CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

Wawekezaji au wanyonyaji? Wale wachina waliojazana kariakoo unawaita wawekezaji? au Barrick wanavyoiba dhahabu yetu utawaita wawekezaji? sikulaumu sana najua unatetea mlo wako hapo Lumumba, nakuonea huruma
 
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

wewe kwa kuwa una ajira ya kubeba box hapo Manchester na kupata riziki yako ndo maana unaona na sie tumeshiba..familia yako unayo huko sisi huku ndo tunaonja joto.NYAMAZA
 
Mkuu Chris Lukosi, siyo lazima uchangie kila uzi; wakati mwingine jifunze kusoma maoni ya great thinkers kwani waweza elimika.
Mkuu elewa haya ni maandamano ya amani na lengo lake ni kufikisha ujumbe ki-taifa na ki-mataifa.
 
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

Hiyo kero umeanza kuiona leo. Ulipokuwa CDM mambo yalikuwa tofauti. Shwain we!
 
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

Wewe huna tofauti na mbuzi anayeangalia TV
 
niko lushoto makamanda,j2 napanda gari nakuja arusha kuungana nanyi j3...nguvu ya umma inauwezo wa kung,oa milima sembuse magamba! pipoooooooz!!
 
Nani alikuambia mie nilifeli?
Sio kuandika unatokwa povu tu bila kutumia akili.
Haya ukiandamana kesho halafu....
Au unadhani baada ya kuandamana ndio watabadilisha hiyo sifuri yako kuwa Division one?
Tatizo lenu mnakurupuka tu kufuata upepo bora DJ kasema muandamane basi woote mnaingia mitaani kama wale wafuasi wa ponda , matokeao yake mnaishia jela. Na ukiwa jela usidhani kama chadema watakuletea ndizi huko. muulize Ludovick

Mbona unajishtukia kama dem aliyekaa vibaya.
 
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

Shut up you bastard Lukosi.... Unafikiri kila mtu ana akili ya kuuza utu wake kama wewe???!?!!!!?? Ongelea ccm yako unayodhani itakukomboa .... Tuache sisi tuwatete watoto wetu
 
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

Sio lazima uchangie kila kitu, unatia aibu, kama hiki ndio kiwango cha kufikiri cha MaCCM haishangazi kwanini ulishindwa kukaa kwenye akili na matumizi ya ubongo. Tetea Unga wako. Sisi tunatetea kizazi cha sasa na kijacho. Nimekusoma sana. Unafurahia kufeli kwa watanzania, unashangilia miundo mbinu mibovu ya Tanzania, Unaipenda Rushwa na kuienzi, Unatamani nawe ungekuwa kwenye mzunguko wa kutesa watanzania. Watu kama wewe kamwe humuwezi kufanikiwa kwenye mbinu zenu chafu.

Kwanini usionee huruma Watanzania?? Wewe huko ulipo hujui nini maana ya kukosa mwalimu darasani, au waziri kugawa fedha za vitabu kwa MaCCM wenzeka kwa ajili ya siasa. Hujawaona wazazi wanaolia kwasababu tegemeo limepotea. Hujui mfumo mbovu wa elimu unaosababishwa na usimamizi mbovu wa keki ya Taifa na maCCM ndio kilio chetu na umasikini wetu.

Huna huruma wala haya, hujui ulisemalo wala unachokitetea zaidi ya kutukuza chama. Ugomvi wako na watu binafsi hausaidii Tanzania. Watu watapita lakini Tanzania kamwe haipiti. Ninyi mnatetea maslahi watu sisi tunaililia Tanzania, hatubagui yeyote mwenye mapenzi mema na Tanzania tupo pamoja.

Tafakari kaka.

Chief Mkwawa
Akili ya Rushwa inafikiri dhuluma, mawazo ya wizi ni utesaji.
 
Hii nchi hata wakichukuwa vyama vingine,hakuna ujanja ni lazima tufungue milango ili tuweze kupata wawekezaji ambao watasimamiwa vyema na kuifanya Tanzania isonge mbele.kwa dunia ya sasa bila kufungua milango huwezi kwenda mahali,bila kuwa na ushirikiano na nchi nyingine huwezi kusonga mbele,ufike wakati tukubali kuwa maendeleo ya sasa yanahitaji wawekezaji wawe wa ndani ama wa nje.
Nakubaliana na maandamano hayo,lakini ni vyema tuelewe kuwa Tanzania inahitaji wawekezaji wa kweli na kwa sasa wawekezaji wa kweli ni kutoka uchina na si ujerumani wala uingereza wala USA.
Cha msingi hapa ni kuwa makini ktk kile tukifanyacho,ktk swala la utaifa tusimame kwa pamoja na ktk maswala ya uvyama hainashida mkipambana maana kila chama kinataka kushika dola na hii ni kwa kila chama cha siasa ktk nchi yeyote ile.
Sawa Kamanda unaeleweka hivyo na CHADEMA wanajua sana hilo na wanasisitiza uwekezaji wenye tija kwa taifa na sii kwa vikundi vidogo vya watu kwa hiho kama huyo rais wa China anakuja kwa uwekezaji usio na mashaka kwa taifa hili yote kheri lakini kwa sasa yeye sio ishu.

