Unatumia nguvu nyingi kuongea na mpuuzi??? Mbona haongelei riport ya CA G na maandamano ya Jana??unataka watu wajadili udaku.
leo hii mtu x atajirekodi huko uchochoroni na kusema Mmawia ni choko, unataka ndugu zako waichukulie habari hiyo seriously?
haujui kwamba watu wanaweza kuandika au kuongea chochote wanachojisikia hata kama ni cha uongo.
Uwazi upi?. Leo mnalilia uwazi. Si nyie mlisema ruzuku ndio imewafanya muhamie chaumma?. Kwamba CHADEMA haiwezi kudumu bila ruzuku. Mmeona michango ya raia mmeanza kelele. CHADEMA kwa Sasa ni Mali ya wananchi.Wangefuata ahadi ya uwazi waliyotoa haya yote yasingetokea. Siri siri ndio zinaibua maneno haya.
Amandla...
Nani anammiss huyo tapeli? Aje achukuwe mamluki wake aondoke nao. Very stupidSasa mbona hamuishi kumfuata fuata? Pambaneni na hao mnaowaita vijana wake, muache mjumbe wenu wa kudumu wa Kamati Kuu aliye mmoja wa waasisi wa CDM aendelee na maisha yake bila kumbughudhi. Kama hamu mmiss mpotezeeni.
Amandla....
Rubbish......yaani huyu ndio nani vile. Wewe na nani ? Moto umekuwa mkali na badoKumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.
Shutuma za ubadhilifu wa rasilimali fedha ndani ya chama.
Huu ni ushuhuda kutoka kwa mmoja wa viongozi wa chama mkoa wa Kilimanjaro.
Tujadili wana Jf
View attachment 3624857
---------------
Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Mwanga, Mkoani Kilimanjaro Lembrus Mchome ametoa tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, akidai kuwa amekuwa akikusanya fedha kutoka kwa wadau, wafanyabiashara na mashirika mbalimbali kwaajili ya shughuli za chama lakini fedha hizo hazijafikishwa kwenye mifuko rasmi ya chama.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mchome amedai kuwa suala hilo lilijadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema na kusababisha mvutano miongoni mwa viongozi, akimpongeza Godbless Lema kwa kile alichodai kuwa ni alisimama kidete kutaka fedha hizo ziwekwe wazi na kuwajibishwa kwa waliohusika.
"Tumekuwa na Makamu Mwenyekiti ambaye amekuwa akichukua fedha kutoka kwa wadau mbalimbali lakini zimekuwa hazifiki ndani ya chama. Ndio maana juzi kwenye Kamati Kuu wamegombana. Nimpongeze sana Godbless Lema kwani alisimama kidete kutaka fedha hizi zirudi, lakini haikuwezekana kwani Makamu Mwenyekiti alidai kuwa ameshazitumia na nyingine amenununulia vyombo vya muziki vya chama," alisema Mchome.
Mchome amebainisha kuwa baadhi ya wafanyabiashara waliowasiliana na Uongozi wa Chadema kupitia Kamati kuu iliyoketi Mkoani Kigoma walithibitisha kuwa walitoa michango kwa Heche kwaajili ya kukisaidia chama. Pia alidai Heche alisafiri hadi Afrika Kusini kwa lengo la kupokea fedha kutoka kwa wadau, akitoa rai ya wanachadema kumshinikiza Heche kujiondoa kwenye uongozi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo.
"Sasa niwaombe wanachama wa Chadema tushikamane kumtaka John Heche atupishe kwanza kwaajili ya uchunguzi. Chama hiki kinaamini katika misingi ya haki na kupinga ufisadi, kwa hiyo kwanini leo tumfumbie macho Heche?" alisema Mchome.
Katika hatua nyingine Mchome amemtuhumu Heche kunufaika kisiasa na hali ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kuwa gerezani, akisema amekuwa akijijenga kisiasa pamoja na kutumia mwanya huo kuweza kufanya ubadhirifu kwa
Chanzo: Michuzi TV
Anayeweza thibitisha ubadhirifu ni CAG tu kupitia taarifa zake za ukaguzi, pia Financial intelligence Unit etcKwa faida ya watanzania wote hasa hasa wapenda siasa za mageuzi
Soma hilo T-shirt kabla ya kukometiitakuwaje wamuondoe kwenye uenyekiti wa CDM mtu ambae wanajua ni mwanachama wa Chaumma? Tafuteni uongo mwingine.
Jibuni shutma za mwanachama wenu. Chaumma wana matatizo yao na haya ya mwanachama wa CDM hayawahusu.
Amandla...
Kuna T-shirt? Niambie nani kaivaa na imeandikwaje.Soma hilo T-shirt kabla ya kukometi
Kuna T-shirt? Niambie nani kaivaa na imeandikwaje.
Amandla...
Sasa unakuwaje unataka hayo mambo ya chama yajadiliwe humu na sio kwenye vikao vyenu vya ndani? Halafu unayeleta mada yake unajua ni adui wa chama?Kaka siwezi hata siku moja kuandaa njia ya kubomoa CDM, haitatokea maishani mwangu
Tangu lini Mchome akawa ni kiongozi CHADEMA ?Kwa faida ya watanzania wote hasa hasa wapenda siasa za mageuzi
Yule aliyeenda kumtembelea mjane leo siyo heche kumbePia nasikia Heche kakimbilia Ubelgiji na pia twaomba ufafanuzi kwa hili.kwanini akimbilie ubelgiji na je anaenda huko kufanya nini?
Sifa kuu ya siri ni ku escape.chadema kunaweza kukawa na shida lakini Mchome hawezi kuwa reliable source katika kubainisha masuala ya aina hiyo. Lemburura mchome ni mole ndani siasa za nchi hii
propoganda. jitihada zenu zilenge kwenye free TunduMmawia ni kijana mtiifu wa Mbowe kama ilivyo kwa Yericko na ma ex wote wanaopambana mahakamani kuhakikisha chadema inakufa.
Huu wa leo mtogwa sio mkangafuchadema kunaweza kukawa na shida lakini Mchome hawezi kuwa reliable source katika kubainisha masuala ya aina hiyo. Lemburura mchome ni mole ndani siasa za nchi hii
Unamaanisha nini mtume?Huu wa leo mtogwa sio mkangafu
Acha ujingaAcha kujadili mtu , leta maelezo ya matumizi ya fedha za chama
Kuna utaratibu wa ripoti za mahesabu hata kwenye kikoba huwezi kusonewa TUKama ni hivyo ni rahisi kusema ngapi zimekusanywa na zimetumika vipi. Aidha, kinachokaguliwa ni kilichoingizwa kwenye akaunti, sio fedha taslimu zilizokusanywa kwenye mikutano n.k.
Heche, hata Lissu hawawezi kukiuza chama kwa mtu yeyote. Kinachotakiwa hapa ni uadilifu na si kinginepo. Kama hamna ubadhirifu (au harufu yake) uliotokea, chama kiseme hivyo. Wakifanya hivyo watakuwa wamemsafisha Heche na kuonyesha kuwa ni chama ambacho hakiogopi kukoselewa.
Amandla...