CHADEMA kususia kuteua EALA ni strength au ni udhaifu wa ubinafsi?

Unaposema “P'se Tuteulieni Jembe Upendo Furaha Peneza, Atatusaidia…” una maanisha nini? Atatusaidia wapi wakati hajawa mbunge?

Mgombea kutoka CHADEMA lazima apigiwe kura na obviously wabunge wa CCM hawatompa kura

I guess ndio sababu CHADEMA hawaoni sababu ya kupoteza muda na nguvu zao
 
Chadema kudai haiyatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020 wanaouta uchafuzi, hivyo walipopatiwa nafasi 19 za wabunge wa viti maalum, wakagoma kuteua, ila kukatokea wazalendo waliotanguliza mbele maslahi ya taifa, wakafanya maarifa nje ya utaratibu rasmi wa chama, wakapeleka majina NEC, NEC ikawapa
Kwa maandishi hayo meusi ndugu Pascal Mayalla uwe tayari kuitwa mahakamani kutoa ushahidi na kuitamatisha kesi ya chadema dhidi ya Halima Mdee na wenzake
 
Kwà msiomjua mayaula mayoni ni mlevi mbwa Ndio maana hachaguliki na hateuliki na hata uchawa wake kwà mcc hauna heshima bora hata steve Nyerere ana sauti ikulu sio huyu mayaula mayoni.
 
Wanabodi,
Baada ya kunikuta kilichonikuta kwenye EALA, naendelea kuomba sana Mungu anifundishe kunyamaza, ila kwa vile maisha yangu yote ya miaka 30 kwenye media, kazi yangu ni kuuliza tu maswali, hivyo hapa ninauliza swali, kitendo cha Chadema, kususia kuteua mbunge wa EALA ni strength or Selfishness?.

Nawashauri Tangulizeni Mbele Maslahi ya Taifa, P'se Tuteulieni Jembe Upendo Furaha Peneza, Atatusaidia!

Nilipania sana kwenda EALA, ila ikatokea bahati nzuri kwenye chama changu CCM, tuna majembe ya kutosha hivyo mimi kuzidiwa sifa na majembe kazi as a result sikufanikiwa kupata uteuzi wa chama changu.

EALA iliyopita Chadema ilikuwa na wabunge wawili, lakini kutokana na Chadema kudai haiyatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020 wanaouta uchafuzi, hivyo walipopatiwa nafasi 19 za wabunge wa viti maalum, wakagoma kuteua, ila kukatokea wazalendo waliotanguliza mbele maslahi ya taifa, wakafanya maarifa nje ya utaratibu rasmi wa chama, wakapeleka majina NEC, NEC ikawapa uteuzi na kumkabidhi Spika, wakaapishwa na kuwa wabunge halali.

Sasa kumejitokea fursa nyingine ya Chadema kupeleka mtu EALA, kati ya vyama vyote vitatu vya upinzani vilivyo na wabunge ndani ya Bunge la JMT, ni Chadema pekee ndio yenye fursa ya kuteua mgombea atakayechaguliwa straight forward kama Mbunge wa Upinzani. Chadema isipoteua then fursa hiyo inakwenda ACT na CUF. Vyama hivyo tayari vimeteua wanaume wakati kanuni inataka mwanaume na mwanamke.

Kwa vile Chadema bado wana mgogoro na kina Mdee, hivyo wamesusa tena. Mwisho wa siku huu mgogoro wao na kina Mdee, utamalizika, na Chedema itawateua wabunge wake rasmi, muda huo utakapo wadia, fursa ya EALA itakuwa imeisha pita, and there is no going back.

Kufuatia ndugu zangu wa Chadema, kuunga mkono my bid kwenye EALA na wengine hadi kunichangia, kwa muktadha huu, nawashauri Chadema waache selfhness yao ya kususia mambo yenye maslahi mapana zaidi kitaifa kuliko maslahi ya chama.

Ukiondoa hao mashujaa 19 wa Chadema waliopo bungeni sasa, bado kuna shujaa mmoja ambaye ni malkia Mzinga Mbandu wa Chadema, Upendo, Furaha Peneza, ataweza kutusaidia sana kwenye EALA.