Ishu kwa CHADEMA sasa na hiyo Jumatatu ni haki ya Vijana wa Tanzania ya kupata elimu bora. Huyo rais hajazuiwa na CHADEMA na wala CHADEMA haijasema inapinga yeye kuja kwake hapa.
 
wewe kwa kuwa una ajira ya kubeba box hapo Manchester na kupata riziki yako ndo maana unaona na sie tumeshiba..familia yako unayo huko sisi huku ndo tunaonja joto.NYAMAZA

Kumbe huyu Kijana amepelekwa kwenda kusoma na ndugu zake Mafisadi, inaelekea hajui thamani ya watoto na ndugu zetu kufeli na kupata div0. Anasomeshwa kutumia kodi zetu wanazoiba ndugu zake au wazazi wake. Inawezekana hajui hata nauli ya kutoka Manchester to Dar washazoea kusafirishwa na mizigo
 
Sio lazima uchangie kila kitu, unatia aibu, kama hiki ndio kiwango cha kufikiri cha MaCCM haishangazi kwanini ulishindwa kukaa kwenye akili na matumizi ya ubongo. Tetea Unga wako. Sisi tunatetea kizazi cha sasa na kijacho. Nimekusoma sana. Unafurahia kufeli kwa watanzania, unashangilia miundo mbinu mibovu ya Tanzania, Unaipenda Rushwa na kuienzi, Unatamani nawe ungekuwa kwenye mzunguko wa kutesa watanzania. Watu kama wewe kamwe humuwezi kufanikiwa kwenye mbinu zenu chafu.

Kwanini usionee huruma Watanzania?? Wewe huko ulipo hujui nini maana ya kukosa mwalimu darasani, au waziri kugawa fedha za vitabu kwa MaCCM wenzeka kwa ajili ya siasa. Hujawaona wazazi wanaolia kwasababu tegemeo limepotea. Hujui mfumo mbovu wa elimu unaosababishwa na usimamizi mbovu wa keki ya Taifa na maCCM ndio kilio chetu na umasikini wetu.

Huna huruma wala haya, hujui ulisemalo wala unachokitetea zaidi ya kutukuza chama. Ugomvi wako na watu binafsi hausaidii Tanzania. Watu watapita lakini Tanzania kamwe haipiti. Ninyi mnatetea maslahi watu sisi tunaililia Tanzania, hatubagui yeyote mwenye mapenzi mema na Tanzania tupo pamoja.

Tafakari kaka.

Chief Mkwawa
Akili ya Rushwa inafikiri dhuluma, mawazo ya wizi ni utesaji.
Boss,
I hope hilo jina la Mkwawa unajua maana yake.
Pili unatakiwa ujue sababu zilizowafanya wanafunzi wafeli na baada ya hapo hata ukiandamana mie nitakuunga mkono kwani tutajua nani au nini kilisababisha wanafunzi kufeli, sio kuandamana kila kukicha kama vile hakuna kazi nyingine ya kufanya.
KESHO MVUA ZISIPONYESHA NA MAZAO YAKAHARIBIKA UTAANDAMANA WAZIRI WA KILIMO AJIUZURU?
 
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

Mkuu, hivi haya maandamano yataanzia Kilimanjaro kama alivyosema Bulembo?
 
Hivi wewe bado upo uraiani?Hujaungana na mkurugenzi wako?Vipi utashiriki au utakuwa unaulizia UPDATE nyuma ya key board wakati wananchi wasio na hatia wakiumia?Familia yako itashiriki?Mkiti nasikia ameenda DUBAI!
Kwa kuwa ulimktia tiketi wewe, kwanini asiende huko Dubai. Masaburi bana!
 
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii
Hii akiri au matope?
 
Nani alikuambia mie nilifeli?
Sio kuandika unatokwa povu tu bila kutumia akili.
Haya ukiandamana kesho halafu....
Au unadhani baada ya kuandamana ndio watabadilisha hiyo sifuri yako kuwa Division one?
Tatizo lenu mnakurupuka tu kufuata upepo bora DJ kasema muandamane basi woote mnaingia mitaani kama wale wafuasi wa ponda , matokeao yake mnaishia jela. Na ukiwa jela usidhani kama chadema watakuletea ndizi huko. muulize Ludovick
DJ babako....
 
Hapo kwenye blue huyo ndo nani?
 
Boss,
I hope hilo jina la Mkwawa unajua maana yake.
Pili unatakiwa ujue sababu zilizowafanya wanafunzi wafeli na baada ya hapo hata ukiandamana mie nitakuunga mkono kwani tutajua nani au nini kilisababisha wanafunzi kufeli, sio kuandamana kila kukicha kama vile hakuna kazi nyingine ya kufanya.
KESHO MVUA ZISIPONYESHA NA MAZAO YAKAHARIBIKA UTAANDAMANA WAZIRI WA KILIMO AJIUZURU?

Ona jinsi akili ilivyo tope. Nimekuambia wewe huna haki ya kusungumzia masuala kwa kuwa wewe si Mtanzania.

Kwa nini huyo waziri asijiuzulu kwa kuwa akili yake ni mgando kama yako inyofanya mtegemee kilimo cha mvua siku zote wakati mna mito inayotiririsha maji achilia mbali maziwa. Baba kuna kilimo cha umwagiliaji na kwa kuwa wewe na serukali yako mnatumia masaburi kufikiri hamlitmbui hili bali mmebaki kwenye kilimo cha mvu.
 
Vp umeachika nini we mkosi ooh lukosi mbona cku zinavyokwenda upeo wako wa kufikiri unazidi kupungua
 
Back
Top Bottom