CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

KERO SI CHADEMA na MAANDAMANO ndg yangu!
KERO NI WANAFUNZI ZAIDI YA ASILIMIA 80 KUFELI MITIHANI AU KUONGEZEWA ALAMA WASIZOSTAHILI...Hata hivyo magamba mnaziba mafuriko kwa kiganja..Hamtafanikiwa maana wawekezaji walioko Tanzania chini ya Uongozi wa CCM hawajafanya lolote..Ukitaka kujua hilo usiangalie majengo,,Nenda GEITA mahali penye dhahabu,uangalie kijiji kilicho kilometa 3 kutoka mgodi wa GGM uone kama kina hata maji ya kunywa!Acheni ujinga ndugu zangu!Wawekezaji ni wezi tu!

Usiongee bila kufanya research.
 
Hilo kila mtu analijua kwamba kuna tatizo, sio tu kwenye Migodi Geita bali sehemu nyingi tu za nchi yetu, lkn sasa suluhisho ni nini? Hilo swali GUMU linaloohitaji majibu!
 
hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. Mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

wewe kama yanayotokea hayakugusi lala nyumbani kwako, mimi sina cha kupoteza wala sina chema na kizuri ninachotegemea toka kwa wezi wa ccm.

watu kama wewe walikuwepo hata kabla ya uhuru, kama sio ujasiri wa akina nyerere basi, watu kama wewe wangetuchelewesha sana kupata uhuru.

Wewe baki nyumbani kaa na wazembe wenzako, kama nitapigwa risasi na kufa usisikitike furahia kwa amani, lakini nikifanikiwa nitakukaribisha tufaidi matunda ya jasho langu.
 
Raisi wa China anakuja kukwapua kama kuna ambae hajajua hilo ajue. Ni kwa nini sisi tunafeli wakati raslimali zetu zinakwapuliwa tena bila aibu? Tuandamane soooooooooote kabisa kudai elimu bora na watendaji bora. Huyu raisi apite pembeni mwa maandamano yetu achukue kilicho chake nasi tudai kilicho chetu. Asanteni sana CDM kwa kutoa elimu ya hamasa kwa wananchi. Endeleeeeeeeeeeni na moyo huo huo hadi kieleweke. Hakuna nchi wanafunzi wanafeli kwa asiliamia 65 halafu wanaundiwa tume ya kuwanyamazisha.
 
Watoto wa policcm ndio wa kwanza kwa kufer.kumbuka ulipokuwa nao shule.
MBEYA NITAKUWA MSTAR WA MBELE.
Kama kuua waniue,xi na dunia ijue nimeuawa kwa sababu natetea maslahi ya nchi yangu.
Peopleeeeees...
 
Tatizo hawa watu wanashindwa kusoma nyakati na kuelewa kua wanapambana na wananchi!mfano wa yaliyotokea leo Songea,ni mifano hatari sana kwa taifa ili,na tukio la leo ni la tatu kwa huu raia kupambana na polisi na kuuliwa na raia kuua polisi pia!ila kwa wenye akili ndogo bado wana amini kua mabavu ni suluhisho
 
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii
Wew snitch ndo huna kaz za kufanya,nenda ikulu ukamsaidie jamaa ako kufuta viatu vya rais wa china.,mngekuwa mnajua maana ya uwekezaji msingepigwa mtwara..nipo nayasubiri kwa hamu maandamano na ntakuwa na maji ya kutosha kwenye rasket...
 
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii
Mkuu naomba utuambie njia sahihi zinazochukuliwa UK pindi waziri akiboronga? Je unadhani Dr.Kawambwa na naibu wake hawastahili kuachia ngazi? Kama JK hataki kuwatema, nini kifanyike ili ujumbe ufike? Je mwekezaji gani anapenda kuwekeza katika nchi zenye uongozi mmbaya? Huu ndio wakati muafaka kuandamana ili dunia ione kwa mapana na marefu.
 
KERO SI CHADEMA na MAANDAMANO ndg yangu!
KERO NI WANAFUNZI ZAIDI YA ASILIMIA 80 KUFELI MITIHANI AU KUONGEZEWA ALAMA WASIZOSTAHILI...Hata hivyo magamba mnaziba mafuriko kwa kiganja..Hamtafanikiwa maana wawekezaji walioko Tanzania chini ya Uongozi wa CCM hawajafanya lolote..Ukitaka kujua hilo usiangalie majengo,,Nenda GEITA mahali penye dhahabu,uangalie kijiji kilicho kilometa 3 kutoka mgodi wa GGM uone kama kina hata maji ya kunywa!Acheni ujinga ndugu zangu!Wawekezaji ni wezi tu!

unatumia rasilimali za mwili wako kumjibu mtu aliyeishi ulaya, ambae tulipaswa kujifunza toka kwake, lakini kwa bahati mbaya sana tumbo lake limetangulia kichwa chake
 
Wawekezaji au wanyonyaji? Wale wachina waliojazana kariakoo unawaita wawekezaji? au Barrick wanavyoiba dhahabu yetu utawaita wawekezaji? sikulaumu sana najua unatetea mlo wako hapo Lumumba, nakuonea huruma

Mkuu umenifurahisha sana,kwahiyo sio kwamba jamaa anatetea ugeni toka china bali anatetea mlo, anaona CDM wakiandamana MAGAMBA wataaibika, CCM lingekuwa jina la msichana sijui km angetongozwa,nadhani angebaki bikira daima.
 
