KYAMTUNDU
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 1,820
- 295
KERO SI CHADEMA na MAANDAMANO ndg yangu!Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza ktuwa kero kwa jamii
KERO NI WANAFUNZI ZAIDI YA ASILIMIA 80 KUFELI MITIHANI AU KUONGEZEWA ALAMA WASIZOSTAHILI...Hata hivyo magamba mnaziba mafuriko kwa kiganja..Hamtafanikiwa maana wawekezaji walioko Tanzania chini ya Uongozi wa CCM hawajafanya lolote..Ukitaka kujua hilo usiangalie majengo,,Nenda GEITA mahali penye dhahabu,uangalie kijiji kilicho kilometa 3 kutoka mgodi wa GGM uone kama kina hata maji ya kunywa!Acheni ujinga ndugu zangu!Wawekezaji ni wezi tu!