Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,125
- 41,794
Hiyo imebuma mje na nyingine
Tarime hatoki fala
Tarime hatoki fala
Ulipotea sana Mrembo wanguHiyo imebuma mje na nyingine
Tarime hatoki fala
Kwahyo mnalinda ubadhirifu?Hiyo imebuma mje na nyingine
Tarime hatoki fala
Mtu ana tuhuma za Mauaji mbona hamumwambii akauntabiliti?Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Ndo anatimuliwa hvoHeche shikilia hapo hapo
Ndo anatimuliwa hvoMnatoa shutuma za ubadhirifu lakini hamna ushahidi wowote wa moja kwa moja mlio uweka.
Ameua nani?Mtu ana tuhuma za Mauaji mbona hamumwambii akauntabiliti?
Ya chadema yanakuumiza kumbe.Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Kwahiyo kila shutuma unatimua, wewe pia unazo shutuma, jiue.Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Huu ni utapeli wa kisiasa, hapo bado hawajashika dola washaanza kudhulumiana, jee wakiwa na mamlala kamili itakuaje. Kiufupi wanasiasa wote mafisadi hakuna . Haya leo chadema na wenyewe na mafisadi. Hakuna wakuamini wote wezi. Kam chadema wanataka kujisafisha wafukuze wezi wao wote ndio tutawaamini na waseme hawadharani hao mafisadiKuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Pesa ziipi hizo mnazosema ametumia vibaya wkt hata ruzuku mmeinyima Chadema. Mbona ccm mnatumia vibaya Kodi za wananchi na huyo bi kizee hamtaki ajiuzulu na mnamlinda kwa gharama ya damu za watu? Shame on you!Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Propaganda mfu sana hii. Jipangeni kivingine na hamtaiweza chadema. Wajinga nyieKuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Wacha ale anavyotaka,pesa sio zenu ni zetuKwahyo mnalinda ubadhirifu?
Mbona nipo sn uzi wa world cupUlipotea sana Mrembo wangu
Mlokole wangu nakata kujaMbona nipo sn uzi wa world cup
🤣🤣🤣🤣🤣Mlokole wangu nakata kuja
Kujitambulisha tumetoka mbali mkeka unaotoka wiki ijayao naweza kua RC tule mema ya nchi😂😂 tuache kukosoa serikali
Anakunyima amani eh! Na bado mtabweka sana ila hatoki kwa matakwa yenu bali kwa mujibu wa katiba ya cdm aliyoapa kwayo kuilinda na kuitii.Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani.
Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya Siasa za kitapeli.
Huna akili hata ya kung'amua hiyo satire kibonde wewe! Unaunga tu hoja bila kujua kuwa umekejeliwa!Yah safi sana