simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,694
- 9,580
Elimu ya mwanangu ndio my foremost priority. Ujio wa rais wa China is least of my concerns. Ndugu watanzania maandamano palepale,elimu kwanza.
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii
Nani kakudanganya kuwa ujio wa raisi wa China una manufaa kwa vizazi vijavyo achilia mbali kizazi cha sasa? Hata sielewi kwanini baadhi ya watu mnakuwa wepesi kurubunika kwa hadaa za ccm na serikali yake.
Kama wewe ni muoga bora ubaki kesho nyumbani ulale tu na mkeo kuliko kuongea vitu visivyo na maana yoyote.
Maandamano yako palepale.
Wachina wamepewa elimu bora ndio maana ccm inawatukuza.
Nasisi ni lazima tuipiganie elimu ya vizazi vyetu tusije tukaishia kuwa manamba kwenye nchi yetu.
VIONGOZI WA CDM MSIBATILISHE MAANDAMANO. TUPO PAMOJA NANYI.
Hii nchi hata wakichukuwa vyama vingine,hakuna ujanja ni lazima tufungue milango ili tuweze kupata wawekezaji ambao watasimamiwa vyema na kuifanya Tanzania isonge mbele.kwa dunia ya sasa bila kufungua milango huwezi kwenda mahali,bila kuwa na ushirikiano na nchi nyingine huwezi kusonga mbele,ufike wakati tukubali kuwa maendeleo ya sasa yanahitaji wawekezaji wawe wa ndani ama wa nje.
Nakubaliana na maandamano hayo,lakini ni vyema tuelewe kuwa Tanzania inahitaji wawekezaji wa kweli na kwa sasa wawekezaji wa kweli ni kutoka uchina na si ujerumani wala uingereza wala USA.
Cha msingi hapa ni kuwa makini ktk kile tukifanyacho,ktk swala la utaifa tusimame kwa pamoja na ktk maswala ya uvyama hainashida mkipambana maana kila chama kinataka kushika dola na hii ni kwa kila chama cha siasa ktk nchi yeyote ile.
Huo ugeni unaathiri nini?Rais wa China anakuja kwa maslahi ya Taifa lake.Hapa CHADEMA wanaongelea maslahi ya taifa letu na vizazi vijavyo
Watoto wamefeli na hatuwezi kuandaa mazingira ya wadogo Zetu na kuwa manamba ndani ya nchi yao watakapowekeza wageni anaokuja kuwatetea kwenye hiyo mikataba ya kinyonyaji watakayosaini na rais wa China
Ukipita Kariakoo utakutana na wamachinga wa kichina ambao wanaziba hata fursa kwa wamachinga na wadogo zetu waliofeli kidato cha nne kujipatia riziki yao.
Tuendeleze vuguvugu bila kurudi nyuma