CHADEMA wanawake hawa wasikose kwenye Mkeka wa Viti Maalumu 2025

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,205
3,009
Ni wazi kuwa CHADEMA kitazoa kura za kutosha katika Uchaguzi Mkuu ujao.

Pamoja na uchafuzi wa 2020 CHADEMA waliambulia nafasi 19 za viti maalumu. Ni wazi 2025 wanaweza pata hata nafasi 40.

Hawa wanawake msiwasahau kwenye Mkeka wenu.

1. Rose Mahemba, (Njombe) yupo vizuri sana huyu mama.

2. Hilda Newton, huyu kwa social media hasa Twitter anajitahidi kukinadi chama.

3. Sheila, binti mdogo sana ila mpambani aswa kwa Chama.

4. Catherine Ruge, hasiposhinda Serengeti, huyo tiyari ashakuwemo kwenye mkeka ajiandae kuapishwa.

5. Upendo Peneza

6. Yule aliyegombea na Mwana FA Ubunge 2020.

7. Yule mama Mgombea Ubunge wa Karatu yupo moto sana.

8. .......

9. .....

10. ........

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
kabla ya uchaguzi wa 2015 makamanda walianza kupanga wizara humu jf.
Waziri mkuu Mbowe.
Michezo na ajira Sugu.
Jinsia wanawake na watoto Mdee.n,k

Sasa kilichotokea waziri mkuu Mbowe akaona masanduku mengi ya kura kuzidi idadi,waziri Mdee akakamata kura feki akapiga nazo picha,waziri Sugu akaletewa wapiga kura kutoka Malawi,kazi kwisha,,Mmaninna CCM Mungu anawaona mjue,,!
 
Hiyo michezo ya kupenyeza majina si ndiyo ilileta tafrani baada ya uchaguzi uliopita? Bado mnataka irudiwe tena? Inaelekea chadema huwa hamjifunzi kwa yaliyopita!
 
Mkipata hata diwani mumoja unishituee. Hizi sera zenu za vijembe, mtasubiri saana. Eti mtazoa kuraa nyingiiiii eeee, mnajua kujifarijiii duuuuh
Kwa hizi chaguzi ambazo rais anaamua nani atangazwe mshindi bila kujali box la kura linasemaje, nitashangaa cdm kutangazwa popote. Zaidi nitashangaa watakaoendelea kujitokeza kupiga kura.

Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Machafuko ama mapinduzi ndio yataleta mabadiliko ya kweli ya mifumo ya kiutawala hapa nchini. Kuendelea kushiriki chaguzi za kihayawani ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Ni wazi kuwa Chadema kitazoa kura za kutosha katika uchaguzi mkuu ujao.

Pamoja na uchafuzi wa 2020 Chadema waliambulia nafasi 19 za viti maalumu. Ni wazi 2025 wanaweza pata hata nafasi 40.

Hawa wanawake msiwasahau kwenye Mkeka wenu.

1. Rose Mahemba(Njombe) yupo vizuri sana huyu mama.

2. Hilda Newton huyu kwa social media asa Tweeter anajitahidi kukinadi chama.

3. Sheila (binti mdogo sana ila mpambani aswa kwa Chama.

4. Catherine Ruge, hasiposhinda Serengeti, huyo tiyari ashakuwemo kwenye mkeka ajiandae kuapishwa.

5. Upendo Peneza

6. Yule aliyegombea na Mwana Fa ubunge 2020.

7. Yule mama mgombea ubunge wa Karatu yupo moto saaaana.

8........

9......

10.........

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Halima Mdee! Ahahahahaha!!
 
Back
Top Bottom