Kwa msiomjua Peneza ni huyu hapa Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina? na hapa Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo? na hapa Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

Mnaonaje hili ndugu zangu wa Chadema?.

PPask
Unasoma uzi wako unajua kuwa hupo. Depressed
 
Wakati wako wa kuteuliwa umefika, umeshajibebisha vya kutosha, na hii ya kugombea ubunge eala ilikuwa ni njia tu ya kutaka ujibebishe zaidi, wewe mwenyewe ulikuwa unajua kwamba huchaguliki, kumbuka kura yako moja.
 
Wanabodi,
Baada ya kunikuta kilichonikuta kwenye EALA, naendelea kuomba sana Mungu anifundishe kunyamaza, ila kwa vile maisha yangu yote ya miaka 30 kwenye media, kazi yangu ni kuuliza tu maswali, hivyo hapa ninauliza swali, kitendo cha CHADEMA, kususia kuteua mbunge wa EALA ni strength or selfishness?

Nawashauri tangulizeni mbele maslahi ya Taifa, p'se tuteulieni jembe Upendo Furaha Peneza, atatusaidia!

Nilipania sana kwenda EALA, ila ikatokea bahati nzuri kwenye chama changu CCM, tuna majembe ya kutosha hivyo mimi kuzidiwa sifa na majembe kazi as a result sikufanikiwa kupata uteuzi wa chama changu.

EALA iliyopita CHADEMA ilikuwa na wabunge wawili, lakini kutokana na CHADEMA kudai haiyatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020 wanaouita uchafuzi, hivyo walipopatiwa nafasi 19 za wabunge wa viti maalum, wakagoma kuteua. Ila kukatokea wazalendo waliotanguliza mbele maslahi ya taifa, wakafanya maarifa nje ya utaratibu rasmi wa chama, wakapeleka majina NEC, NEC ikawapa uteuzi na kumkabidhi Spika, wakaapishwa na kuwa wabunge halali.

Sasa kumejitokea fursa nyingine ya CHADEMA kupeleka mtu EALA, kati ya vyama vyote vitatu vya upinzani vilivyo na wabunge ndani ya Bunge la JMT, ni CHADEMA pekee ndio yenye fursa ya kuteua mgombea atakayechaguliwa straight forward kama Mbunge wa Upinzani. Chadema isipoteua then fursa hiyo inakwenda ACT na CUF. Vyama hivyo tayari vimeteua wanaume wakati kanuni inataka mwanaume na mwanamke.

Kwa vile CHADEMA bado wana mgogoro na kina Mdee, hivyo wamesusa tena. Mwisho wa siku huu mgogoro wao na kina Mdee, utamalizika, na CHADEMA itawateua wabunge wake rasmi, muda huo utakapo wadia, fursa ya EALA itakuwa imeisha pita, and there is no going back.

Kufuatia ndugu zangu wa CHADEMA, kuunga mkono my bid kwenye EALA na wengine hadi kunichangia, kwa muktadha huu, nawashauri CHADEMA waache selfishness yao ya kususia mambo yenye maslahi mapana zaidi kitaifa kuliko maslahi ya chama.

Ukiondoa hao mashujaa 19 wa CHADEMA waliopo bungeni sasa, bado kuna shujaa mmoja ambaye ni malkia Mzinga Mbandu wa Chadema, Upendo, Furaha Peneza, ataweza kutusaidia sana kwenye EALA.

Kwa msiomjua Peneza ni huyu hapa Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina? na hapa Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo? na hapa Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

Mnaonaje hili ndugu zangu wa Chadema?.

Paskali
selfishness
 
You must be stupid, ndiyo maana umekosa kuteuliwa na CCM. Unaandika ujinga jitu zima eti senoir journalist.
 
Hongera Kwa kuonesha Nia, Mchakato umeisha naamini umepata funzo ili 2027 ujipange vizuri.
 
