Uchaguzi 2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

Sijui ni kwanini Mimi ninaamini kwenye matumizi ya nguvu kuiondoa ccm kuliko hizi sera zenu? Hivi Kati yenu nani anaamini 2015 Magu alishinda uchaguzi? Chadema hawajaanza kuwa na sera nzuri leo, elimu bure pia ilikuwa sera ya chadema
Nguvu wewe unazo wakati hata yule bibi yako kila siku anakunyuka kama mtoto mdogo!!
 
Porojo tu.. ndotooooooooooooo
Upinzani kweli mumekwishaaaa.. na munajuwa..


Hawawezi kufanya hayo.. kama nchi zilizoendelea nyingi.. zimeshindwa.. eti hawa wataweza.. 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃.. ndio kwanza watakata kurudi kufika miaka kama 10 iliyopita.. huku wakibeba kujitajirisha.. na kusafiri ulimwenguni..

Wafanyakazi na Magufuli 💯
Wanamfahamu na wana IMANI nae..
 
Nampenda kuliko Marais wote wa awamu tatu waliotangulia! Namkubali Magu ktk kuliongoza taifa langu dhidi ya walanguzi na makuwadi wa mabeberu Kama TL, Mende, Sefu nk...Hawa ni wezi na ni wa hivyo Sana!
Magufuli ndio mpango mzima wa Mungu kulinusuru taifa letu!
Nakusisitiza tu mkuu, mpende sana
 
Back
Top Bottom