CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Lwaitama anasema mkutano wa juzi wa CCm unaweza kukileta chama hicho katika chati mpya kwa walivyojipanga na kukubaliana kuwa watulizane, wasiue chama maana wote watakosa.
Wakakubaliana kuwa watagawiana kila mmoja apate kula yake. wanaosema ufisadi, gamba waache, maana CCM ikitoka madarakani wote watakosa.
Hivyo ni heri wapatane waendelee kula. Lwaitama anasema kwa mtaji huo wanaweza wakawa wamepata nguvu mpya. Akasema WAPINZANI WASIDHARAU MKAKATI HUO, UNA MANTIKI KUBWA.
Wanachama na wapenzi wa CDM mnalisemeaje hili? Mimi naona kuna mantiki.