CHADEMA, Mmemsikia Lwaitama katika hoja yake?

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Lwaitama anasema mkutano wa juzi wa CCm unaweza kukileta chama hicho katika chati mpya kwa walivyojipanga na kukubaliana kuwa watulizane, wasiue chama maana wote watakosa.

Wakakubaliana kuwa watagawiana kila mmoja apate kula yake. wanaosema ufisadi, gamba waache, maana CCM ikitoka madarakani wote watakosa.

Hivyo ni heri wapatane waendelee kula. Lwaitama anasema kwa mtaji huo wanaweza wakawa wamepata nguvu mpya. Akasema WAPINZANI WASIDHARAU MKAKATI HUO, UNA MANTIKI KUBWA.

Wanachama na wapenzi wa CDM mnalisemeaje hili? Mimi naona kuna mantiki.
 
Lwaitama anasema mkutano wa juzi wa CCm unaweza kukileta chama hicho katika chati mpya kwa walivyojipanga na kukubaliana kuwa watulizane, wasiue chama maana wote watakosa. Wakakubaliana kuwa watagawiana kila mmoja apate kula yake. wanaosema ufisadi, gamba waache, maana CCM ikitoka madarakani wote watakosa. Hivyo ni heri wapatane waendelee kula. Lwaitama anasema kwa mtaji huo wanaweza wakawa wamepata nguvu mpya. Akasema WAPINZANI WASIDHARAU MKAKATI HUO, UNA MANTIKI KUBWA. Wanachama na wapenzi wa CDM mnalisemeaje hili?
Mimi naona kuna mantiki.

kWA SABABU WOTE NI WEZI NA MAFISADI LAZIMA WAZUNGUMZE LUGHA MOJA. NA NDIO MAANA AL-SHABAAB KAINGIZWA PALE ILI KUJENGA HIMAYA YA KULINDANA.
 
It is too late Bro, nimemskiliza but wamechelewa sana kama walishafikia hatua ya kuwekeana sumu unambie kuna undugu tena hapo? JK kaongea kamaliza as usual but utekelezaji hauwezekani kwa wakati huu na wakati mwingine wowote ule...............
 
sio mtazamo wake tu; na hivyo ndo uhalisia wake; uana-mageuzi wa kweli ni kuwa tayari kutumia mda wako kuelimisha jamii!
 
anacho sema Lwaitama kina ukweli ndani yake!hi vyo nawaomba viongozi wangu wa CDM, wawe makini na hili!
 
CCM ni chama (mwili) na ufisadi ndio (rangi ya) ngozi yake. So Dr. Lwaitama anawakumbusha asili yao tu na hapo hapo kuujuza umma kuwa hatari ya hilo hayawani ikiwa litapunguza misuguano ya ndani.
 
Lwaitama anasema mkutano wa juzi wa CCm unaweza kukileta chama hicho katika chati mpya kwa walivyojipanga na kukubaliana kuwa watulizane, wasiue chama maana wote watakosa. Wakakubaliana kuwa watagawiana kila mmoja apate kula yake. wanaosema ufisadi, gamba waache, maana CCM ikitoka madarakani wote watakosa. Hivyo ni heri wapatane waendelee kula. Lwaitama anasema kwa mtaji huo wanaweza wakawa wamepata nguvu mpya. Akasema WAPINZANI WASIDHARAU MKAKATI HUO, UNA MANTIKI KUBWA. Wanachama na wapenzi wa CDM mnalisemeaje hili?
Mimi naona kuna mantiki.

sidhani kama kavunja chochote kwa CDM wala kwa mpigania haki yoyote.Tatizo ni kutumia concept ngumu kwa simple minded people.Hapa kaibeza CCM ,kaisema CCM ni kuwa chama kinachokuliana kuishi na uovu ili wote wafaidi wapendavyo na kwa kadiri wawezavyo kuliko kukosa wote.Kajenga mazingira ya kesho kusema CCM ni genge la waovu.

So wanaochekelea leo kuwa CCM wamekubaliana kulindana kwa umoja basi kesho asiruke kusikia Dr akimalizia aliyosema leo, kwa kuongezea kitu kama hiki .""NDIO MAANA NASEMA CCM YOTE NI OVU".

Off course wapinzani lazima wawe makini na wasipuuze wakati majangili wakijipanga kulindana.majangili kulindana ni rahisia sana.Wakiwa wanategemeana ku survive .Watafanya vitu for convenience tuu.
 
Ila kweli umoja wa ccm ni hatari kwa taifa. Umoja wao ni kujiimarisha ktk kulifilisi taifa
 
Tunataka mabadiliko,tatizo la ccm wanabadilisha watu tu.Hebu tutatulieni yanayotukabili kama tutawapinga,tuko kwenye mfumo wa kapitalizimu sio soshalizimu tena!
 
Mlisubiria mpaasuko sasa mmeumbuka ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, magogoni mtaisikia labda 2050
 
Umoja wa CCM ni hatari kwa CCM yenyewe! Ni sawa na kuunganisha vipande vya kioo cha kujitizama kilichopasukapasuka, unafikiri utapata picha nzuri!
 
Leo mkuu wao akihutubia wakati anapokelewa pamoja na makamu wake alionekana akisema "WENZETU WAPINZANI WANAZUNGUUKA NCHI NZIMA KUJINADI NA SIE HATUENDI KIUKWELI KUJINADI, KAMA WAO WANAKWENDA NA KUJINADI KWA WANANCHI HUKU WAKITUPIGA MADONGO WAKATI SIE HATUENDI, UNADHANI TUTAPONA?
 
Back
Top Bottom