You must be stupid, ndiyo maana umekosa kuteuliwa na CCM. Unaandika ujinga jitu zima eti senoir journalist.
Mkuu Retired, we are all humans, no one is perfect, huna haja ya kunitukana stupid!. Sijateuliwa sio kwasababu ya stupidity bali nizidiwa sifa na vigezo, waliopitishwa ni wazuri zaidi yangu na hili nimelisema hapa EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

Kuhusu huku kutukana na kubeza kupitiliza, nimeomba "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!

P
 
Wanabodi,
Baada ya kunikuta kilichonikuta kwenye EALA, naendelea kuomba sana Mungu anifundishe kunyamaza, ila kwa vile maisha yangu yote ya miaka 30 kwenye media, kazi yangu ni kuuliza tu maswali, hivyo hapa ninauliza swali, kitendo cha CHADEMA, kususia kuteua mbunge wa EALA ni strength or selfishness?

Nawashauri tangulizeni mbele maslahi ya Taifa, p'se tuteulieni jembe Upendo Furaha Peneza, atatusaidia!

Nilipania sana kwenda EALA, ila ikatokea bahati nzuri kwenye chama changu CCM, tuna majembe ya kutosha hivyo mimi kuzidiwa sifa na majembe kazi as a result sikufanikiwa kupata uteuzi wa chama changu.

EALA iliyopita CHADEMA ilikuwa na wabunge wawili, lakini kutokana na CHADEMA kudai haiyatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020 wanaouita uchafuzi, hivyo walipopatiwa nafasi 19 za wabunge wa viti maalum, wakagoma kuteua. Ila kukatokea wazalendo waliotanguliza mbele maslahi ya taifa, wakafanya maarifa nje ya utaratibu rasmi wa chama, wakapeleka majina NEC, NEC ikawapa uteuzi na kumkabidhi Spika, wakaapishwa na kuwa wabunge halali.

Sasa kumejitokea fursa nyingine ya CHADEMA kupeleka mtu EALA, kati ya vyama vyote vitatu vya upinzani vilivyo na wabunge ndani ya Bunge la JMT, ni CHADEMA pekee ndio yenye fursa ya kuteua mgombea atakayechaguliwa straight forward kama Mbunge wa Upinzani. Chadema isipoteua then fursa hiyo inakwenda ACT na CUF. Vyama hivyo tayari vimeteua wanaume wakati kanuni inataka mwanaume na mwanamke.

Kwa vile CHADEMA bado wana mgogoro na kina Mdee, hivyo wamesusa tena. Mwisho wa siku huu mgogoro wao na kina Mdee, utamalizika, na CHADEMA itawateua wabunge wake rasmi, muda huo utakapo wadia, fursa ya EALA itakuwa imeisha pita, and there is no going back.

Kufuatia ndugu zangu wa CHADEMA, kuunga mkono my bid kwenye EALA na wengine hadi kunichangia, kwa muktadha huu, nawashauri CHADEMA waache selfishness yao ya kususia mambo yenye maslahi mapana zaidi kitaifa kuliko maslahi ya chama.

Ukiondoa hao mashujaa 19 wa CHADEMA waliopo bungeni sasa, bado kuna shujaa mmoja ambaye ni malkia Mzinga Mbandu wa Chadema, Upendo, Furaha Peneza, ataweza kutusaidia sana kwenye EALA.

Kwa msiomjua Peneza ni huyu hapa Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina? na hapa Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo? na hapa Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

Mnaonaje hili ndugu zangu wa Chadema?.

Paskali
Hivi mtu kuvunja Sheria za nchi kwa makusudi kabisa nao ni uzalendo kaka P?.kufanya maarifa nje ya taasis iliyopewa dhamana ya kudhamini wagombea wa nafasi za urais,ubunge,udiwani na uwenyekiti wavitongoj,mitaa na vijiji kisheria ni kosa la jinai mbele ya sheria.ni Bora tukaanzia tuliopo jikwaa iliturekebishe kuliko kuanzia tulipoangukia.2020 wote tunajua kilichotokea kwenye uchaguzi .si vizuri kukumbushana mabaya yaliyopita tukiwa kwenye mwelekeo wa kuridhiana kama taifa.mungu ibariki Tanzania, mungu mbariki rais wetu na watu wako wote .
 
Back
Top Bottom