Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,043
- 1,012
Usiongee bila kufanya research.
Haya nenda wewe kafanye hiyo research.
Usiongee bila kufanya research.
Unawajua hao unaowaita wawekezaji wa ukweli?Hii nchi hata wakichukuwa vyama vingine,hakuna ujanja ni lazima tufungue milango ili tuweze kupata wawekezaji ambao watasimamiwa vyema na kuifanya Tanzania isonge mbele.kwa dunia ya sasa bila kufungua milango huwezi kwenda mahali,bila kuwa na ushirikiano na nchi nyingine huwezi kusonga mbele,ufike wakati tukubali kuwa maendeleo ya sasa yanahitaji wawekezaji wawe wa ndani ama wa nje.
Nakubaliana na maandamano hayo,lakini ni vyema tuelewe kuwa Tanzania inahitaji wawekezaji wa kweli na kwa sasa wawekezaji wa kweli ni kutoka uchina na si ujerumani wala uingereza wala USA.
Cha msingi hapa ni kuwa makini ktk kile tukifanyacho,ktk swala la utaifa tusimame kwa pamoja na ktk maswala ya uvyama hainashida mkipambana maana kila chama kinataka kushika dola na hii ni kwa kila chama cha siasa ktk nchi yeyote ile.
Ohooooooo ignorant people bwana yani wewe mambo ya mungu mangapi huyafanyi unategemea ukafe kwenye maandamano ya CDM utegemee utapata paradiso labda upewe na dj au DrMungu baba tujalie sie wenye roho za kujitolea kuokoa kizazi kijacho tuandamane kwa amani bila kuua hata sisimizi na kama police watatuua bs uwasemehe tu kwani hawajui walitendalo baba,kwa hayo machache naomba kutanguliza shukurn zangu za dhati kwako na kwa jamii itakayoungana nasi hyo kesho! Amen
Boss,
I hope hilo jina la Mkwawa unajua maana yake.
Pili unatakiwa ujue sababu zilizowafanya wanafunzi wafeli na baada ya hapo hata ukiandamana mie nitakuunga mkono kwani tutajua nani au nini kilisababisha wanafunzi kufeli, sio kuandamana kila kukicha kama vile hakuna kazi nyingine ya kufanya.
KESHO MVUA ZISIPONYESHA NA MAZAO YAKAHARIBIKA UTAANDAMANA WAZIRI WA KILIMO AJIUZURU?
Inaelekea unanifahamu vizuri kuliko hata ninavyojifahamu mimi mwenyeweAsante mkuu kwa kumpa darasa huyu mkosefu wa elimu,partner wa Serengeti freight aliyejilipua kua yeye ni Mrundi ndani ya Uk,ila analindwa na system fulani kwa kua anafaidisha chama fulani ki propaganda nyepesi!Lukosi kakae na Rich kicheko a standard seven leaver and co director wa Serengeti ndio umpe mawazo mgando yako!
Hauna haja ya kunitusi kwani nimeisha zoea kwani sifa moja wapo ya kuwa mwanachama wa chadema basi uwe unajua kutukana mitusi kama vile hukulelewa na wazazi.SmH!...
Sikuwa na mpango wa kuchangia lakini wewe umenichekesha sana!..
Hivi huweza kufikiri zaidi ya hapo bro? Huoni kama ni aibu kuandika unachoandika kwenye uzi huu?... Daah!.. Basi hata wanao (Kama utajaliwa) watakuwa wamezaliwa na kiumbe cha ajabu sana!..
#I 'm very sorry to say that#... Nakusikitikia mbele za watu!.
Umeandika unafiki mtupu!Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii
Vp leo lunch wewe na familia yako mlikula ikulu au lumumba....yeye DJ vp jamaa wa magogon alikuwa hakosi bilz w/end hahahaaaaaaInaelekea unanifahamu vizuri kuliko hata ninavyojifahamu mimi mwenyewe
Anyway endeleeni kufuata kila analowaambia DJ mfanye, lakini kumbukeni tu kumuuliza kama na familia yake itakuja kwenye hayo maandamano au watakuwa wanawaangalia tu kwenye tv mnavyokula kichapo kwa kutotii amri ya serikali.
Jipe moyo hata ile ya mtwara zilikuwa keyboard....Chris Lukosi , Hawa wengi wanaopiga kelele hapa JF huwezi kuwaona ground zero. Kwani hujui mbwa mwoga alivyo na kelele.
Wengi wao humu wao maandamano yao yatakuwa kwa njia ya keyboard/keypad, wao wanapenda kuita digitari kupata updates.
Wote hawa mie nimewazoea,Chris Lukosi , Hawa wengi wanaopiga kelele hapa JF huwezi kuwaona ground zero. Kwani hujui mbwa mwoga alivyo na kelele.
Wengi wao humu wao maandamano yao yatakuwa kwa njia ya keyboard/keypad, wao wanapenda kuita digitari kupata updates.
Hauna haja ya kunitusi kwani nimeisha zoea kwani sifa moja wapo ya kuwa mwanachama wa chadema basi uwe unajua kutukana mitusi kama vile hukulelewa na wazazi.
Anyway wewe kaandamane hiyo jumatatu jioni tutakutana hapa kama hautakuwa umeswekwa lupango kwa kosa la kuandamana bila kibali. N a kabla hujaenda kwenye maandfamano muulize babu na DJ kama familia zao nao watakuwepo
Hakuna mtu mwenye akili zake timamu, na ambaye anajali muda na kazi zake, anayejua wajibu kwenye familia yake, na anayetekeleza majukumu yake vinzuri, atashiriki maandamano hayo. Wapuuzi, wenye akili finyu, wasiokuwa na plan za kazi, wanaoamka wasijue nini cha kufanya ndio watakuwa mstari wa mbele kwenda kuwa chambo kwenda kutetea ulaji wa viongozi wa Chadema.
Wote hawa mie nimewazoea,
Nakumbuka hata wakati ule nilipokuwa kamanda wao nilikuwa nikiitisha mikutano wanakupigia simu mpaka inawaka moto..."TUKO PAMOJA KAMANDAA!" lakini siku ya mkutano wote wanaingia mitini unabaki kuhutubia meza na viti.
Ni sawa tu na hawa viongozi wao, wanawafanya vijana wa watu chambo halafu kwenye maandamano hutaona ndugu au familia wanakwenda huko.
Kikinuka utakuta wanaoumia ni masikini tu wakati wao tayari wameisha pata umaarufu wanakula bata tu.
Nakumbuka Osama Bin laden mpaka anapofariki wanae wote na wake zake walikuwa hawana hata jeraha moja, yeye alikuwa anawavalisha mabomu watoto wa mafala anawaambia wakifa wataenda mbinguni na watapata wanawake bikra kumi na nane. kama kweli huko ni kuzuri kwa nini asiwapeleke wanae wakatese?
Aaaah, Hakuna kitu, wewe endelea tu na kile ambacho uko mahili (longo longo) na updates za kwenye mitandao.Jipe moyo hata ile ya mtwara zilikuwa keyboard....