CHADEMA kususia kuteua EALA ni strength au ni udhaifu wa ubinafsi?

Wewe mtu ambaye ni wakili, ungetakiwa uende mahakamani ukatoe ushahidi thabiti wa namna ambavyo maarifa nje ya utaratibu rasmi, yalitumika kuwaingiza Covid19 bungeni.
Wakili utopolo anaetetea uvunjwaji wa katiba Ili kujipendekeza kwa watawala apate uteuzi. Tumwombe rais ampe cheo haraka tupumzike ma utopolo wake.
 
Maadam bado niko hai, kuzunguka dunia bado kunaendelea tena enzi hizo nilikuwa natumia economy class, lakini sasa kufuatia ile ajali na status ya mkono wangu, sasa natumia business class!

Japo zimepururuka sasa ni 00.0 ila hii ya kupata na kukosa ni mipango tuu ya Mungu, kupitia uwakili unaweza kufuma deal moja tuu kubwa ya kugonga tuu muhuri na account ikasoma tena B!.

Kiukweli hakuna mkamilifu tena she was very lucky nilipokataliwa ndio nikamlipua!, kuna wengine they were not so lucky, nilikuwa nikiona na moyo kutaka, naita mahali na kujichukulia tuu kama yangu!. Kiukweli haya ninayopitia sasa kufidia matendo yangu ya yuma, acha tuu niendelee kulipa, deni likiisha narudi tena juu being great again ila this time nikiwa mtu mwema!.

Hii ni fidia ya accumulation ya karma, kikombe hiki nimekipokea na shukrani nimetoa Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!

Its true ni pigo kubwa sana in life, ila pia kuna mapigo mengine na mapito mengine ni blessing in disguise!. She is now a US subject, na ikitokea unanijua in realty, siku ukiniona na drive a Mercedes Benz S-Class ya 0km in Dar streets, usidhani ni pesa ya PPR!.

Interview sikufeli, bali nilizidiwa sifa na vigezo na watu wazuri zaidi kuliko mimi EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

He who laugh last, laugh most!. He who lives last lives most!. Kati ya mtamka na mtamkiwa, nani yupo?.

Not, its not the case!. Hivi hivi nilivyo, nikitangaza tuu natafuta... ni foleni mpaka feri!.

Ila pia kiukweli hili la EALA nilitumia all my powers from within to make it happen, nika consolidates na powers kutoka kwa wana jf, lakini bado it didn't happen!. Huwezi jua Mungu anakuepusha na nini!. Tumefunzwa kushukuru kwa yote hivyo na mimi nashukuru kwa yote, kitu muhimu ni kutenda mema, sasa mimi ni mtu mwema zaidi kwa nchi yangu, chama changu, familia yangu na kwangu mimi mwenyewe!.
Mungu nisaidie!.
P
Nahisi nimekuelewa vizur lakini pia nimependa unavojibu vzr bila hamaki. Mungu atasimama nawe
 
Back
Top Bottom