Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,513
- 113,643
Wanabodi,
Baada ya kunikuta kilichonikuta kwenye EALA, naendelea kuomba sana Mungu anifundishe kunyamaza, ila kwa vile maisha yangu yote ya miaka 30 kwenye media, kazi yangu ni kuuliza tu maswali, hivyo kila nikutana na jambo ambalo kwangu naliona haliendi sawa, napatwa a burning desire to ask questions,, hivyo wakati nikiendelea sana kumuomba Mungu anifundishe kunyamaza, siwezi kunyamaza ghafla, hivyo naendelea kuuliza maswali mdogo mdogo na siku hizi siulizi maswali magumu kwa viongozi, nauliza tuu maswali rahisi rahisi humu jf tuu na sio tena kwa viongozi!. Hapa ninauliza swali, kitendo cha CHADEMA, kususia kuteua mbunge wa EALA ni strength or selfishness?
Tuanze na somo la kujifunza kuhusu vyama vya upinzani Tanzania Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!
Kisha tujifunze jee kazi ya Upinzani ni nini?. Japo Kazi ya Upinzani ni Kupinga, Lakini Sio Kupinga Kila Kitu, Kwenye Maslahi Ya Taifa, Tutangulize Utaifa, Tuwe Wamoja, Wakweli na Tusipotoshe.
Hivyo kunapotokea mgongano wa kimaslahi kati ya maslahi ya chama na maslahi ya taifa, chama makini, kitaachana na kuweka mbele maslahi ya chama, na kutanguliza mbele maslahi ya taifa, hapa nawaomba Chadema kwa kuwashauri tangulizeni mbele maslahi ya Taifa, p'se tuteulieni jembe Upendo Furaha Peneza, akatuwakilishe EALA, huyu binti, atatusaidia sana!.
Nilipania sana kwenda EALA, ila ikatokea bahati nzuri kwenye chama changu CCM, tuna majembe ya kutosha hivyo mimi kuzidiwa sifa na majembe kazi as a result sikufanikiwa kupata uteuzi wa chama changu.
EALA iliyopita CHADEMA ilikuwa na wabunge wawili, lakini kutokana na CHADEMA kudai haiyatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020 wanaouita uchafuzi, hivyo walipopatiwa nafasi 19 za wabunge wa viti maalum, wakagoma kuteua. Ila kukatokea wazalendo waliotanguliza mbele maslahi ya taifa, wakafanya maarifa nje ya utaratibu rasmi wa chama, wakapeleka majina NEC, NEC ikawapa uteuzi na kumkabidhi Spika, wakaapishwa na kuwa wabunge halali.
Sasa kumejitokea fursa nyingine ya CHADEMA kupeleka mtu EALA, kati ya vyama vyote vitatu vya upinzani vilivyo na wabunge ndani ya Bunge la JMT, ni CHADEMA pekee ndio yenye fursa ya kuteua mgombea atakayechaguliwa straight forward kama Mbunge wa Upinzani. Chadema isipoteua then fursa hiyo inakwenda ACT na CUF. Vyama hivyo tayari vimeteua wanaume wakati kanuni inataka mwanaume na mwanamke.
Kwa vile CHADEMA bado wana mgogoro na kina Mdee, hivyo wamesusa tena. Mwisho wa siku huu mgogoro wao na kina Mdee, utamalizika, na CHADEMA itawateua wabunge wake rasmi, muda huo utakapo wadia, fursa ya EALA itakuwa imeisha pita, and there is no going back.
Kufuatia ndugu zangu wa CHADEMA, kuunga mkono my bid kwenye EALA na wengine hadi kunichangia, kwa muktadha huu, nawashauri CHADEMA waache selfishness yao ya kususia mambo yenye maslahi mapana zaidi kitaifa kuliko maslahi ya chama.
Ukiondoa hao mashujaa 19 wa CHADEMA waliopo bungeni sasa, bado kuna shujaa mmoja ambaye ni malkia Mzinga Mbandu wa Chadema, Upendo, Furaha Peneza, ataweza kutusaidia sana kwenye EALA.
Kwa msiomjua Peneza ni huyu hapa
Ref: Mnaweza kumsoma Upendo Furaha Peneza humu
Mnaonaje hili ndugu zangu wa Chadema?.
Paskali

- Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
- Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
- Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
- Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
- Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
- Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
- Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
- Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
- Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
- Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
- Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
- Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
- Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!
Mnaonaje hili ndugu zangu wa Chadema?.
Paskali