CHADEMA, Mmemsikia Lwaitama katika hoja yake?

Nani anasema CCM wana umoja? Msijidanganye. Nani Mwakembe awe na umoja na nani Lowassa?
Kupelekana mahakani ndo umoja.

Hakuna wakati CCM iko mbali na umoja kama sasa. Kama alivyosema mmoja time will tell
 
Ila kweli umoja wa ccm ni hatari kwa taifa. Umoja wao ni kujiimarisha ktk kulifilisi taifa

Tusidharau, wamewekeana wote wale, sasa kwa nini tunagombania fito. Tukizivunja fito nyumba haitajengwa na wote tutalala nje. Mkakati huo sio wa kubeza. CDM jipangeni na wapinzani wakweli wanaolipenda taifa hili
 
Back
Top Bottom