CHADEMA mtimueni John Heche labda mseme hakuna accountability ndani ya chama

Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.

Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Heche amewabana mpaka mikojo imewabana!! Hapo ndio mnatusaidia kutambua kuwa huyu ndiye anayetufaa. HECHE ALL THE WAY!!!!! Huraaaa..,...
 
Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.

Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Chadema haifanyi kazi kwa kufuata umbea wa maccm mitandaoni. Pigeni kekele hadi mpasuke Heche yupo sana labda mumue kwani hilo ndiyo mnaloliweza tu.
 
Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.

Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Kumamako kamtimue kwanza mamako
 
Hoja za ubadhirifu za Heche hazifai kufumbiwa macho
Ila za samia tufunge macho! Utajinyonga yatakapojiri yale ya USA, EU na Commonwealth. Na mtaani kwako wanakuona bonge la mwenyeakili? Jishtukie, hao wanaokutuma uwapiganie humu wanaiwinda hiyo tigo yako!
 
CCM mtimueni SAMIA the Butcher kaua watanganyika zaidi y elfu 10.mpk ss bado anateka watu. Na kabinya mikutano ya kisiasa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom