Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,372
Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika.
Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la kupunguza kama sio kufuta kabisa makato ya Bodi ya Mikopo.
Mkiondoa au kupunguza mashangingi serikalini,kufuta mbio za mwenge, na hata kupunguza au kuondoa kabisa sitting allowance za wabunge na mambo mengine, mnaweza pata fedha za kusomesha watoto wa masikini wa nchi bila kuwabagua kwa madaraja au kutokana na uwezo mzuri wa kifamilia kwa wale wanaotoka katika famila zinazojiweza/zenye unafuu wa kipato.
Sera nyingine ni kama hizi:
CCM must go!!