Unakurupuka.Sure we need Foreign Direct Investment

Lakini ni lazima tuwe na uwekezaji kulingana na priorities

Investment ili iwe viable ni lazima iwe consistent na public / National interest otherwise hawa makatibu wakuu wa wizara na hata Rais anaweza kuwa worse kuliko Chifu Mangungo wa Msovero

Hatuwezi kuruhusu uwekezaji wa kizuzu ambako watu wanafanya investment bila kuzingatia namna ambayo unemployed mass wanavyonufaika na kupunguza tatizo la ajira na.kuvunja vicious cycle of poverty

Leo mtu analeta capital anakuja na wafanyakazi wake.Tunahitaji kupata teknolojia mpya lakini kama hakuna transfer of technology uwekezaji huo ni kama ule wa wazungu na chifu Mangungo tu

Leo shule za kata zinazalisha. zero za kutisha ni kwa vipi hawa wataweza kunufaika na ajira zitokanazo na FDI kama hawana namna nyingine ya kujengewa capacity ili hata wawe vibarua.Is this what our youngsters deserve?

Ongea kama msomi uliyeishi nchi zilizoendelea siyo kama illiterate!

Asante mkuu kwa kumpa darasa huyu mkosefu wa elimu,partner wa Serengeti freight aliyejilipua kua yeye ni Mrundi ndani ya Uk,ila analindwa na system fulani kwa kua anafaidisha chama fulani ki propaganda nyepesi!Lukosi kakae na Rich kicheko a standard seven leaver and co director wa Serengeti ndio umpe mawazo mgando yako!
 
Maandamano ya chama cha siasa yanahusiana nini na ibada ya kesho ya wakristo. Je, hiyo sio sawa na makanisa kujihusisha moja kwa moja na siasa?
Hao wachungaji na maaskofu wakitangaza kanisani kuhusu maandamano nitawaona ni wapuuzi na naweza kupuuzia kuhudhuria kanisani tena.
Mkuu hii ndo sera ya ccm kuleta udini,.chadema sio mali ya wakristu hadi watangaziwe makanisani,hawa ccm ndo wanaotuletea udin..I HATE CCM
 
maandamano ni siasa nzuri sana kwa type hiyo form four failure!

akiwekwa waziri mwingine jumanne ijayo inawafanyeje waache soma jf /facebook ect wayageukie madaftari yao?
 
Mkuu naomba utuambie njia sahihi zinazochukuliwa UK pindi waziri akiboronga? Je unadhani Dr.Kawambwa na naibu wake hawastahili kuachia ngazi? Kama JK hataki kuwatema, nini kifanyike ili ujumbe ufike? Je mwekezaji gani anapenda kuwekeza katika nchi zenye uongozi mmbaya? Huu ndio wakati muafaka kuandamana ili dunia ione kwa mapana na marefu.

Hachana na kubwa jinga ilo,Uk uwa hawataki ujinga,mawaziri wengi tu kama kina David Blankett waliondoka kwa kutokuwajibika,ilo kubwa jinga linakuja tetea upuuzi hapa
 
Walidhani kwa kukaa na Rwakatare ndani watanymazisha watanzania/cdm kudai haki yao. Kawambwa must go. Whoever supports Kawambwa must go with him. Kwanini magamba kutufanya wajinga kiasi hiki? nchi ni yetu sote, hamwezi kutufanya wajinga kiasi hiki.
 
hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. Mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii
pole sana ndugu huo uwekezaji wanaokuja kuwekeza unaelewa vizuri wanavyoingia mikataba mibovu na viongozi wezi,walafi wasiyo na chembe ya huruma na nchi na wananchi,kwa hiyo hao unaosema wawekezaji wanaiba mali ya hii nchi kwa sababu ya viongozi wetu mambumbumbu kwa iyo ndugu haki inadaiwa haiombwi.
 
maandamano ni siasa nzuri sana kwa type hiyo form four failure!

akiwekwa waziri mwingine jumanne ijayo inawafanyeje waache soma jf /facebook ect wayageukie madaftari yao?
 
Mungu baba tujalie sie wenye roho za kujitolea kuokoa kizazi kijacho tuandamane kwa amani bila kuua hata sisimizi na kama police watatuua bs uwasemehe tu kwani hawajui walitendalo baba,kwa hayo machache naomba kutanguliza shukurn zangu za dhati kwako na kwa jamii itakayoungana nasi hyo kesho! Amen
 
Back
Top Bottom