangaki Shilungushela na Ezekeia Wenje Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.
Hata hivyo taarifa zinasema Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema anatarajia kukutana na uongozi wa CHADEMA Taifa ili kuwaangukia kusitisha nia yao hiyo kwa kuwa nchi iko kwenye ugeni mzito jambo ambalo linasemekana kuwa CHADEMA hawako tayari kusikia chochote juu ya hilo.​
Vipi mamaako aliishawahikuambia babaako nani?
Inakumbusha maandamano makubwa yaliyokuwa yafanyike jijini Arusha wakati wa ujio wa Prince Charles wa Uingereza.
Waache waboreshe biashara ya bandejiMagaidi watakaoandamana watakumbana na mkono wa dola. Asilaumiwe mtu
Boss,
I hope hilo jina la Mkwawa unajua maana yake.
Pili unatakiwa ujue sababu zilizowafanya wanafunzi wafeli na baada ya hapo hata ukiandamana mie nitakuunga mkono kwani tutajua nani au nini kilisababisha wanafunzi kufeli, sio kuandamana kila kukicha kama vile hakuna kazi nyingine ya kufanya.
KESHO MVUA ZISIPONYESHA NA MAZAO YAKAHARIBIKA UTAANDAMANA WAZIRI WA KILIMO AJIUZURU?
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii
Huo ugeni unaathiri nini?Rais wa China anakuja kwa maslahi ya Taifa lake.Hapa CHADEMA wanaongelea maslahi ya taifa letu na vizazi vijavyo
Watoto wamefeli na hatuwezi kuandaa mazingira ya wadogo Zetu na kuwa manamba ndani ya nchi yao watakapowekeza wageni anaokuja kuwatetea kwenye hiyo mikataba ya kinyonyaji watakayosaini na rais wa China
Ukipita Kariakoo utakutana na wamachinga wa kichina ambao wanaziba hata fursa kwa wamachinga na wadogo zetu waliofeli kidato cha nne kujipatia riziki yao.
Tuendeleze vuguvugu bila kurudi nyuma
Hatari ninayoiona hapa ni watoto wa maskini kupata vilema vinavyoepukika